Mkuu, mbona unachangia mijadala ambayo ipo kwenye majukwaa mengine.?
Au ukitaka kuchangia mjadala huu ndio network ya simu inakuwa inasumbua...?
Natega kila sehemu ya jamii forrum nione kama sehemu nyingine kwa siku mbili izi kama hatochangia[emoji23][emoji23][emoji23]Kila akitaka kuchangia humu anajikuta yuko mkoani ndani ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Amekimbia jukwaa huyo wala hana loloteMkuu, mbona unachangia mijadala ambayo ipo kwenye majukwaa mengine.?
Au ukitaka kuchangia mjadala huu ndio network ya simu inakuwa inasumbua...?
Wamezamisha Robot inahitwa Peter kutoka Ufaransa. Yaani Wana mikwara ya kijinga.
Hujathibitishwa kama pro Rusia. Fikisha angalau miezi sita tangu ujiunge jf tutakutambua kwa post zako.
Modern warfare ni very interesting indeed.
^Artificial intelligence is the future, not only for Russia, but for all humankind. It comes with colossal opportunities, but also threats that are difficult to predict. Whoever becomes the leader in this sphere will become the ruler of the world.^ ~ Putin
Mbona unajulizq unajijibu mwenyewe mpka SASA Russia anapambana na NATO wenyewe wamesema kushindwa Kwa Ukreni ni kushindwa Kwa NATO unaelewa maana yake?Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.
NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Hapo unataka jibu kutoka wap? Hapa JF au kwa Putin mwenyewe?Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.
NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Labda mwizi wa mbagala hapoUkraine wanafukuza mwizi kimyakimya
[emoji298][emoji298]""We have de-occupied 14 settlements. This is about five to seven percent of the total territory of Luhansk region, including the areas occupied in 2014. But we hope for the region’s de-occupation as soon as possible, for the restoration of life, and the return of our citizens," Artem Lysohor, Head of the Luhansk Regional Military Administration, posted on Telegram.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nadhani nenda muhimbili Kuna madaktati wapya wamefika kumaliza mwaka mmoja wanaweza kukutibu tatizo la punyeto.Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.
NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Baada ya kusupport wamepata matokeo gani? Au Ni nn kimebadilika? NATO na mshirika wao mkubwa marekani hakuna kitu namna wanavyozidi kupeleka silaha za kisasa ndivyo wanavyozidi kubondwa hao jamaa hawana lolote.Hii vita ngumu sana, Russia anapewa upinzani mkali, mwisho kutabiri ni ngumu, nchi zaidi ya 40 ku support Ukraine si jambo rahisi.