Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwambieni baba yenu kama ni kidume kweli angonge hapa ashuhudie mziki wake.

View attachment 2666634
Zaporizhzhia Nuclear Power Plant

Hiyo NPP ipo chininya Russia kwa sasa.
Hii NPP inazalisha umeme na unatumika kwenye maeneo ya Russia.

Sasa unaposema Russia wailipue unakuwa una akili timamu kweli wewe?
Wailipue ili iweje?

Russia wana Nuclear Doctrine yao.
Inaeleza ni wakati gani wa kutumia silaha za nuclear. Ili lipo very clear.

Sasa unapokuja na kauli za kwamba eti walipue hiyo NPP unakua out of context kabisa. Ni either uelewi mambo au una akili ndogo.
 
Desperate as America is, the world should prepare for the worst. There is no way America can win this war though.
 
Ile sehemu bwawa lililofunguliwa na kuua watu wengi lilikuwa mikononi mwa Urusi, sasa atashindwaje kutekeleza mauaji kama hayo akitaka.
Uzuri ameshaambiwa, doing that he will trigger NATO to act upon directly.
 
Ni kweli na ndicho Mrusi na china na Irani wanachotaka, Ili kupunguza nguvu za upande mmoja
 
Umemjibu vzuri Sana ,asilimia kubwa ya Pro NATO wana uwezo Mdogo Sana wakufikili
 
Tatizo ni uzee mkuu. Man above 55 being enrolled for Millitary service?Hapana,Zelensky is in a very desperate situation na naamini ipo agenda ovu nyuma ya hii enrollment.
Mkuu!Nashindwa kukuelewa,maelezo yako unataka Ukraine asichukue watu wa miaka 55 jeshini japo kavamiwa na taifa lenye idadi kubwa ya watu na siraha pia!
sijakuelewa point yako ni asifanye hiyo mobilization au apunguze umri?Je na Urusi pia aliyeongeza umri wa kuitwa jeshini yuko sawa,kwa mtazamo wako!
(mkuu jikite kwenye uhalisia)
 
Wewe hufai kuwa kiongozi ata balozi wa nyumba kumi,yaani ulitaka ampigie magoti Putin?....Wewe ni mwanaume kweli?
Wewe mtetee tu,Ukraine will be no more.Akili ingekuwa yeye kuwa neutral.Hivi wewe mkuu huoni kwamba Ukraine is fighting for the interests of the US and not Ukraine,isn't that clear?Mbona iko wazi.Hata wewe you should have recognized that,if not basi wewe ni kiazi kweli kweli,huna tofauti na Drag Queen na Mzee wa ngada na ndumu Zelensky.
 
Kama akili yenyewe ndiyo hii ya matusi,hebu kua kwanza ndipo ufahama kujenga logic na facts bila kuonesha jazba.
 
Ni ujinga kumpeleka mtu wa above 55 jeshini,he is already tired,he can't fight,hana nguvu.Ndio maana jeshini ukifika 45 kama sio Officer unakuwa retired.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…