Taratiibu enzi ya Putin inaanza kuisha siku si nyingi utawala wake unaenda kuanguka. Ilikuwa ni suala la muda tu kamwe hii vita aliyoianzisha Putin isingemletea faida yoyote kwenye kustawisha utawala wake. Angekuwa mjanja wala asingeanzisha vita maana kuikweli kamwe Ukraine wasingeishambulia au kuivamia urusi hata kidogo. Ndiyo tatizo la vinchi vya kikomunisti kiongozi anakuwa anaona pride kuanzisha vita zisizo na tija na huku machawa yakimtia ndimu.Hata macho yake yalionekana kuwa mekundu Sana!
Kwa mara ya kwanza tangu hii vita ianze Leo nimejisikia kumuhurumia Putin aisee!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani ni jeshi au jeshi binafsi lililoasi?huyu jamaa atamalizwa au atakubaliwa na serikaliLini atamalizwa mkuu???? Ina maana putin haungwi mkono na vikosi vyake???
Ni mjinga tu ambaye anafikiria putin atakwisha hili jambo soon litakwisha.Kwa bahati mbaya uwezekano ni mdogo uasi wa Prigo utammaliza Putin. Prigo atakwisha.
Ila yanayoendelea yanaonyesha udhaifu wa mfumo wa Putin.
Hatahivyo wako watakaoendelea kutufurahisha na ibada zao za "mwamba mkubwa".
Ni kweli: amezaa mfumo wa Yes-Men a ajificha katika dunia yake dogo na hivyo hakujua alichoanzisha alipoamua kushambulia Ukraine..
Unajua status ya Wagner ndani ya jeshi la urusi???Kwani ni jeshi au jeshi binafsi lililoasi?huyu jamaa atamalizwa au atakubaliwa na serikali
Vp kupinduliwa kama ilivyotokea 1989Ni mjinga tu ambaye anafikiria putin atakwisha hili jambo soon litakwisha.
Ni jeshi binafsi ndo maana mtu yoyote hata mhalifu anaweza kuingiaUnajua status ya Wagner ndani ya jeshi la urusi???
Ni mjinga tu anayefikiri kuna kitu kinaweza kumtokea putin.Vp kupinduliwa kama ilivyotokea 1991
Unaendelea kuonesha hujitambui yaani wewe unajua kuliko warusi na kwamba hawakuwa na sababu ya kuvamia Ukraine?acha kujiaibishaPutin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!
Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.
Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.
Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
Kwa kifupi putin anaondoka ukraine bila kupendaKadryov anaelekea Rostov na jeshi la Akmhat
#BREAKING ⚡️🇷🇺 CHECHEN SPECIAL FORCES ARE MOVING FROM UKRAINE TO ROSTOV, CAPTURED BY WAGNER
Ndiyo tatizo la vinchi vya kikomunisti kiongozi anakuwa anaona pride kuanzisha vita zisizo na tija na huku machawa yakimtia ndimu.
Ukraine ya wapi maeneo yanaendelea kuchukuliwaKwa kifupi putin anaondoka ukraine bila kupenda
Uingereza na Ujerumani zilizoua waafrika na kuiba rasilimaliza Africa hujawahi kuzilaani ulivyo na akili ndogo kama ya mbu,Leo unamsema Putin!?🚮Putin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!
Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.
Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.
Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
Wewe mrusi wa ukweli uliyeivamia Ukraine tupe sababu za msingi za kufanya hivyo. Kwa jinsi ulivyokuwa mrusi, hata ukichanjwa utatoa damu nyeupe.Unaendelea kuonesha hujitambui yaani wewe unajua kuliko warusi na kwamba hawakuwa na sababu ya kuvamia Ukraine?acha kujiaibisha