Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
vunjo kumbe upo!Hivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
Si kazi ya BRICSHivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
Its is not Russian uprising.A senior Ukrainian military official told the Financial Times: There are currently no signs of change on the battlefield as a result of the Russian uprising, but it certainly could create new opportunities.
Putin ameshageukwa, hata hao wanajeshi anaoona ni watiifu kwake ni suala la muda tu ndo atajua alikuwa hajui. Iko wazi kabisa ndani ya jeshi la urusi kuna kundi keki ya taifa haiwafikii na kuna kundi wanalamba asali mpaka inamwagika mashavuni. Jeshi la russia linanuka rushwa na hii imesemwa mara nyingi sana lakini Putin aliamua kuwafuata machawa wake kutwa wakimuimbia na kumsifu kuwa hakuna kama yeye kumbe moyoni ni wanafiki watupu. Putin enzi yake imefika mwisho.Ni hatari Sana lakini hapa inawezekana Kuna uasi wa ndani , haiwezekani Russia washindwe kugundua mapema Kama kuna hii movement ya Wagner means kitengo Cha ushushu ndani ya Russia hakipo vizur au kinajua nini kinaendelea na kwali hauwezi kuiondoa marekani
Kuna uwezekano huyu naye anahusikaMedvedev called the goal of the rebellion PMC "Wagner" the seizure of power in Russia
“ Obviously, this is a well-thought-out and planned operation, the purpose of which is to seize power in the country,” he said when asked by journalists to comment on the situation with the Wagner PMC.
Medvedev added that the development of events shows that the actions of those who organized the military rebellion fully fit into the scheme of a "staged coup."
Kazi ya BRICS ni kupambana n dollar ya marekani isitumike kwenye nchi zao.Leo sisikii Russia taifa teule kudadeki KK Security anawatembezea kichapoSi kazi ya BRICS
Putin angegeukwa, vita kule Ukraine pia ingesimama.Putin ameshageukwa, hata hao wanajeshi anaoona ni watiifu kwake ni suala la muda tu ndo atajua alikuwa hajui. Iko wazi kabisa ndani ya jeshi la urusi kuna kundi keki ya taifa haiwafikii na kuna kundi wanalamba asali mpaka inamwagika mashavuni. Jeshi la russia linanuka rushwa na hii imesemwa mara nyingi sana lakini Putin aliamua kuwafuata machawa wake kutwa wakimuimbia na kumsifu kuwa hakuna kama yeye kumbe moyoni ni wanafiki watupu. Putin enzi yake imefika mwisho.
Kwa sababu kama kweli Wagner wamefika Moscow wangefanya mambo mengi sana ya kijeshi.Nimefuatilia hili swala la PMC kwenye vyombo vingi vya habari na mitandao mingi ya Kirusi huko telegram na Twitter.
Kifupi ni kwamba haya ni MAIGIZO yenye lengo maalumu ambalo hata Mimi silijui.
Kabisa maana jamaa wanajiendea mitaani wanapiga picha na raia bila shida na wanapeana tano kiroho safi.Kwa sababu kama kweli Wagner wamefika Moscow wangefanya mambo mengi sana ya kijeshi.
Ila hadi sasa mjini Moscow hali ni kimya.
Mbona huyo ni team Russia tangu vita inaanza mwaka janaJe! bwana lee van cliff ndiye prigozhin?
Siku 3 tu tokea ahame team russia tumeshuhudia timbwili la kutaka kufanya mapinduzi.
Teh teh teh