Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

At least wataokoa maisha ya watu wasio na hatia
 
$6.2 billion US wamemlipa Prigo ampindue PUTINI , Pesa imeliwa na mchezo umeisha.
Mchezo umeisha? Aaah kaa kwa kutulia kama unaamini amani ndio inakuja hapo Russia jua unajidanganya, mauaji na matukio ya ajabu yanafuata historia ya Russia ni ileile haitobadirika.
Na Marekani hawawezi toa hela kusaidia tukio la superpower uchwara, Marekani hawafanyi vitu kienyeji kama hiyo nchi yenye jeshi linalotishiwa na msigina nyanya jikoni.
 
Mwisho wake ndio umefika; anarudi jela. Kasikia vijana wa Ramzan wako njiani kabwaga silaha chini.

Aminywe kende aeleze kalipwa dola ngapi na biden.

Soma hapa chini, mkuu Gagnija

 
Je! bwana lee van cliff ndiye prigozhin?

Siku 3 tu tokea ahame team russia tumeshuhudia timbwili la kutaka kufanya mapinduzi.

Teh teh teh
Ha ha haa,
Kama Wagner hawtaweka silaha chini hawatoboi,siku Tatu nyingi sana kwao.

Wagner ambao walikua wanasema wanaishiwq silaha waongezewe silaha,Leo wapigane na mtoa silaha?

Wagner askari wa kukodiwa wapigane na jeshi la wazalendo?
Kwa hiyo Wagner wako tayari kushirikiiana na NATO?
Je jeshi la Urusi litakua tayari kushindwa na NATO kwa sababu ya Wagner?.
Kama wasipoweka silaha chini basi tutarajie maafa makubwa sana.
Wala siona Russia kushindwa katika vurugu hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…