Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️⚡️⚡️Preparations are underway for the transfer of heavy military equipment to active units of the Russian Armed Forces.

Wagner will be demilitarized
20230627_114243.jpg
 
Wagner wana recruit new fighters au huna habari? . Labda nikupe usiyoyajua Wagner ni ya Putin, Prigo alipewa kazi ya kusimamia tu.

Ndio maana mimi nikauliza....
Kitendo cha Wagner kuendelea kuajiri fighters tena ndani ya Russia na kuwapeleka huko Belarus, je mnamuelewa Putin anachotaka kukifanya?
 
Hilo ninalijua,na Wagner wapo Africa ,hivyo lazima waajiri watu.Sasa msimamizi kumpindua mkuu ni kitu kinawezekana kabisa. Refer Sudani,lile jeshi aliunda Bashir ili kupambana Darfour ,Dogolo alikuwa nani na sasa Sudan kuna nini?Hivyo Putin ana haki ya kumuogopa Prigo. Wanaangalia mbali zaidi.

Prigo amesema lengo lake sio kumpindua Putin, nikusikilize wewe au Prigo??
 
Pia, kwa wale wafuatiliaji wa mambo wanafahamu kwamba Putin sio mtu wa kushindwa. Haijawai tokea akataka jambo lake na ikashindikana.

Kipindi kile cha Chechnia, alifikia hatua hadi akalipua ghorofa la makazi ya watu ili apate sababu ya kwenda kuwabondo waasi wa Chechnia. Na aliwabonda hasa hadi wakasalimu amri.

Kwa hiyo, hii ishu ya Ukraine, itaisha pale ambapo Ukraine itasalimu amri. Yaani lazima wasalimu amri.
 
It seems sanity is diminishing at the highest order in the West sphere!
===
Written by Eric Zuesse

U.S. Senators Lindsey Graham (R-SC) and Richard Blumenthal (D-CT) introduced on June 22nd a Resolution which if passed and signed by President Biden (whom both Senators praised for his resolute hostility toward Russia), would commit the U.S. as the head of NATO to launch, on behalf of NATO, war directly against Russia, if (regardless of the reason) Russia uses even the smallest tactical nuclear weapon (for example, to destroy a command-center deep underground) in Ukraine (which isn’t a NATO country), and which Resolution alleges that the reason why America would do this for NATO (even though Ukraine isn’t a member) is that there might be some nuclear fall-out that might reach a NATO member nation from such an attack by Russia against Ukraine. In other words: they want to enable the U.S. President to launch a U.S. invasion of Russia if Russia becomes forced to use a nuclear device in order to be able to prevent Ukraine from joining America’s anti-Russian military alliance, NATO.
====
KWa maelezo Yao haya, ni kweli Sasa kumbe lile andaki lilibomolewa kweli na NATO walipoteza rasilimali watu!!!
 
Ndio maana mimi nikauliza....
Kitendo cha Wagner kuendelea kuajiri fighters tena ndani ya Russia na kuwapeleka huko Belarus, je mnamuelewa Putin anachotaka kukifanya?

Kuna mambo hata sielewi kuna uwezekano Wagner ikafutwa au ikabadilishwa jina, tunaambiwa wanakwenda Belarus wengine kwenye Russian army, hapohapo tunaambiwa kuna wanaokwenda Africa the same time wameanza kufanya recruitment. Kuna jambo limejificha chini ya carpet hatujui, kumbuka Russia wametusapriz mambo mengi sana.

Kama Prigo angekua traitor Putin asingempeleka Belarus kule na kumbuka kule kuna Project za Russia. Habari za chini chini zinasema west walikua na mpango wa kuleta figisu pale Belarus baada ya sakata la Nukes. Bado hakuna anayejua zaidi ya Russia wenyewe, soon tutapata majibu.
 
It seems sanity is diminishing at the highest order in the West sphere!
===
Written by Eric Zuesse

U.S. Senators Lindsey Graham (R-SC) and Richard Blumenthal (D-CT) introduced on June 22nd a Resolution which if passed and signed by President Biden (whom both Senators praised for his resolute hostility toward Russia), would commit the U.S. as the head of NATO to launch, on behalf of NATO, war directly against Russia, if (regardless of the reason) Russia uses even the smallest tactical nuclear weapon (for example, to destroy a command-center deep underground) in Ukraine (which isn’t a NATO country), and which Resolution alleges that the reason why America would do this for NATO (even though Ukraine isn’t a member) is that there might be some nuclear fall-out that might reach a NATO member nation from such an attack by Russia against Ukraine. In other words: they want to enable the U.S. President to launch a U.S. invasion of Russia if Russia becomes forced to use a nuclear device in order to be able to prevent Ukraine from joining America’s anti-Russian military alliance, NATO.
====
KWa maelezo Yao haya, ni kweli Sasa kumbe lile andaki lilibomolewa kweli na NATO walipoteza rasilimali watu!!!

Hizo ni kelele ila hawana huo ubavu, wanatamani sana kufanya hivo lakini Russia ni kina kirefu.
 
The Ukrainian State Border Guard Service has shared a video of how the border guard detachments fight against Russian invaders, advancing near the Donetsk region’s Bakhmut.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russia's security services have threatened the families of the Wagner leaders before they called off their rebellion, The Telegraph reported on June 26, citing U.K. security sources.

According to the newspaper, this could have contributed to the decision of the group's founder Yevgeny Prigozhin to unexpectedly call off his march on Moscow.

Learn more: Media: Russian security services threatened families of Wagner leaders

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo hata sielewi kuna uwezekano Wagner ikafutwa au ikabadilishwa jina, tunaambiwa wanakwenda Belarus wengine kwenye Russian army, hapohapo tunaambiwa kuna wanaokwenda Africa the same time wameanza kufanya recruitment. Kuna jambo limejificha chini ya carpet hatujui, kumbuka Russia wametusapriz mambo mengi sana.

Kama Prigo angekua traitor Putin asingempeleka Belarus kule na kumbuka kule kuna Project za Russia. Habari za chini chini zinasema west walikua na mpango wa kuleta figisu pale Belarus baada ya sakata la Nukes. Bado hakuna anayejua zaidi ya Russia wenyewe, soon tutapata majibu.

Hiyo Para ya mwisho ndio mpango mzima.

Wagner wanaenda Belarus kutengeneza defense line dhidi ya NATO.
NATO imesogea Eastern front. Bila ku strengthning Belarus borders Russia anakuwa vulnerable.
Russia imeshapiga hesabu zake, kwa upande wa huku Ukraine NATO hawezi tena kuwa threat kwa Russia. Lakini kule kwa upande wa Belarus hakuko strong. Sasa Wagner ndio wanapelekwa.

Na pia, kama ikitokea NATO wakaleta za kuleta, tayari kuna majeshi yapo standby kuvamia nchi za NATO kwa upande wa Belarus.

Pia, inaipa Russia option ya kuvamia Kiev akitokea Belarus.
 
During Wagner rebellion, allies reached out to Ukraine advising not to strike inside Russia​

From CNN's Natasha Bertrand, Alex Marquardt, Kylie Atwood and Kevin Liptak

Before Wagner chief Yevgeny Prigozhin stood down on Saturday, there was outreach to Ukrainian officials from allies on a number of different levels, cautioning them to resist taking advantage of the chaos to strike inside Russia, according to a Western official.

The concern was that Ukraine and the West would be seen as helping Prigozhin and threatening Russian sovereignty.

"The message was don't rock the boat here," the official said, adding that the message was transmitted at the foreign minister level, deputies and through ambassadors.

"It's an internal Russian matter," the official said the Ukrainian officials were told, echoing what US and other Western officials have said publicly.

"Ukrainians were being cautioned by allies not to provoke the situation. Make hay of opportunities on Ukrainian territory but don't get drawn into internal matters or strike at offensive military assets inside of Russia," the official said.

In the war with Russia, Ukraine is suspected of carrying out a growing number of covert cross-border attacks and sabotage on Russian military facilities and even a drone strike on the Kremlin. Ukrainian forces have shelled the Russian Belgorod region, near the border between the countries.

"You just don't want to feed into the narrative that this was initiative by us," the official said. "It's what the Russians always wanted, proving that there are threats to Russian sovereignty."

==========================

Bado wamagharibi wanaiheshimu Urusi.
 
During Wagner rebellion, allies reached out to Ukraine advising not to strike inside Russia​

From CNN's Natasha Bertrand, Alex Marquardt, Kylie Atwood and Kevin Liptak

Before Wagner chief Yevgeny Prigozhin stood down on Saturday, there was outreach to Ukrainian officials from allies on a number of different levels, cautioning them to resist taking advantage of the chaos to strike inside Russia, according to a Western official.

The concern was that Ukraine and the West would be seen as helping Prigozhin and threatening Russian sovereignty.

"The message was don't rock the boat here," the official said, adding that the message was transmitted at the foreign minister level, deputies and through ambassadors.

"It's an internal Russian matter," the official said the Ukrainian officials were told, echoing what US and other Western officials have said publicly.

"Ukrainians were being cautioned by allies not to provoke the situation. Make hay of opportunities on Ukrainian territory but don't get drawn into internal matters or strike at offensive military assets inside of Russia," the official said.

In the war with Russia, Ukraine is suspected of carrying out a growing number of covert cross-border attacks and sabotage on Russian military facilities and even a drone strike on the Kremlin. Ukrainian forces have shelled the Russian Belgorod region, near the border between the countries.

==========================

Bado wamagharibi wanaiheshimu Urusi.
sema ...' bado wamagharibi wanaiogopa Russia'...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom