hakuna fact hapo mzee.Kuna watu wanaenda kuzikwa marekani wanasingizia Ni watalii na raia wa kawaida kwann wasizikwe Hapo Ukraine?
Jana urusi ilitumia UAV S-70 Okhotnik, "Hunter", kushambulia Hoteli Huko Kramatorsk, idadi kubwa ya mamluki na wanajesh waliokuwa ndani wameheruhiwa na wengine kuuwawa. Inadaiwa walikuwa wakifanya mkutano wakati mashambulizi yakifanyika.