hakuna fact hapo mzee.Kuna watu wanaenda kuzikwa marekani wanasingizia Ni watalii na raia wa kawaida kwann wasizikwe Hapo Ukraine?
Jana urusi ilitumia UAV S-70 Okhotnik, "Hunter", kushambulia Hoteli Huko Kramatorsk, idadi kubwa ya mamluki na wanajesh waliokuwa ndani wameheruhiwa na wengine kuuwawa. Inadaiwa walikuwa wakifanya mkutano wakati mashambulizi yakifanyika.
Hivi wanaposema range maana yake nini? Kwamba inaweza kulenga shabaha ikiwa umbali wa km 600?Sukhoi S-70 Okhotnik-B "hunter" stealth combat drone (speed of 1,000 km/h, range 6,000 km) Kh-47M2 Kinjal hypersonic missiles [Next Generation Air Domination (NGAD)]
View attachment 2671015
Kuna watu wanaenda kuzikwa marekani wanasingizia Ni watalii na raia wa kawaida kwann wasizikwe Hapo Ukraine?
Jana urusi ilitumia UAV S-70 Okhotnik, "Hunter", kushambulia Hoteli Huko Kramatorsk, idadi kubwa ya mamluki na wanajesh waliokuwa ndani wameheruhiwa na wengine kuuwawa. Inadaiwa walikuwa wakifanya mkutano wakati mashambulizi yakifanyika.
Urusi yafanya mashambulizi makali Ukraine https://bbc.in/3NSPdadhakuna fact hapo mzee.
Mkuu hv unaijua 300sqkm ama unaisikia tu. Ukraine kukomboa eneo la namna hiyo ungekuwa ushindi Mkubwa sana na taarifa zake zingezagaa sana. Labda nikuhabarishe tu Kuwa bhakhmut iliyopiganiwa miezi ya kutosha ina 41sqkm, Kiev ambayo ndio mkoa Mkubwa zaidi pale ukraine una 800+sqkm. Kukomboa 300sqkm manaake huwa unaweza kuwa mkoa mzima ama nusu mkoa[emoji845][emoji779]The Ukrainian military has already recaptured about 300 square kilometers as part of the summer offensive, which is more than Russia occupied during its winter offensive.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
jamaa kamkumbatia prigo kasahau kama anakula kipigo nyumbani kwaoUrusi yafanya mashambulizi makali Ukraine https://bbc.in/3NSPdad
Ulitaka ka-52 zishambulie ndani ya Russia ili warusi waune wenyewe kwa wenyewe.Cha kushangaza hizi KA-52 zilishindwa kuwazuia wahalifu wa Wagner mpaka Lukashenko akaingilia kati kuepusha maafa.
Huyo ndo Kipanya44 habari zake uwa anazichukua kwenye sayari ya jupiter[emoji23][emoji23]Mkuu hv unaijua 300sqkm ama unaisikia tu. Ukraine kukomboa eneo la namna hiyo ungekuwa ushindi Mkubwa sana na taarifa zake zingezagaa sana. Labda nikuhabarishe tu Kuwa bhakhmut iliyopiganiwa miezi ya kutosha ina 41sqkm, Kiev ambayo ndio mkoa Mkubwa zaidi pale ukraine una 800+sqkm. Kukomboa 300sqkm manaake huwa unaweza kuwa mkoa mzima ama nusu mkoa
NIMEJIFUNZA KWAMBA URUSI INA SILAHA BORA KULIKO NATOHali kama hii inafunua ule ukweli kwamba Urusi inawadhibidhi NATO wakiwa na silaha zao nchini Ukraine huku ikiogopa kupambana na Wagner wenye silaha za Urusi.
Umejifunza nini hapo?
Mkuu unajua vema Putin hakuona bado kikosi chochote cha Nato dhidi yake. Anapambana na jirani mdogo anayepokea silaha kadhaa kutoka NATO, tena si silaha bora na idadi ndogo....Kama ameshindwa kuwasimamisha Wagner lkn kaweza kuwasimamisha NATO huo ni ushindi mkubwa.
NATO wanafanya mazoezi Kila siku wanatawanyikq,wanakaa vikao wanatawanyika,mbona Yugoslavia na Iraq hawakuwaza sana?
Asante sanaNIMEJIFUNZA KWAMBA URUSI INA SILAHA BORA KULIKO NATO
Acha ukichaa kwani alikwambia anataka kulindwa na minato hao sema nato wanamuogopa na ndio maana hawaingii moja kwa moja kama iraqMkuu unajua vema Putin hakuona bado kikosi chochote cha Nato dhidi yake. Anapambana na jirani mdogo anayepokea silaha kadhaa kutoka NATO, tena si silaha bora na idadi ndogo....
Hadi sasa Putin analindwa na NATO.
FSB wa Planet Jupiter anadai most likely pengine huenda labda itakuwa yawezekana kazitolea Alpha Centauri because huko kwenye kambi yao hakuna taarifa kama hizo.Huyo ndo Kipanya44 habari zake uwa anazichukua kwenye sayari ya jupiter[emoji23][emoji23]