Ni mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamiziWa Ukraine wameanza kulalamika kwamba US and its NATO allies ndio wanapaswa kulaumiwa kwa ku fail kwa Counteroffensive.
Ukrain wanalalamika kwamba US and NATO allies hawakuipatia Ukraine silaha za kutosha.
kp kipanya44 , kumbe counteroffensive imeshafeli na hausemi... ujikausha tu...
View attachment 2677083
Ni mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamizi
Urusi pamoja na confidence na miguvu na milundo ya silaha aliyokuwa nayo mwanzoni mwa uvamizi ,bado hakudhubutu kuweka hadharani kwamba ataivamia Ukraine, badala yake alikana kabisa kwamba huo mpango Hana..,bila shaka alifanya hivi Ili kazi iwe rahis kwake, yahani amshtukze adui bila kujiandaa, ingawaje mwishowe malengo yake yaligonga mwamba,
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wanavuna walichopandaUmejifunza kutokana na hii picha?View attachment 2675285
unateseka sana yaani siku kumi wangekuwa 8000 ama 9000 kwa ripot zako russia wangeshaisha pole sana mkuu bt hongera kwa mopyo wa chumaHii ni Jana tu, zaidi ya mia Saba wamechinjwa π₯±π₯±π₯±View attachment 2676082
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah leo saa bovu limepatia majira bwana!!Ni mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamizi
Urusi pamoja na confidence na miguvu na milundo ya silaha aliyokuwa nayo mwanzoni mwa uvamizi ,bado hakudhubutu kuweka hadharani kwamba ataivamia Ukraine, badala yake alikana kabisa kwamba huo mpango Hana..,bila shaka alifanya hivi Ili kazi iwe rahis kwake, yahani amshtukze adui bila kujiandaa, ingawaje mwishowe malengo yake yaligonga mwamba,
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tupen latest za kaunta ataki
Inaenda taratibu maana adui nae kajipanga...Counteroffensive πππ
Polen sannaInaenda taratibu maana adui nae kajipanga...
Russia-Ukraine War: C.I.A. Director Visited Kyiv in June for Meetings
William J. Burns secretly traveled to Ukraine for discussions on plans for its counteroffensive and intelligence-sharing. Addressing Russiaβs adversaries, Foreign Minister Sergey V. Lavrov said his country would emerge stronger.www.nytimes.com
Inamaana TZ ni kibomu!?Bi Mdash mbona hachangamkii fursa ya bric's au jamaa hawaruhusu vibom kwenye umoja wao
TZ si kibom bali viongoz wetu ni wapiga vibomInamaana TZ ni kibomu!?
Uzalendo umekushinda kabisa mkuu!!!
Ni mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamizi
Urusi pamoja na confidence na miguvu na milundo ya silaha aliyokuwa nayo mwanzoni mwa uvamizi ,bado hakudhubutu kuweka hadharani kwamba ataivamia Ukraine, badala yake alikana kabisa kwamba huo mpango Hana..,bila shaka alifanya hivi Ili kazi iwe rahis kwake, yahani amshtukze adui bila kujiandaa, ingawaje mwishowe malengo yake yaligonga mwamba,
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ππππππ€£π€£π€£Edward Snowden π€£
Huu ujinga ambao USA amejitengenezea ndio maana sisi wapenda haki na amani tunaiunga mkono Urusi.Kwahyo Tunatumia katba ya dunia au ya nchi YETU