Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Jinsi majasusi wanavyo-operate, usikute Edward Snowden angali kwenye payroll ya CIA hadi kesho.ππππππ€£π€£π€£
Edward Snowden wameshindwa kwa sababu amekimbila sayari ya Jupiter ambako hawawezi kufikaπππ€£π€£
Julian Assange alishindwa kusoma upepo ama alichelewa ama alishindwa kutoroka.πππ€£π€£
Snowden mpaka mwenyewe ajipeleke lkn huko aliko ni moto wa kuotea mbali.
Hii imeenda.Kwa asilimia Mia moja
Russian forces wiped out 16 German-made Leopard tanks or actually 100% of this armor supplied to the Kiev regime by Poland and Portugal, Russiaβs Defense Minister Sergey Shoigu said at a conference call with military commanders: Russian forces destroy all Leopard tanks supplied to Kiev by Poland, Portugal β Shoigu
Inawezekana,ila Snowden ni Mbuzi Aliefia kwa muuza supu TU.Jinsi majasusi wanavyo-operate, usikute Edward Snowden angali kwenye payroll ya CIA hadi kesho.
Utahafifu wa Fahili (Survival of the Fittest) and never the weakest (fukani), ndiyo kanuni dunia ambayo mwanadamu ameamua kujitungia, baada ya kumkataa na kumkana Muumbaji wake.Huu ujinga ambao USA amejitengenezea ndio maana sisi wapenda haki na amani tunaiunga mkono Urusi.
Kiukweli USA amejipa Kinga uchwara.huyo niliemjibu nikimjibu kama ujumbe.kua USA akifanya kosa popote duniani haguswi,lkn raia wa nchi dhaifu akifanya kosa nchi nyingine USA atatia presha akatwe na ashitakiwe ktk mahakama za kimataifa.hii haikubaliki hata kidogo.
Mdogo wangu kp kipanya44 Leo itakuwa umeanza kula alafu ndo ukavuta bangi,,,,Ni mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamizi
Urusi pamoja na confidence na miguvu na milundo ya silaha aliyokuwa nayo mwanzoni mwa uvamizi ,bado hakudhubutu kuweka hadharani kwamba ataivamia Ukraine, badala yake alikana kabisa kwamba huo mpango Hana..,bila shaka alifanya hivi Ili kazi iwe rahis kwake, yahani amshtukze adui bila kujiandaa, ingawaje mwishowe malengo yake yaligonga mwamba,
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuliko Wagner ?..mbona sasa limeshindwa kuvimaliza hivi Vita mpaka sasa ?Jeshi la Russia ni jeshi lenye nguvu sana.
Kivipi tena ? Au kwa kumpa silaha ili ajitetee na kulinda utaifa wake?Kwa sababu NATO ndio waliomuingiza Ukraine kwenye hii Proxy war
Ila anapambana na huyo mvamizi mpaka sasa....Ukraine hakuwa na wala hana uwezo wa kupambana na Russia. Hii imepelekea vita kuelemea upande mmoja.
Siku udikteta ukimkwisha Mwamerika, mkuu wa Multipolar World atamruhusu akawasalimie ndugu na jamaa zake.Inawezekana,ila Snowden ni Mbuzi Aliefia kwa muuza supu TU.
Kuwepo kwenye payrolls za USA inawezekana lkn hatopata kitu kwa Russia.
Ni kama vile kutafuta kumroga mfuga Majini TU.
Mkuu Proved , siku ukiona ramani ya dunia imekuwa reviewed upya, na Ukraine haimomo π , then ujue vita hivyo sasa vimekaribia mwanzo wa awamu yake ya mwisho.Kuliko Wagner ?..mbona sasa limeshindwa kuvimaliza hivi Vita mpaka sasa ?
Daaaaah kumbe ukiacha mambo ya leo tumechinja wangapi, kichwa yako huwa inafikiri vzr tuuNi mapema sana kusema counteroffensive imefeli.., lakini binafsi nilishindwa kuwaelewa Ukraine Pamoja na west kwa kutangaza ujio wa counteroffensive as if watatumia maroboti na mashine kuyafagia na kuwafukuza majeshi ya vamizi
Urusi pamoja na confidence na miguvu na milundo ya silaha aliyokuwa nayo mwanzoni mwa uvamizi ,bado hakudhubutu kuweka hadharani kwamba ataivamia Ukraine, badala yake alikana kabisa kwamba huo mpango Hana..,bila shaka alifanya hivi Ili kazi iwe rahis kwake, yahani amshtukze adui bila kujiandaa, ingawaje mwishowe malengo yake yaligonga mwamba,
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nchi imegeuzwa kama kahaba wa kimboka ...ndiyo tatizo la kuongozwa na wapumbavuTZ si kibom bali viongoz wetu ni wapiga vibom
Fatilia ziara zote za mkuu wa nchi anapoenda ktk nchi zilizotuzid kipato lazima apige vibom
Na hata bajeti yetu haitegemei kwa kiwango chote mapato tunayoingiza lazima tupige vibom
Staki kuamini kwamba Ukraine na west Wana akili finyu kiasi Cha kutangaza ujio wa counteroffensive kama matangazo ya vifo, huenda pengine walikuwa na lengo lao nyuma ya pazia mbali na ukombozi wa ardhi iliyotwaliwa na wavamizi
Ninachoribu kukiona kwa mtazamo wangu ni kwamba,kwa kuwa hii vita Kuna watu hawataki iishe,basi walifanya Hivyo Ili urusi awekeze properties nyingi Ili kuzuia counteroffensive..,yahani urusi azidi kujikaanga kwa mafta yake kama kitimoto, lakini tusisahau kwamba Kuna watu wametenga bajeti ya kuendesha hii vita kwa takribani miaka mitano..,hii bajeti ingekuwa Haina maana kama Ukrainian counteroffensive ingeenda kwa spidi tuliyotarajia
Vinginevyo kama hayo mambo ni tofauti na mtazamo wangu hapo juu.., naweza kuwaona wote waliokuwa wakitangaza counteroffensive mithili ya matangazo ya vifo kama vilaza.., maana wamezidiwa hata akili na kp kipanya44 kutoka nanjilinji
Ngoja tuupe muda nafasi mkuu..,hii vita Ina mapichapicha mengiMkuu kp kipanya44,
Habari za ndani kabisa nilizonazo kutoka Washngton na Kiev ni kwamba counteroffensive haijafanyika kabisa.