kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukraine haitasalimu amri maana huko ni kutoa kafara utaifa wao.Kuna jambo waukraine hawajifunzi, ila watalitambua wakiwa wameumia sana. Wafinland walijaribu mvimbia mrusi enzi za stalin. Walitumia mbinu ya kupambana muda mrefu, wakitegemea misaada ya west, kweli waliipata lakini mwishowe walichoka, waachia maeneo, bunge lake likatunga sheria, wakawashtaki na kuwafunga watu wake wenyewe kwa kushiriki vita dhidi ya uvamizi wa soviet, waliendeleza uhusiano na west, ila kwa kuzingatia utashi wa soviet. Stalin akasema haitaji tena kusupport vyama vya kikomunist nchini finland, sababu ya utiifu wa serikali ya meinchm. Finland walitambua kuwa hata iweje, wao ni jirani na urusi. Kama ambavyo cuba wanatambua hili kwa Marekani.
Warusi wanawajua west fika kuwa ipo siku watamuacha Ukraine. Hata kama ni miaka kumi. Kama Taliban walikuwa wakisema, Marekani wanasaa ila wao wana muda. Ukraine ni suala la muda tu!
Muda utasema.Ukraine haitasalimu amri maana huko ni kutoa kafara utaifa wao.
Taratibu super pawer wa mchongo anaekekea Zimbabwe [emoji1787]USD/RUB 90.6 kutoka 58
Ha ha ha haa[emoji23][emoji23]ingawa tunawahitaji humu tusibakie pro russia wenyewe
ila majamaa wanakera kinoma aiseee......
Aaaha ha ha haa.Mkuu Kipanya
Hivi hao wanaokufa wanakuwa kwenye number kamili, yaani 600, 550 au 720.
Sijawahi kuona numbers kama 567, 723 au 654.
Au figure lazima imalizikie na 0
Imevujishwa makusudi ili kuzuia.Leo ni 6th... Vipi hawajalipua Bado!!?
Aisee! Hii ndiyo kitu Raia Odinga alikiita ^kifaranga ya kompyuta.^ Mkuu, siunajua tena classic computer ni zeros and ones?Mkuu Kipanya
Hivi hao wanaokufa wanakuwa kwenye number kamili, yaani 600, 550 au 720.
Sijawahi kuona numbers kama 567, 723 au 654.
Au figure lazima imalizikie na 0
Utupe pia na za against TZSUSD/RUB 90.6 kutoka 58
Jikite kwenye madaUtupe pia na za against TZS
Wakipiga ndo watakuwa wanaichochea vita upyaBaada ya kushindwa kukichukua wameona tunafaidika nacho wakipige tu.
"Zelensky set to blow up Zaporozhye NPP ahead of NATO summit, says senior Russian lawmaker - Russian Politics & Diplomacy - TASS" Zelensky set to blow up Zaporozhye NPP ahead of NATO summit, says senior Russian lawmaker