Sahii kabisaWakuu habari.
Naomba kutoa analysis yangu kuhusu huu mpango wa US na NATO kupeleka Cluster bombs huko Ukraine.
Huu mpango unapingwa na hata baadhi ya NATO member ikiwemo UK. UK kwa sasa anaongoza mwenye global campaign ya kupinga silaha za namna hii.
US na NATO allies wameamua kupeleka hizo cluster bombs kwa sababu wameishiwa conventional weapons. Maghala yapo empty na itachukua muda sana (wanasema months), kuweza ku replenish hizo stocks zao.
Sasa kinachotokota hapa ni kwamba hao baadhi ya NATO allies wana wanaona kwamba hii itampa greenlinght kwa Russia kuanza kutumia non conventional bombs.
Wanasema una open jinni in the bottle
Non conventional weapon kama ila Father of all bombs ambayo inatumia fuel. Kuna yale mabomu ya phosphorus.
Ndio maana Russia amekaa kimya tu anawasubiri waanze kurusha hizo cluster bombs ili apate pritex ya yeye kutumia mabomu yake.
Majasusi wa mchongo[emoji28]Haya mashirika yetu yakijasusi hakuna lililonusa taarifa za kikao Cha Putin na Wagner. Hata CIA au MOSSAD
Hapa umenena fact[emoji4][emoji106]Ukiangalia mwonekano wa rais Biden na kupima angalau akili yake kidogo, utagundua kwamba sio yeye binafsi anafanya maamuzi magumu kama haya,mfano wa kutoa cluster munitions kwa Ukraine.., huenda rais Biden hajui hata cluster munitions ni nini kutokana na uzee unaozidi kumwandama!
Hapa ndipo utagundua kwamba Kuna deep system inayoongoza marekani..,rais wa American yupo kama katuni tu!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]New data suggests:Kwa mara ya kwanza Ukraine yaweza kuwa na vifaru vingi vya kivita kuliko Russia[emoji848]
........
Ukraine could have more battle tanks than Russia for the first time ever, new data suggests
Ukraine could now be able to field more battle tanks than Russia for the first time, new data suggestsafrica.businessinsider.com
Ngoja nieke kituoUkraine Wanapigwa jameni dah..Nimeona sehemu wamejikuta wako katikati ya mabomu akisogea kinalipuka..akikaa linalipuka akikanyaga miguu inakatwa yaan wanavuja damu nyingi sana yule msanii si wamuue anadhani ni maigizo
Masikini Putin [emoji848]Urusi Maji ya Shingo.Sweden,Finland na Ukraine ndani
Urais ni taasis kwa hiyo hata km angelikua mzima lazima kwenye kufanya maamuz washaur wahusikeUkiangalia mwonekano wa rais Biden na kupima angalau akili yake kidogo, utagundua kwamba sio yeye binafsi anafanya maamuzi magumu kama haya,mfano wa kutoa cluster munitions kwa Ukraine.., huenda rais Biden hajui hata cluster munitions ni nini kutokana na uzee unaozidi kumwandama!
Hapa ndipo utagundua kwamba Kuna deep system inayoongoza marekani..,rais wa American yupo kama katuni tu!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ni tofauti kwa dikiteta Putin [emoji848]Urais ni taasis kwa hiyo hata km angelikua mzima lazima kwenye kufanya maamuz washaur wahusike
[emoji23][emoji23][emoji23] ivi umetoka jalala gani kiongozi maana sio kwa uchizi uliokuwa naoNew data suggests:Kwa mara ya kwanza Ukraine yaweza kuwa na vifaru vingi vya kivita kuliko Russia[emoji848]
........
Ukraine could have more battle tanks than Russia for the first time ever, new data suggests
Ukraine could now be able to field more battle tanks than Russia for the first time, new data suggestsafrica.businessinsider.com
Pigo jipya kwa Putin:
Hatimaye mturuki akubali yeishe.. achomoa pingamizi lake kwa Sweeden kujiunga na NATO...
View attachment 2684873
Turkish President Recep Tayyip Erdogan has agreed to back Sweden’s bid to join NATO after a year of blocking the move, citing Turkish security concerns.
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg announced on Monday that Erdogan agreed to forward Sweden’s membership bid to Turkey’s parliament.
Ukraine alikuwa na impact gani kama ikiingia NATO iliyomfanya Putin kupagawa kiasi hicho.Sweeden akijiunga NATO ina impact gani kwa Russia?, zaidi ni Aibu kwa NATO maana nchi zaidi ya 30 kupambana na Russia taifa moja ni aibu sana.