kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukraine alikuwa na impact kama ikiingia NATO iliyomfanya Putin kupagawa kiasi hicho.
NATO mnatafuta nini kwa Sweden? Mnamuogopa Russia mazima hahahahaUkraine alikuwa na impact kama ikiingia NATO iliyomfanya Putin kupagawa kiasi hicho.
nchi zenyewe zinaomba kujiunga, huyo msanii Lukashenko na yeye anaomba kujiunga kisiri siri 😁😁NATO mnatafuta nini kwa Sweden? Mnamuogopa Russia mazima hahahaha
Hamna jipya hapo...Sweden amekua akishiriki kila kitu na NATO kama member kabisa...huko ni kulasimisha tu..Pigo jipya kwa Putin:
Hatimaye mturuki akubali yeishe.. achomoa pingamizi lake kwa Sweeden kujiunga na NATO...
View attachment 2684873
Turkish President Recep Tayyip Erdogan has agreed to back Sweden’s bid to join NATO after a year of blocking the move, citing Turkish security concerns.
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg announced on Monday that Erdogan agreed to forward Sweden’s membership bid to Turkey’s parliament.
Ulichomalizia hapo Aya ya mwisho kabisa hapo chini ndio Hali halisiWakuu habari.
Naomba kutoa analysis yangu kuhusu huu mpango wa US na NATO kupeleka Cluster bombs huko Ukraine.
Huu mpango unapingwa na hata baadhi ya NATO member ikiwemo UK. UK kwa sasa anaongoza mwenye global campaign ya kupinga silaha za namna hii.
US na NATO allies wameamua kupeleka hizo cluster bombs kwa sababu wameishiwa conventional weapons. Maghala yapo empty na itachukua muda sana (wanasema months), kuweza ku replenish hizo stocks zao.
Sasa kinachotokota hapa ni kwamba hao baadhi ya NATO allies wana wanaona kwamba hii itampa greenlinght kwa Russia kuanza kutumia non conventional bombs.
Wanasema una open jinni in the bottle
Non conventional weapon kama ila Father of all bombs ambayo inatumia fuel. Kuna yale mabomu ya phosphorus.
Ndio maana Russia amekaa kimya tu anawasubiri waanze kurusha hizo cluster bombs ili apate pritex ya yeye kutumia mabomu yake.
Hata Ukraine aikiingizwa NATO kwa lazima ataingia akiwa Hana mabawa,mkia na vidoleHamna jipya hapo...Sweden amekua akishiriki kila kitu na NATO kama member kabisa...huko ni kulasimisha tu..
Kama Ukraine akiingia NATO salama basi Russia watakuwa wameshindwa...hawa wengine hawana jipya...
Marekani ni wachawi kabisa,kama wachawi wengine Hawa wa kawaida tunaowajua.(kwa wale wanaowaabudu wamarekani kama miungu waone vitendo vya ki-uuaji vya LGBTQ)
Balaa,balaa,balaa hili.
Afu Kuna watu Wana provoke ww3
NATO mnatafuta nini kwa Sweden? Mnamuogopa Russia mazima hahahaha
Hizi ni propaganda za ProRussians.Russia hapigani na NATO Bali hupigana na Ukraine.Suala la Ukraine kusaidiwa na nchi zingine hata Russia na yeye husaidiwa na marafiki zake kama Belarus,Iran na wahuni Wagner mercenaries!Sweeden akijiunga NATO ina impact gani kwa Russia?, zaidi ni Aibu kwa NATO maana nchi zaidi ya 30 kupambana na Russia taifa moja ni aibu sana.
Kunywa bia nakuja kjkipa jamaa yanguBila kukujibu kitaalamu naweza kukwambia kuna vitu vipo tayari kitaalam na kimahesabu ambapo vikifanywa mbele ya macho yako wala hutokaa ukubali kwamba ni akili ya binadamu imetenda.
Umoja wa kujihami wa nchi za magharibi(NATO) unapambana kwa nguvu zao zote kuweza kuishinda Urusi ambayo wanaiita dhaifu ila Urusi hiyohiyo inayoitwa dhaifu Inawaona NATO kama umoja uliopungukiwa akili ndio maana inadili nao kwa makini huku ikiwa na options kadhaa za kuwadhibiti.
Mfano Urusi ingekuwa na akili na maamuzi kama ya NATO, leo hii bara uropa/Ulaya na bara Amerika Kaskazini yangekuwa yameangamia karibu na kupotea.
Mimi naona tuendelee kujifunza kwa vitendo kupitia hii opareshen inayoendelea pale Ukraine.
India Set To Be World’s Second Economy By 2075
A recent Goldman Sachs report predicts India will overtake Japan, Germany, and the US to become the world’s second-biggest economy by 2075, thanks mainly to a low dependency ratio.
The number of dependent citizens measures dependency ratios to the total workforce population; the report predicts India will be one of the lowest among regional economies for the next two decades.
The positive outlook comes despite only 20% of working-age women in full-time employment.
Subscribe to RT