Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inaelekea hata mgambo hujapitia...
 
Soma attached article halafu ujibu kwa hoja na takwimu.Achana na vijembe vya kiduanziH

Hiyo attached article unayoisema sijaiona hapa...ila hata ingekuwepo nisingeisoma nikijua wazi waandishi wake ni akina nani...Kama hujui Russia imeziweka silaha zake nyingi kwa ajili ya NATO...huko Ukraine kinachoendelea ni special operation tu., yaani SMO special military operation...muziki wenyewe bado haujaanza kwa hiyo Russia hawawezi kuwa wajinga kuweka hadharani au hata kuzitumia kwa fujo silaha zilizopo..This is a planned mission... Russia alijiandaa kwa miaka mingi kwa yanayoendelea huko Ukraine...Hakukurupuka...Nchi zaidi ya 50 zinapambana na mwamba mmoja...Na mchezo wenyewe bado haujaanza.....
 
Hizi ni propaganda za ProRussians.Russia hapigani na NATO Bali hupigana na Ukraine.Suala la Ukraine kusaidiwa na nchi zingine hata Russia na yeye husaidiwa na marafiki zake kama Belarus,Iran na wahuni Wagner mercenaries!
Kushindwa kw ukreni ni kushindwa Kwa NATO, katibu mkuu wa NATO kasema wewe nani ubishe
 
Tatizo hapanachanganya
Jamaa huyu mjanja sana, hapo ana lengo la kuwachota akili NATO wenzake lakini (especially Merikani) ukweli wa mambo Erdogan na Putin lao moja hawapendi kabisa siasa za unipolar World na wendawazimu wa NWO - wanatafuta jinsi ya kukomesha upuuzi huo bila ya kuanzisha WW3
British military advisors in Ukraine are overly obsessed by destroying this bridge, even storm Shadow missiles were brought in Ukraine specifically for trying to destroy this bridge - should that come to pass I advice Russian modern and lightening fast Kinzhal to bring down ancient London bridge and all bridges crossing River Thames, after all it takes only 4 minutes for hypersonic missile to. fly from Russia to London.
 
Counter-offensive imebaki story[emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


[emoji722][emoji722][emoji722]Berkhova rejected the bastard sons of bitches[emoji722][emoji722][emoji722]
 
Unacho sema ni kweli tupu - sasa Swaili mkuu ni: wangapi watakuelewa??
 
Sweeden akijiunga NATO ina impact gani kwa Russia?, zaidi ni Aibu kwa NATO maana nchi zaidi ya 30 kupambana na Russia taifa moja ni aibu sana.
Kwa nini watu wana anza kusherekea wakati hawajui hata kama Bunge lote la Uturuki watakubaliana na hoja za Edorgan - Edorgan mjanja sana, uwezi jua wabunge kawambia nini, binafsi sia amini Edorgan anaiunga mkono 100% Sweden kujiunga na NATO wakati akijua kwamba Sweden inaunga mkono PKK directly na indirectly - Sweden wazaba zabina ndio maana Edergona amalijua sana hilo - hapa Edergan na wabunge wake wanafanya maigizo tu.
 
MAGAIDI watapigwa hata wakiwa hospital safi sana RUSSIA [emoji635]
 


Mkuu Proved Wewe ni miongoni mwa watu naofuatilia sana habari zako hapa jamvini.

Ila leo naomba nikueleze kitu na wewe nenda kafanye homework yako.

Kunakitu kinaitwa Hybrid warfare

Sasa ipo hivi.

Russia hybrid warfare, unayoiona sasa hivi, ambayo kwa miaka mingi imekuwa inawasumbua hao US and NATO imekuwa designed na huyu General Valery Gerasimov

Huyu Valery Gerasimov alii design hii Hybrid warfare wakati akiwa ni officer wa kawaida tu kwenye Russia Army (kabla hajawa General). Hii ishu ipo well documented.

Kwa hiyo unapomuongelea General Valery Gerasimov, usifikiri ni mtu ambaye ni light weight.

Go and do your homework na utapata majibu.
 
Makombora ya Ukraine yaharibu mfumo wa ulinzi wa kisasa kabisa wa Urusi chapa S-400:
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…