Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo vp mkuu kitambo sanaa nmewamisi kuna id sizioni au ndio mambo ya ma id mengi.....unafki pembeni kuna Id nmeimiss toa salamu najua yangu unaisoma ila nmeshindwa kukutambua hasimu wangu.😃😃😃😃😃
Mambo poa sister, 😂😂😂😂😂 tupo tunaziangalia ID mpya kila baada ya urusi kuchukua eneo jipya,

Pia tumekumiss Sana maana ni Kati ya watu mliotupotea Kwa muda mrefu,

Karibu tulisongeshe ingawa naona kila dalili ya west kunyoosha mikono
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230714_083557.jpg
 
Novoselivske imekwenda na mma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Ivi ile counter-offensive inafanyika nchi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
20230714_084004.jpg
 
Ukraine hatoboi...West wako very opportunistic...pure capitalists wakiona counteroffensive haileti mabadiliko yoyote na wanaingia hasara...wataachana na hiyo project .
Na hizo dalili zimeanza kuonekana-Zelensky kashindwa kuvumilia kawaropokea....Waziri wa Ulinzi-Uingereza kamjibu awe na shukrani...NATO kikao kimeisha hakuna la maana waliloafikiana kuhusu kumsaidia Ukraine...hata kukubaliana lini anaweza kuingia hakupo...Zelensky awe makini yasije mkuta kama yale ya Shaakvi..li...wa Georgia...

Au yule wa Venezuela....project imeshindikana wamemuacha
 
Hii vita navoona ni kua west wanataka kujua silaha zote alizonazo mrusi ili wajifunze namna ya kuja kumdhibiti badae.na urusi kujua ilo ndio maana nae hatumii silaha zote.mara atumie za zaman au drone za iran
Na us had kutoa cluster bombs kwa Ukraine ni ile waone response ya urusi kwa silaha mpya zao au kama wana uwezo wa kuzibiti izo cluster bombs
 
Putin is one of the only world leaders who can speak 4 different languages!

1. Russian
2. German
3. English
4. Facts
Jamaa yuko vizuri upstairs mkuu,ila nimem- beat aisee,I can speak five languages,
1.Kiswahili
2.Kingereza
3.Kipare
4.Kisambaa
5.Kibondei
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Ila hii "Facts" ni lugha gani mkuu,mbona haipo duniani!?
 
Ukraine hatoboi...West wako very opportunistic...pure capitalists wakiona counteroffensive haileti mabadiliko yoyote na wanaingia hasara...wataachana na hiyo project .
Na hizo dalili zimeanza kuonekana-Zelensky kashindwa kuvumilia kawaropokea....Waziri wa Ulinzi-Uingereza kamjibu awe na shukrani...NATO kikao kimeisha hakuna la maana waliloafikiana kuhusu kumsaidia Ukraine...hata kukubaliana lini anaweza kuingia hakupo...Zelensky awe makini yasije mkuta kama yale ya Shaakvi..li...wa Georgia...

Au yule wa Venezuela....project imeshindikana wamemuacha
Ha ha haa

Mikhail Sakaashivil wa Georgia.
Guaido wa Venezuela 😀😀😀😀
 
Jamaa yuko vizuri upstairs mkuu,ika kumbe na mimi nimo,I can speak five,tena nimempita,
1.Kiswahili
2.Kingereza
3.Kipare
4.Kisambaa
5.Kibondei
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huna lolote wewe hunizidi Mimi😀.
Mimi naongea ,
1)Kiswahili,
2)kitindiga,
3)Kiswanglish,
4) "nanena kwa lugha"👏👏👏👏
 

Putin says Wagner boss refused his offer during Kremlin meeting after mutiny​

It was revealed just this week that Vladimir Putin held a meeting with Wagner boss Yevgeny Prigozhin five days after he led an abortive revolt against Russia's military hierarchy.

And in comments that add another layer to the intrigue surrounding the power dynamic between the pair, the Russian president has reportedly disclosed further details about the content of his discussion with the mercenary group leader and around 35 of his troops.

Mr Putin, interviewed by the Russian daily Kommersant, said he made several offers during the meeting - including giving the fighters the opportunity to remain serving together.

Under the offer, the fighters would stay under their current commander, who the newspaper identified only by his call sign of "Grey Hair", but understood to be Andrei "Sedoy" Trochev.

"All of them could have gathered in one place and continued their service," Kommersant quoted the president as saying.

"And nothing would have changed. They would have been led by the same person who had been their real commander all that time."

As Mr Putin is the army's commander-in-chief, he seemed to be implying that they would remain within the Russian military, although he did not say that explicitly.

"Many of them nodded when I said this," Kommersant quoted Mr Putin as saying.
However, Prigozhin disagreed, it reported.

"Prigozhin... said after listening: 'No, the boys won't agree with such a decision," Kommersant quoted Mr Putin as saying.
"Wagner does not exist," the Russian president told Kommersant. "There is no law on private military organisations. It just doesn't exist."

It comes after a Pentagon spokesperson said they believed Wagner forces were no longer "participating in any significant capacity" to the war in Ukraine.

Analysts have said such a development would harm Russia's efforts in the conflict, given the mercenary fighters' effectiveness compared to that of the country's conventional armed forces.
=========================

Wagner imeshazikwa rasmi....

https://news.sky.com/story/ukraine-...tuation-12541713?postid=6170832#liveblog-body
 
Huna lolote wewe hunizidi Mimi😀.
Mimi naongea ,
1)Kiswahili,
2)kitindiga,
3)Kiswanglish,
4) "nanena kwa lugha"👏👏👏👏
Oh,nilikuwa naongelea lugha za kibinadamu,Ila wewe, umesahau kwamba "kunena kwa lugha" ni karama na Roho Mtakatifu anatoa kama apendavyo?Achana na mafundisho potofu ya wanaojiita watumishi fake.
 
[emoji298]Ukraine collected many promises at Vilnius, except the one it craved the most. NATO Secretary General Jens Stoltenberg said Ukraine will receive an invitation to join when "the allies agree, and conditions are met," postponing the decision indefinitely.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]The European Investment Bank (EIB) and the EU member states are providing over 400 million euros ($449 million) for the reconstruction of Ukraine, Prime Minister Denys Shmyhal said on July 13.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]U.S.-provided cluster munitions will be used strictly for the de-occupation of territory against concentrated Russian defensive positions, spokesperson of the Tavria operational-strategic group Valerii Shershen told Radio Free Europe/Radio Liberty on July 13.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom