LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NATO wako standby hapo Poland na wameahidi kuendelea kutoa silaha kwa Ukraine.
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Taifa La Mungu Yupi Huyo Au Mungu Dulga Wa Kwenye Bondita
 
Ahsante Mzee Mohamed ...hii mwishowe nadharia ya balance of Terror itasimama😅
 
Wakati nchi kama China Brazil India zinaendelea kukuza uchumi wao na kuendelea kuwa kwenye top Ten kwa maana ya GDP Russia (ambaye top ten hayupo) anapambana na vikwazo vya kiuchumi kwanza mpaka aje atoke hapo kachoka hatareeee.
Saaana
 
Vita haipiganwi kama kula maandazi na chai ya rangi unang'ata andazi popote tu hata umetizama kwingine.

Hapo kuna mission inatakiwa kukamilishwa ikiwemo kuepuka majeruhi na vifo vya raia, uharibifu wa miundo mbinu, kuwakamata walengwa wakiwa hai nk.

Urusi wamejipa saa 72 kukamilisha misheni yao. Leo rais wa Ukrain ndugu Zelesky akiongea toka mafichoni ameaga washirika wake wa NATO kuwa itakuwa mara ya mwisho kuongea nao kwani ndani ya saa 48 zijazo lolote laweza tokea kwake akiwa yeye ni mlengwa wa kwanza. Hizo saa 48 ukiongeza 24 zilizopita ni saa 72 za misheni ya Mrusi.

Vita sio maana wasio na hatia wanaumia kwa maslahi ya wapuuzi wachache
 
Dah raia wanapata shida sana. Mungu awanusuru.
 
Vita vya kiintel vinaendelea huko .

Mambo ni moto.

Niko na Rais wa Ukraine tunajadili namna ya kutorokea magharibi mwa nchi na kuweka kambi pale.
 
Sasa kusupport efforts to resolve the war through dialogue ndo kumtosa? Kwani Putin aliomba msaada wa kijeshi kwa Xi? Umepigwa clickbait ukaingia mkenge

Na wala China sio ally wa Russia, ila wanashare a common enemy!
China ni mshenzi kama washenzi wengine lakini ni muhimu kwa biashara na uchumi. Mtu unayemuuzia defensive systems and equipments zako alafu anaenda kufyetua kopi na kuzibrand kwa jina lake hawezi kuwa ally wako hata kidogo, hiyo ni dharau ya kiwango cha juu!

Kila mmoja anamsupport mwenzie kulingana na jinsi anayoserve interests zake!
 
Mwamba Putin ameshasema atakaeshoboka atamuoa bila mahari[emoji23]
Dah nakumbuka nlivokuwa skull, class kulikuwa na babe mmoja basi akitaka kumkandamiza mtu mangumi kwanza anatuchimba biti anasema qyumaa yoyoye aingilie ni mnyonye kimba basi dah unakuta mwenzenu anapigwa makonde makonzi mnabaki mnamuangalia tuu.



Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Putin Kuna ujumbe wako huku.watu wanakuchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…