Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?



Punyeto ina matatizo makubwa sana.

Yaani wewe upo huko kwenye mashamba ya mpunga, halafu eti unadai humsikii waziri mkuu wa Russia - Mikhail Mishusti.

Je, lini ulimsikia waziri mkuu wa Uganda? Unamfahamu hata anaitwa nani?

Punguza punyeto Bwana mdogo, Kila nchi ina mifumo yake ya ki-uongozi.
 
Achana na Uganda aseme kwa wakati huu Tanzania kati ya Majaliwa na Dk Slaa nani anatrendi.
.
.
KATAA PUNYETO NI HATARI KWA AFYA YA AKILI
 
Kwamba mjomba ukipishana nae bafuni unakuta watoto kibao wa rangi ya maziwa wametapakaa kwenye floor
 
Wamarekani waanza kulialia kuhusu siraha mpya ya China ambayo ni kiboko ya Marekani.


The Chinese army is developing a neuroweapon that will control the brain.

It is reported by The Washington Times.

The American edition published a report, which refers to the creation of special "neuroimpact" weapons by the specialists of the Chinese army.

It is assumed that such weapons are designed to influence and disrupt the brain activity of Western political leaders, including US President Biden. Or even the entire population.

Journalists believe that China is developing such weapons, seeking to win the role of the world's only superpower.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌🇷🇺💪
 
Ndyo mawazo ya washindwa wazee wa NATO mkitoaga analysis zenu mtu anabakki kushangaa tu ivi ni kitu gani ambacho unaisi Russia hawezi ffanyaa et kwenye logistics kwa uchumi wa Russia hawezi aisee kweli vichhaaa ni wengi hii nchi
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌🙌🇷🇺💪
 
Uko sawa sana
 
Pengine ni suala la mgawanyo wa majukumu zaidi, pengine PM ana deal zaidi na domestic issues kama elimu, afya, maji, miundombinu n.k ndio maana in respect na issues za int affairs ambazo sisi ndio tuko connected nazo zaidi kuhusu Russia, ndio maana hatumsikii kabisa.
 
Badala ya kujibu alichoandika unamtukana.
 
Marekani ukitaja viongozi wakubwa watatu wanaotajwa sana Kamala yupo. Urusi ukitaja viongozi sita wanaotajwa sana Mishustin hayupo. Hiyo ndiyo tofauti
 
Mtu upo mashambani huko unashinda kwenye majaruba ya mpunga
Halafu eti unaleta habari kwamba Russia kwenye Military communications wapo nyuma sana.
Mara waziri mkuu wa Russia hajulikani, sio maarufu.

Fungua hii Link hapa chini uone USA wanavyolalamika Russia anavyo Jam GPS systems zao:
Sasa unawezaje kuingilia mawasiliano ya mtu ambaye anafanya jamming?

Link 1:


Link 2:



Punyeto sio kitu kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…