kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ulileta taarifa hapa kwamba NATO imeyaamrisha majeshi ya ukraine yaliyopo msitari wa mbele kuweka silaha chini na kujisalimisha,tupe update ya hiyo habari!
VIDEO: Ukraine Troops SURRENDER en-masse; WHITE FLAGS on Tanks
30 JULY 2023
Hundreds of Ukrainian troops, displaying white flags on their tanks and infantry vehicles, surrendered en-masse to Russia today. More and more common as troops see with their own eyes, it is hopeless to continue fighting.
Video from the battlefield shows the mass surrender.Too little,too late,many have lost their lives in this senseless war.
cc:Kipanya
Waliwashauri,lakini haikutekelezwa,I do not know what happened behind doors.Kubadilisha maamuzi ni kawaida baada ya ku-asses circumstances.Hiyo inatokea hata in personal life.Ulileta taarifa hapa kwamba NATO imeyaamrisha majeshi ya ukraine yaliyopo msitari wa mbele kuweka silaha chini na kujisalimisha,tupe update ya hiyo habari!
SafiiiiiPutin ignored the Turkish president's request to hold talks on the resumption of the grain deal
SahihWaliwashauri,lakini haikutekelezwa,I do not know what happened behind doors.Kubadilisha maamuzi ni kawaida baada ya ku-asses circumstances.Hiyo inatokea hata in personal life.
Ufaransa kwisha habar yake akimalizwa Niger [emoji1183] wanatafta wengine wanampiga ChiniTuko wengi tunaoamini hicho kitu.
Ila Sasa trend ya kuvunja vunja French Empire kule West Africa imeshika kasi na sijui Mfaransa atafanya nini?
Mali
Chad
Gabon
Burkina Faso
Niger
Ila hii SMO imekuja kufumbua watu mambo mengi ambayo walikuwa awajui. Mwanzo walijuwa Russia anapigwa kumbe mwenzao kajipanga mda mrefu sanaUfaransa kwisha habar yake akimalizwa Niger [emoji1183] wanatafta wengine wanampiga Chini
Halafu kuna raia humu walikua wanajidanganya umshawishi wa RUSSIA [emoji635] utaanguka kisa SMO wakaangalie yanayojiri huko Niger [emoji1183]
France [emoji632] inaona anguko lake Kule ingawaje hawawezi kuingia kijeshi Niger [emoji1183] kazi waliyopewa na Russia [emoji635] pale Ukraine [emoji1255] tu inawashinda[emoji779]️Urgent. France implies a threat of war if French "interests" are attacked in Niger. [emoji1183] [emoji632] [emoji635]
[emoji95]Niger responds by setting fire to the French Embassy
Sasa apa Russia kajipanga nini wewe ndo leo mara ya kwanza unasikia mapinduzi ulimwenguni ama nini cha ajabu mpaka utie mliiio kiasi icho!!Ila hii SMO imekuja kufumbua 2atu mambo mengi ambayo walikuwa awajui. Mwanzo walijuwa Russia anapogwa kumbe mwenzao kajipanga mda mrefu sana
Russia [emoji635] anajua kipi anafanyaIla hii SMO imekuja kufumbua 2atu mambo mengi ambayo walikuwa awajui. Mwanzo walijuwa Russia anapogwa kumbe mwenzao kajipanga mda mrefu sana
Upe muda nafasi yake utaelewa kinachomaanishwaSasa apa Russia kajipanga nini wewe ndo leo mara ya kwanza unasikia mapinduzi ulimwenguni ama nini cha ajabu mpaka utie mliiio kiasi icho!!
Scorn him off mkuu,hao ni part and parcel of the CIA propaganda and state capture machinery.I could also rightly say ni extension ya the Mockingbird Media.
Nadhani jamaa ajanielewa, PUTIN sio mtu wa mchezo.Upe muda nafasi yake utaelewa kinachomaanishwa
The Big Boss PUTINSasa Putin anaitaka NATO yenyewe na sio Tena zelensky.View attachment 2703787