Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Washaanza shobo tena...
 

Safi xnaa hawa ecowas pumbav zao cjui kama wanaendeshwa na west waendelee wao wenzao washachoka ukoloni
 

Ndio tunaanza kwa kuwatoa wezi mkuu mengine taratib yanafata
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ili kujinasua afrika kwanza lazma ichague mrengo mmoja wapo specifically urusi na mapinduzi ya kiuongozi na kiutawala yatokee tofauti na hapo hakutakuwa na maajabu yeyote
 
Ndio tunaanza kwa kuwatoa wezi mkuu mengine taratib yanafata
Yaani hapa nikunya nakujipaka kwasababu unajitoa west ambako hawakushilii kimabavu unajipeleka Russia ambapo kwavitendo tunashudia ilivyongumu kuvunja nae mahusiano yaani niudugu walazima niache nikubonde [emoji23][emoji23]
Africa yasasa Inatakiwa imiliki agenda yake binafsi nasio kuwa naupande sisi Afrika leo hii tukiamua kuwekeza kwenye kilimo pekeake yaani tuwe raw-material producer inatosha kuishi maisha ya peponi Kabisa suala laulinzi Africa nilazima tuurudie uzalendo wa ngoz nyeusi sidhani kama huko kote kwenye tecnolojia kubwa zakivita hakuna weusi wenzetu ambao ni maengineer wahiii mitambo washawishiwe kibaguzi wapewe ulinzia nakila kitu waje watutengenezee vitu vyamaana Africa inakila kitu tumekosa uzalendo unafiki ndio unaotufanya tunaugulia hivi
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ili kujinasua afrika kwanza lazma ichague mrengo mmoja wapo specifically urusi na mapinduzi ya kiuongozi na kiutawala yatokee tofauti na hapo hakutakuwa na maajabu yeyote
Kosa letu nikua naupande tunaweza rise our own Agenda haiwezekani kilasiku tukawa wakushawishiwa japo sasaivi naona akina Ruto kama wanaamka ila bado tunashudia launafiki kati yao
 
Waache ushamba
 

Hata hivo ukiangalia sera na mambo ya west na jinsi wanavotufanyia ni mara 10 elfu kuwa na ushirikiano na china na urusi
Pia nchi za kiarabu hazijawai ingilia mambo ya ndani ya nchi japo uko watu wanawapinga kisa suala la udini
 
Russia inatumia garama kubwa Sana kuibadilisha dunia iliyojaa uovu wa NATO na US hata Kama naona dunia inazidi kuelewa nn anakifanya drone moja kupiga Moscow sio sababu ila pigo wanalopata hao west Ni mshono mkubwa sana Guinea, Mali, Burkina Faso na Algeria zimesema zitatoa usaidizi kwa serikali ya kijeshi ya Niger dhidi ya uingiliaji kijeshi wowote kutoka ECOWAS au magharibi. Afrika imeamka.

 
Hata hivo ukiangalia sera na mambo ya west na jinsi wanavotufanyia ni mara 10 elfu kuwa na ushirikiano na china na urusi
Pia nchi za kiarabu hazijawai ingilia mambo ya ndani ya nchi japo uko watu wanawapinga kisa suala la udini
Yaani kuwa naushirikiano kibiashara siio tatizo nijambo gani letu binafsi tunalisimamia nalikatutambulisha? nalituinue
Hawa Warusi nirangi moja nahao tunao waita wakoloni waonez hata ukiangalia kwenye hiyo Brics nimataifa machache ambayo yanapinga [emoji304] kwahiyo bado hatupo salama sana sijawahi fikili kwamba mrusi anauhasama mkubwa na uingereza kiasi chakumpa Nigeria nucler ili aitumie akiwa serious hawa bado watabaki kuwa wanafiki nawanyonyaji kwetu chamsingi kwao wameshagundua waafrika niwanafiki nahawana agenda yeyote.
Dunia imekua ndogo sana kutokana na science na technology twaweza amua kua wakulimatu natukayashinda haya madharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…