lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Aaaha ha ha haa,aha ha haaJamaa wameona isiwe taabu, waseme ni yeye mwenyewe maana wanajua majibu yake.
Sawa, ngoja kwanza tuendelee kumshuhudia Ukraine akimtia adabu urusiAliyekuwa mshauri wa Ikulu ya Marekani Doglas McGregor amesema kwamba, iwapo Marekani itaingiza jeshi lake nchini Ukraine dhidi ya Urusi, Marekani itaangamizwa kabisa!
Douglas aliendelea kwa kusema kuwa, Urusi haina utani wala maigizo ikiwa vitani. Urusi ikienda vitani na mbabe mwenzake huenda na machaguzi mawili, kati ya kufa ama kupona wakati huo Marekani inaenda vitani kwa matamanio.
Kina kipanya na wapiga punyeto wenzako mnasikia sauti za wamarekani halisi?
Acha uongo mzee..Halafu Hilo jengo unalosema limepapaswa ,ni makao makuu ya wizara tatu tofauti hapo urusi.., yaani tuseme kwamba
Wizara ya elimu ya urusi makao yake makuu ni hapo
Wizara ya ulinzi ya urusi makao yake makuu ni hapo
Wizara ya uchumi ya urusi makao yake makuu ni hapo
Ukraine hawafanyi mambo kienyeji na kijinga kama unavyofikiria,
Wewe unaota na sio mzima....yaani Ukraine mpaka sasa kashindwa hata kukomboa maeneo ya kwake alonyang'anywa...hiyo Moscow atafikaje???Crimea pale miaka 9 sasa tangu ichukuliwe na ni jirani tu hapo...wameshindwa kuirudisha....hiyo Moscow wataichakaza vipi?Cha msingi ni kwamba ujumbe unafika kwamba ni suala la muda kuifikia Moscow city center na kuichakaza.., hivyo ukiona Ukraine katulia sio kwamba hawezi hizo mission!
Tumia akili kama wameshindwa kukomboa maeneo kutoa urusi wataweza kufanya chochote cha maana ndani ya urusi?tumia akili.Cha msingi ni kwamba ujumbe unafika kwamba ni suala la muda kuifikia Moscow city center na kuichakaza.., hivyo ukiona Ukraine katulia sio kwamba hawezi hizo mission!
Unataka wakomboe Leo vita iishe?Tumia akili kama wameshindwa kukomboa maeneo kutoa urusi wataweza kufanya chochote cha maana ndani ya urusi?tumia akili.
Nadhani watatumia mfumo wa panya rodiWewe unaota na sio mzima....yaani Ukraine mpaka sasa kashindwa hata kukomboa maeneo ya kwake alonyang'anywa...hiyo Moscow atafikaje???Crimea pale miaka 9 sasa tangu ichukuliwe na ni jirani tu hapo...wameshindwa kuirudisha....hiyo Moscow wataichakaza vipi?
Ni mtu mjinga tu kama wewe anayefikiri urusi itasagwasagwa.urusi wenyewe wanasema hata hao NATO wenyewe waje tu.Unataka wakomboe Leo vita iishe?
This is war of attrition, urusi lazima asagwesagwe kwanza kabla ya kutimuliwa.
Ndio maana huoni kiongozi yeyote wa west akijaribu kuomba usitishaji vita hapo Ukraine!
Basi Putin atulie Ili vijana wakakamavu wa rais zelensiky waendelee kumnyoa vizuri maana hakuna namna nyingine!Ni mtu mjinga tu kama wewe anayefikiri urusi itasagwasagwa.urusi wenyewe wanasema hata hao NATO wenyewe waje tu.
Vp kuhusu crew member wa meli husikaHuko odessa meli mbili za UK zimeliwa kichwa tusubiri article 5 tuone kama itafanya kazi