kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Uzuri ni kwamba namba hazidanganyi, Ukraine akiwachinja warusi anakuwekea kabisa takwimu..,na hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa π₯±π₯±π₯±Halafu kp kipanya44 atakuja na zile statistics zake za leo tumewachinja 850+
- [emoji1183]/[emoji635] Wagner Source: The decision has been made to deploy combat troops of the Wagner PMC in and around the capital of Niger, in light of the current security situation and foreign threats
@Middle_East_Spectator
Mkuu sio uwezo wa Russia tu,hata uwezo wao kijeshi unaonekana ni propaganda zaidi kuliko uhalisia. Sababu kwa sasa anayepigana pale Ukraine ni NATO na sio Ukraine.West walitudanganya sana kuhusu uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Russia ya Putin, uhalisia tunaanza kuuona
Kikweli Putin kawatukana sana west,nabado anawavua nguoMkuu sio uwezo wa Russia tu,hata uwezo wao kijeshi unaonekana ni propaganda zaidi kuliko uhalisia. Sababu kwa sasa anayepigana pale Ukraine ni NATO na sio Ukraine.
Angalia kabali aliyopigwa.
Hawa machocolated tu. Hakuna jipya apo. Point kadhaa Kwa Putin again.Mwenzao Nigeria ameshatema bungo... πππ... Hivi deadline si ni leo....
Nadhani hujaelewa hapo.Kwani niger ana vita na urusi? au hapo utemi upo katika nini?
ungesema ndege ya ufaransa ningekuelewa?
Ukiona mtu kabadili mabwana,huwa hapongezwi bali anabadilishiwa jina.
Russia mwaka huu kaamua sana kutuonesha ulimwengu kama yupo ila alikiwa buze katika kuzalisha siraha hili watu waingie mzigoni. Ndo tunayo yaona Maa kuna kauli putin alisha wai kuongea kuwa. Vita vya ukraine vitakuwa ndo vita za vita zote duniani. Sasa no ndo nanza kumuelewa sana jamaa na aliongea toka mda sanaNadhani hujaelewa hapo.
Ndege ya jeshi ya Urusi yenye vitu visivyojilikana ndani yake yatinga Niger kwa ajili ya kusapoti wanamapinduzi wa Niger dhidi ya vitisho vya NATO kupitia ECOWAS.
Hii habari nzuri sana kwa sisi mashabiki wa URaaaaaaaaaaaa ππππ[emoji1183][emoji632] Niger has ENDED all military agreements with France and given the French military 30 days to FLEE the country.View attachment 2709982
Vagner ni pasua kichwaWatu wamesikia Wagner wametia mguu wamekuwa wapole[emoji23][emoji23]
Hakika kabisaKatika kumbukumbu kama sijakosea Nigeria ndiyo nchi inayoongoza afrika Kwa mapinduzi ya kijeshi,
Huyu nadhani wamemshtua kuwa ukipeleka jeshi Niger basi watu wanaweza kufanya mapinduzi huku nyuma
Huu tayari ni mpasuko kwa ECOWAS,hawatamudu.Wamesema Senegal, ivoricost na Togo wqpo tayali kutuma jeshi sisi yetu macho.
Kusema kweli wala sijaelewa ulichoandika,na naamini hata wewe mwenyewe baada ya nusu saa toka uandike ukiulizwa uliandika kumaanisha nini wala hutojua.Sio kuwa wana akili, unaona hvyo coz we ni mbumbumbu na unaona wanaendana na unachoamini
Duniani nilijifunza kufanya mambo kwa kutumia LOGIC, kuwa naongea kwa faida gan au lipi litatokea mbele au hasara gani, sio mtu anaongea kisa feelings zake na Pride yake