Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Hatuwez iamin hii taarifa mpaka braza kipanya atakapoithibitisha km ni kwelAl Jazeera wanaripoti kwamba:
1. Ukraine imekubali ku discuss ile peace plan ilikuwa proposed na China, na mjumbe wa China for Euroasia, yupo kwenye hii negotiation
.
2. Ukraine hawajaweka any pre conditions za peace negotiation (ikiwemo hiyo ya vikosi vya Russia viondoke kwanza)
3. Ukraine wanatarajia peace treaty kuwa imesainiwa kabla ya December mwaka huu.
Kweli nimeamini vilianzia Cremia na vitaishia Creamia..... 🙂🙂
Watamalizwa kama walivyomalizwa wale wa Syria.ISISMfadhili wa Al-Qarda sasa amejukikana wazi wazi
Mchawi lugha[emoji1255]🪦 Another one caught the train....
49-year-old Major Andrei Khimka from the city of Novoyavorivsk, Lviv region was liquidated in the Zaporozhye direction.
The Bandera Express keeps rumbling along...choo choo[emoji16] 🪦[emoji1255]
Mzee hiyo kazi ya tafsiri siyo yangu. Mimi naleta news mpya mpya. Kama unashindwa tafsiri nenda google translateMchawi lugha
Km itakupendeza nisaidie tafsir ya sentens ya mwisho
🤣🤣🤣🤣 Masa ya wapi?ECOWAS gani wapo members 15...tuanzie hesabu za kutoa Guinea, Burknabe, Mali, Niger wapo pamoja kijeshi ... Wanabaki 11, Nigeria kapigwa Pini wanabaki 10, Senegal ana shughuli yake Kule kamkamata mpinzani mkuu kampa makesi ya ajabu watu wapo mtaani hawezi kutoa jeshi wanabaki 9... Ivory coast nao Wana mbingu yao...wanabaki 8 Togo, Sierra Leone, Cape Verde,Gambia ,Ghana na Guinea Bissau ambao ndio wapo kimyaaa kama wanaaga maiti.... Kimbelembele ni Nigeria tu ... Tena anapigana Bomba la mafuta tu... Hakuna kitu hapo .... Deadline si imepita wanasubiri nini ... deadline si ni jana .... Au wanatumia masaaa ya Jupiter!!?
Hakika mkuu,Hawa jamaa hata wakikuambia kwamba kumeshakucha,hebu toka nje uhakikishe Kwanza..,kikao chenyewe kimesha malizika bila statement yoyoteHatuwez iamin hii taarifa mpaka braza kipanya atakapoithibitisha km ni kwel
thats the key words,⚠️🇫🇷 The French General Staff is considering the possibility of evacuating its armed forces from Niger to neighboring Chad, and a complete withdrawal to France is in play.
▪️The well-informed Russian and Turkish media reported yesterday that a contingent of PMC Wagner (recently Wagner Group) entered the capital of Niger. According to those statements, these forces will be deployed at key locations in and around the city, where they will secure a perimeter around all important facilities.
** Motorized parts of the Wagner group relatively easily dispersed the Islamist militia (Al-Qaeda aka American friends) operating in the border zone between Mali and Niger and
Asante brazaMzee hiyo kazi ya tafsiri siyo yangu. Mimi naleta news mpya mpya. Kama unashindwa tafsiri nenda google translate
.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298]From February 24, 2022 to August 7, 2023, Ukraine’s Defense Forces eliminated 250,240 Russian invaders, including 540 in the past day alone, according to the General Staff of the Armed Forces.[emoji298]