President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Where is your reliable source inayosema mimi ni mpotoshaji?
I told you unapokosoa jambo use your intelligence than your emotions.
Huwezi kusoma encoded information mdogo wangu. Nenda kasome umbea wa mwijaku. This is a GT platform. Mbumbumbu hawawezi.Fly back to my second reply and the first and second answer you gave ndo utajua ambapo hatuelewani.
Taarifa uliyochapisha imeonyesha countries in Africa whose presidents have ever been assassinated by the French, Tanzania ikiwemo. Taarifa uliyochapisha imeonyesha pia kwamba rais wa mwisho kuwa assassinated barani ni Colonel Muammar Gadaffi.
Nikakuuliza ni rais gani Tanzania amewahi kuuliwa? Hukutoa jibu lenye kutoa majibu. Nikakupa historia fupi ya kwamba rais pekee aliewahi kupoteza maisha akiwa madarakani ni JPM ambae hakuna mahala popote panapothibitisha pasina shaka kwamba aliuawa. Pia the fact that hayati JPM alifariki baada ya Gadaffi ambae kwa taarifa yako uliyoleta ndiyo wa mwisho kuuwawa, makes your info invalid.
Period.
Nigeria inaviziwa. Hawajiulizi nani ni Boko haram na kwanini wapo. Ule uchumi ni tishio kwa westβIt is unlikely that the intervention of non-regional forces can change this situation for the better.β
The Kremlin commented on Nigeria's appeal to the United States for help in restoring constitutional order. And they said that Moscow is closely monitoring the situation
View attachment 2710871
π«π· African nations whose presidents have been assassinated by France
- highlighted in red. π«π·
Or, where France has been involvedβΌοΈ
Remember Gaddafi π‘
Afrika inalazimishwa kuwa undeveloped kwa maslahi ya Ulaya na wala sio kwamba hatuna akiLI kama wanavyotutaka tuwaze hivyo.
Kama kuna nafasi ya dhahabu tumeipata kujitoa kwenye makucha ya hawa weupe,basi ni sasa! Tuna back up ya Russia kiulinzi na kiuchumi na pia kuna aina flani ya muamko miongoni mwa Waafrika wenyewe dhidi ya viongozi vibaraka wa Ulaya. Ikitokea tukakosa kuitumia hii nafasi vizuri kujikwamua,itatuchukua karne nyingi kupata nafasi ya dhahabu kama hii.
Kipindi kama hiki ndio kingekuwa na Marais wachache wazalendo waliotangulia mbele ya haki,ingekuwa rahisi sana kutimiza jambo letu. Mungui tusaidie.
AFRCA UNITE.
Mdogo wangu inakuuma sana? Can you show us where is the source of your information about your claims?To put a long nail in the coffin, Gadaffi wasn't even assassinated by the French.
Get your facts straightened up
Nadhani umamaanisha JPM pia yupo katika list ya ...... japo umetumia Gadafi kama raisi wa mwisho, Ujumbe umefika asante. Kwaiyo France na Nato na Usa wanahusika.. This is a GT platform baby ππππHuwezi kusoma encoded information mdogo wangu. Nenda kasome umbea wa mwijaku. This is a GT platform. Mbumbumbu hawawezi.
Huwezi kusoma encoded information mdogo wangu. Nenda kasome umbea wa mwijaku. This is a GT platform. Mbumbumbu hawawezi.
What is your opinion so far? Maana unalalamika sana.Pump your brakes big bro, you are not smart. You are just another brainwashed African with a smartphone and plenty of time with nothing to do.
Unakusanya taarifa ovyo huko unakuja kuziweka hapa, which is not bad ila unatakiwa u'review kabla. That's what mindful persons do.
Safi sanaAlgeria informs France of its refusal to allow French military aircraft to cross its airspace
[emoji1026] [emoji1183] [emoji2936] [emoji632]View attachment 2711164