Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee issue za kuthibitisha huwa ni mahakamani. But sasa hivi dunia ipo mbali sana. Wewe ni kijana mdogo lakini bado unaishi na mawazo ya ujima.

Asante sana mkuu. Ugeni wangu hapa JF naona ndo unaoniponza. Sikujua kama hili ni jukwaa la watu kuweka taarifa za uongo na pale mtu akiulizwa swali anakua ni mdogo mwenye akili za enzi za ujima.

Umeeleweka mkubwa.
 
Labda nikuulize swali na hapa ndipo panapochanganya, hadhi ya urais inasha au mwisho wake unakuwa lini?????
 
Ninachohisi ni nchi kama tz imejifanya ipo neutral lakini ukweli wapo pamoja urusi, huwenda wameshaongea na urusi,uchina na Saudi Arabia waanzishe mfumo utakao lazimisha nchi kununua bidhaa Kwa pesa nchi husika, Kwa hiyo nchi yetu itapata kichaka cha kujificha kuwa inalazimika kuachana na dollar kutokana na matakwa ya soko inakuwa imeisha hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unamaanisha kuwa CIA walipokubali kuwa walihusika na mauaji ya Patrice Lumumba, waliomkamata walikuwa wazungu au CIA wenyewe au vibaraka wao waliokuwepo Kongo kipindi hicho?????

Sijajua basis ya swali lako ila Patrice Lumumba alipigwa risasi na askari wa Belgium. Mlolongo wote mpaka kuuawa kwake ambao umekua detailed, waliomkamata ni vibaraka waki'Congo kwa ushirikiano na serikali ya Belgium. Uhusika wa CIA sijauona popote ila kama walihusika kwenye ku'coordinate jambo hili, well and good, hatuthibitishi yasiyothibitika.

Hii haikuwa na ufanano wowote na case ya Gadaffi. Swali lako lina msingi gani?
 
Ndio inaisha. Inaisha pale tu muda wake unapofika kikomo na anapopatikana mtu mpya. Baada ya hapo yeye ni mstaafu kama walivyo wastaafu kutoka taasisi zingine.
Cheo cha urais hakina kikomo mpaka anaingia kaburini, Ila majukumu ya urais yanakoma pale anapopatikana mrithi wake, ndiyo maana Leo hii mwinyi kastaafu miaka karibia 30 iliyopita lakini bado ana ulinzi na ana msafara wa ulinzi kila anapokwenda
 
Cheo cha urais hakina kikomo mpaka anaingia kaburini, Ila majukumu ya urais yanakoma pale anapopatikana mrithi wake, ndiyo maana Leo hii mwinyi kastaafu miaka karibia 30 iliyopita lakini bado ana ulinzi na ana msafara wa ulinzi kila anapokwenda

πŸ˜‚kama hili ni kweli basi naomba niachane kabisa na huu mjadala maana HAKUNA NINACHOJUA KUHUSU KITU CHOCHOTE HAPA DUNIANI.
 
CIA wamekubali wenyewe kuwa walihusika na kifo hicho, sasa unapinga vipi??
 
Hili swali nimekujibu baada ya kusema Gaddafi hajauawa na France, ukiwa na maana aliuawa Askari wa waasi, Ila unaacha kujua kuwa hao waasi kuanzia silaha ndege za kivita na satellite za kujua Gaddafi Yuko wapi mfaransa alihusika
 
Hili swali nimekujibu baada ya kusema Gaddafi hajauawa na France, ukiwa na maana aliuawa Askari wa waasi, Ila unaacha kujua kuwa hao waasi kuanzia silaha ndege za kivita na satellite za kujua Gaddafi Yuko wapi mfaransa alihusika

Gadaffi aliuliwa na NATO. Ilikua a joint venture hivyo unapowapa credit France pekee hata kama walihusika ni unakosea tena sana.
 
CIA wamekubali wenyewe kuwa walihusika na kifo hicho, sasa unapinga vipi??

Aloo! hivi kusema kwamba ulitenda kitu bila kuwa na uthibitisho maana yake ni kweli ulitenda? Historia inasema Patrice Lumumba along side others, were shot dead by Belgian forces. CIA mara nyingi huchukua credit kwa matukio kibao ambayo mengine sio ya kweli. Kwani hao hao CIA si walikataa kuhusika na mauaji ya JFK na wakati investigative sources nyingi zilisema ni wao. Kipi kilibadilika?
 
Mkuu nadhani jibu lipo ndani ya ujumbe wako mwenyewe. Elewa maneno "MPAKA PALE". Hivyo basi, mpaka pale itakapothibitishwa vinginevyo, hayati alifariki kwa ugonjwa.
Sawa mkuu pro NATO tushie, kumbe unasuburia mfaransa aje athibitishe????🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Daaah mkuu nimeshindwa Mimi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mkuu tatizo lako Una ubishi lakini huna unalolijua

Ingia kwenye hii link President 'ordered murder' of Congo leader
 
Thibitisha matendo ambayo CIA hawakufanya halafu wakasema wamefanya wao????

Sasa unataka uthibitisho upi ili ukubali???

Ndo kusema CIA wanajisingizia?????

Kweli nimeamini tz elimu ni Kansa mbaya kuliko ukimwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…