Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Twende taratibu. Kuimba kupokezana. Gavana wa Katanga aliitwa nani? Who captured PL? Where was he captured? Under whose order? Tuanzie hapa kwanza.
 
H

Hapo kaongelewa France, siku tukizungumzia USA na yeye atatajwa, tatizo lako wewe umepinga kabisa kuwa France hajawahi kuhusika na hayo mauaji

Ona sasa😂. Hujui ulisemalo ndugu yangu.

Maana ya kuwepo kwa kundi ni kujumuisha uhusika katika jambo na ndio maana kwenye kundi la watu watano, watu wanne wakipitisha jambo na huyu mmoja akalipinga, jambo litafanyika kwakua wengi wamekubaliana nalo na huyu mmoja hatokuwa nje ya matokeo ya jambo hilo. Uhusika, madhara na/ama manufaa ya jambo hilo yatawahusu wote.

Huwezi kutoa credit kwa France ama member state nyingine kwa jambo lililofanywa na NATO. Pamoja na kila nchi kutoa wapiganaji wake ila jeshi linaitwa jeshi la NATO.
 
Twende taratibu. Kuimba kupokezana. Gavana wa Katanga aliitwa nani? Who captured PL? Where was he captured? Under whose order? Tuanzie hapa kwanza.

Leader wa secession ya Katanga alikuwa Moise Kapenda Tshombe. Lumumba was captured in Lodi as he and his convoy plus wife and child were crossing the Sankuru river na he was captured by Mobutu's men who were working under Colonel Mobutu's command.

What else?
 
Mkuu tatizo lako Una ubishi lakini huna unalolijua

Ingia kwenye hii link President 'ordered murder' of Congo leader

Si unaona sasa? Acha kuleta ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kiundani. Nitakuelewesha na utaelewa wala usiwe na wasiwasi ndugu mjuaji.

U.S president Dwight Einsenhower ni kweli kabisa kuwa ali'order Patrice Lumumba auliwe ila attempt yao ilifeli. Walitaka kumuwekea sumu kwenye mswaki ama chakula, ndiyo ilikua initial plan. Chemist wa CIA kwa jina la Sidney Gottlieb alienda Congo mnamo mwezi wa 9 mwaka 1960 kwaajili ya kazi ya kum'poison Lumumba ila ma'station chief wawili wa CIA ( Larry Devlin na Justin O'Donnell) wote hawakulitekeleza hilo.

You are misinformed.
 
Hebu leteni update za uwanja wa mapambano. Mnaharibu mnapoleta mabishano na ujuaji humu. Halafu mnajidai mnajua sana analysis za kiusalama wakati level zenu ni za humuhumu tena napo hakuna mnachoweza kuchambua na kuja na solution ya maana hasa kwenye kuzuia. Mmekuwa reporters kama media za TV na radio tu.
So acheni kuiharibu hii thread yetu ambayo lengo lake ni kutupa updates za mgogoro wa Ukraine.
NB:
Sina maana watu wasiweke maoni yao humu. Tuweke lakini sio kwa huu mtindo wa kujidai wewe ni Intel analyst humu.
 
Natamani wakimaliza huko waje na huku kwetu kutuondolea wale mabwege wanaojiita "wenye nchi" ili tuanze upya kwa kuheshimiana.
 
Uzuri wa Russia anapiga kwenye mshono tu. Kilio mtatoa nyie
 
Hilarious. The irony is, mpaka hapa tulipofikia ni kwasababu ya wewe uliyeshindwa kutetea chapisho lako kwa kujibu ulichoulizwa, and I'm the one without hoja!
Yaani unavyochanganya viingereza ndio unajiona unajuaaaaa eti.... Ni ujinga tu... Unaongea na mswahili mwenzako viingereza vya nini... Utwana huo...
 
Dunia ilikuwa inasubiri mtetezi ambae atawasiaidia wakisema leo hii mwamba putin yupo watu wanafunguka tu..
 
Utasikia mrusi kakabwa koo[emoji23][emoji23]
 
A heartfelt salute to Chancellor Scholz, the German government, and the entire German nation! The provision of long-range missiles at Taurus is more than a gesture; it’s a statement.

Let our enemies take note: The Taurus will fall upon the occupant’s head, a memory they will never forget - if they survive, of course (spoiler: they will not). Together, we stand for dignity, freedom, and global solidarity.

Thank you, Germany. Thank you, world. Here’s to the oppressors meeting their own bully. [emoji1255][emoji1666][emoji629][emoji123]
 
[emoji779]️ US approves shipment of first batch of Abrams tanks to Ukraine

It is reported that the tanks will arrive in #Ukraine in early fall. This was announced by the #US assistant secretary of the Army for acquisition, logistics, and technology, Douglas Bush.

"They are ready. Now they need to be delivered to Europe, and further to Ukraine, along with everything that goes with them: ammunition, spare parts, fuel equipment, repair facilities. So it's not just tanks, it's the whole package," CNN quoted Douglas Bush as saying.

Bush did not specify how many tanks will be in this first batch.

The US announced its intention to transfer 31 #Abrams tanks to Ukraine in January this year. So far, the tanks have been refurbished and prepared for transportation, and in the meantime, Ukrainian tankers and technicians have been training on the same tanks in Germany since May.
 
Naona Ghana na wenyewe kumeanza kuwaka


📢 🌍🇬🇭 West Africa Freedom Rally ✊ The time is now for us to stop talking the talk and start walking the walk. The multipolar world is upon us. Today, we can reach across cultures and continents, we can help humanity. This is not just African liberation, it just begins in Africa, where we all began.

🔴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…