kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukraine SoldierHii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2715512
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaambiwa save the best for the last, hilo bridge ndo itakua final nail to the coffin.Ni kweli, naona hili daraja wanalichelewesha.., inabid walipe tetemeko haswa hambalo litafanya matengenezo yake yachukue miezi kadhaa kama sio miaka!

Nimeipenda hii [emoji119][emoji119]Unaambiwa save the best for the last, hilo bridge ndo itakua final nail to the coffin.
Maamuma si waislamu mzee au umemaanisha nini?Hivi hapa umekisoma ulicho kiandika?
Unajua sifa moja wapo ya kuendelea ni Transport and logistics.
Embu waza hivi eneo ambalo halifikiki hivyo gharama ya bidhaa na huduma huwa juu.
Sasa tukiboresha miundombinu ya reli na barabara huoni utapunguza gharama ya bidhaa na huduma hivyo kurahisisha maendeleo.
Wewe ni mchumi, Mhasibu au mtaalamu wa fedha?
Naogopa isije nikawa naargue na maamuma.
Rate ya purchasing dollar ndo 2500,rate ya ku sale yaani utoe tzs upewe dollar ni 2550 na above 500 dollars mpaka kibali toka Treasury according to BOT circular may 2023 baada ya uhaba wa dollarsYeah ni sahihi, kuna kitu kwenye uchumi kinaitwa arbitrage, ambayo inahusisha currency tatu kwenye market mbili tofauti.
You buy dollar kwenye market ambayo demand ya dolla iko chini, unaenda kuuza kwenye market ambayo demand ya dolla iko juu.
Ukifanikiwa kununua dola kwa rate ya 2500tshs hapa Tz, ukauza Kenya kwa rate ya 150Kshs na ukaja kuibadili ile Kshs hapa bongo kwa rate ya 1kshs to 22 Tshs...ile difference ndo faida.
Changamoto iliopo hapa ni kwenye upande bank charges. Ukitumia bank charges zilizopo, faida yote unawaachia banks. Ukisema uvushe pesa kwenye bag, uwe makini kutopewa kesi ya utakatishaji wa pesa
Mwengine huyu.