Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia issues positive update on historic lunar mission

Luna-25 has successfully separated from its booster and is en route to the Moon

on.rt.com

IMG_2326.jpg
 
Russia sio Africa kwamba wana wanajeshi wachache.Kumbuka Recruitment ya wanajeshi laki 6 (Russia ilifunga mipaka vijana wasitoke nje ya nchi),pamoja na recruitment ya Wagner mercenaries kupita kwenye jela na kuandikisha wanajeshi mpaka huku Africa.Pia kuna reservests wengi wanapelekwa frontline!
Vita hii ikiisha,takwimu halisi za casualties kwa pande zote mbili zitajulikana!Nyingine hizi ni propaganda,hakuna uhalisia wowote!Wewe unarusha makombora miles away,unajuaje idadi ya watu waliokufa kwa kombola hilo?
Mtu sahihi wa kujua takwimu halisi za ukraine ni ukraine mwenyewe na kwa upande wa Russia ni Russia mwenyewe!
 
Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.

Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.

Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.

Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).

Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.

Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?

YOU'RE SMART.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Umeitendea haki elimu Yako ndugu.
Unajua kuelezea na kufafanua.
Kama sio wewe hii ilikua ni sehemu ya propaganda humu Jukwaani.
Hata Mimi niliebobea kwenye fani ya ufundi ushonaji nguo aka "fundi cherehani" nimeewewa.
 
[emoji779]️Russia Foils Massive Drone Attack Over Crimea

Russian air defenses brought down 20 drones in the early hours of Saturday over Crimea, the Defense Ministry has revealed, calling the incursion an attempted “terrorist attack” by Ukraine.

The ministry wrote on Telegram that 14 UAVs were shot down, while six others were incapacitated by electronic warfare.

“There were no casualties or damage as a result of the thwarted terrorist attack,” the ministry noted.

The statement added that the destroyed drones had targeted unspecified facilities on the peninsula.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Patriotic air defense iliyoletwa na mjerumani Kwa mbwembwe tayari imeliwa kicha😂😂😂
The Turks report that the Patriot air defense system, stationed at the Kiev Zhuliany airport and transferred by Germany, was destroyed by Russia using the Dagger hypersonic cruise missile.

The passage of the Condor satellite was supplemented by the work of electronic and undercover intelligence from the field, and the target was destroyed very quickly.

The SBU and GUR of Ukraine are intensively looking for the source of a possible leak.

To date, three Patriot batteries have been destroyed in Ukraine and there are two more.
 
West Can’t Defeat Russia – Vucic

“A war of attrition is being waged, and with all the strength of the West, Russia will not be defeated on the battlefield,” Serbian President Aleksandar Vucic said.

He also noted that Moscow was holding up under Western sanctions “better than many expected.”

Read the full article here

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umedadavua vizuri sana mkuu... wacha tuendelee kuisoma movie...

Na apo unamaanisha nikinunu dola 1 kwa 2500tsh nikaenda uza kenya napata 3000tsh (150ksh) apo napiga li 50tsh kama faida.... kwenye mil 25tsh natoka na faida ya 5mil.... naomba tusaidiane kueleweshana apo kama vp watu tuingie mzigoni
hata hizo dola kuzipata ni mbinde
 
Ecowas wakajifunze Yemen nini hua kinatokea mataifa ya nje yanapoingilia kati kuwarudisha madarakani viongozi ambao ni vibaraka wa nchi za nje. Soudia akisaidiwa na west wanakumbana na mazito kutoka kwa Houthi rebels

Kuhusu mgogoro wa Niger, hautamalizwa kwa njia ya uvamizi wa kijeshi kama ambavyo wengi wanadhani.

Sababu kubwa ambayo wazungu wanaiogopa ni wimbi la wakimbizi ambao watakuwa na sababu genuine ya kukimbilia ulaya na wao wazungu itabidi wawakubali.

Ulaya imeshaelemewa na wakimbizi kwa sasa, hawatafanya kosa la kuchafua hilo eneo.

Lakini ki jografia kama Niger ingelikuwa huku kusini mwa Africa, faster sana wangeshaanza vurumai.
 
Sijui hesabu gani umepiga kupata hio miaka 5E9. Ila nachujua Number don't lie acha izo porojo za kisiasa, mara oooh tunaonganisha mikoa, maraa ooh watu wanapata nafuu ya usafiri.
Nadhani hujui kabisa nini dhana ya kuendeaha Serikali kwa mfumo wa kisasa wa kibepari, serikali inapaswa kuchaneli mapato inayopata katika miradi iliyotekelezeka kwa faida, miradi inayojiendesha. Labda nikuulize kama wewe u ulipaji wa Kodi. Au unafikiri serikali inachapisha tu pesa hovyo hovyo ikitaka kufanya mradi.
Hivi hapa umekisoma ulicho kiandika?
Unajua sifa moja wapo ya kuendelea ni Transport and logistics.

Embu waza hivi eneo ambalo halifikiki hivyo gharama ya bidhaa na huduma huwa juu.
Sasa tukiboresha miundombinu ya reli na barabara huoni utapunguza gharama ya bidhaa na huduma hivyo kurahisisha maendeleo.

Wewe ni mchumi, Mhasibu au mtaalamu wa fedha?
Naogopa isije nikawa naargue na maamuma.
 
[emoji635][emoji1183] Russia warns ECOWAS not to take military action against Niger

Military action against coup leaders in Niger would lead to a "protracted confrontation", Russia has warned.

In a statement issued on Friday, Russia's foreign ministry warned other West African nations not to send troops into Niger.

It said: "We believe that a military solution to the crisis in Niger could lead to a protracted confrontation in that African country, and to a sharp destabilisation of the situation in the Sahara-Sahel region as a whole."

At the same time, pro-government manifestations continue in Niger.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom