Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa takwimu hizi ambazo huwa unazileta hadi sasa Russia ilipaswa iwe ina wanajeshi wachache sana na dhaifu saaana.
Russia sio Africa kwamba wana wanajeshi wachache.Kumbuka Recruitment ya wanajeshi laki 6 (Russia ilifunga mipaka vijana wasitoke nje ya nchi),pamoja na recruitment ya Wagner mercenaries kupita kwenye jela na kuandikisha wanajeshi mpaka huku Africa.Pia kuna reservests wengi wanapelekwa frontline!
 
Nashangaa sana African anapokua anawapenda westerns.

Namuona ni mtu mpumbavu sana.


Screenshot_20230811-165231_YouTube.jpg
 
Miradi mikubwa yote afrika imefanywa na wachina.
Wakati Nyerere amepeleka wazo la Tazara kule IMF na Wb aliambiwa huo mradi kwa nchi changa haiwezekani ila alivyopeleka China ulijengwa faster faster, hata leo highways nyingi afrika zimejengwa na wachina ili kurahisisha maendeleo.

Zaidi ya miaka 500 ya west walitufanyia nini?
West walikataa kwa sababu reli ya Tazara haikuwa sustainable economical, uliza kama dola miliion mia alizotumia mchina kujenga hio reli kama ziliweza kulipwa. Saddly, it all over again viongozi wetu wanarudia makosa yale yale kwa kujenga SGR which its not economic viable ilaa kutokana na political will inajengwaa.
 
Y
Ecowas wamekubaliana kuingia NIGER kijeshi kulinda maslai ya Marekani na NATO. Poor Africa


Alasane Watara ni Kibaraka mbaya sana Tibunu ni jambazi lingine kitu kibaya zaidi Afrika hii haina Big brothers kama walipokuepo akina Nyerere...Mtu kama Odinga amebaki kulia lia pale Kenya nae ni pro west....Niger wajipambanie wenyewe waombe Wagner msaada haya majizi Ufaransa yakome...
 
West walikataa kwa sababu reli ya Tazara haikuwa sustainable economical, uliza kama dola miliion mia alizotumia mchina kujenga hio reli kama ziliweza kulipwa. Saddly, it all over again viongozi wetu wanarudia makosa yale yale kwa kujenga SGR which its not economic viable ilaa kutokana na political will inajengwaa.
Hicho ni kipengele kimoja tu kwa faida ya reli
vipi kuhusu jamii?
vipi kuhusu social economic impact itakayo leta maeneo itakapo pita?
Vipi kuhusu mazao ya chakula, copper, logistics kwenye kuyafikia masoko?
Vipi kuhusu usafirishaji wa watu, bidhaa na huduma ukiwa rahisi hujui kwamba utapunguza gharama ya bidhaa na huduma?

Leo hii wachina wamejenga reli ndefu zaidi ya kuunganisha mikoa kama Xinjiang na Tibeti
je waliangalia faida za kiuchumi tu?

kwa mtazamo huu wa West ndio maana Kongo Brazaville haina Connection ya barabara kutoka mji mkuu kwenda mji wa pili kwa ukubwa, huoni hiii nchi inazidi kuwa duni? Kongo Kinshasa vile vile, eti unaambiwa hakuna barabara za uhakika kutoka kinshasa mpaka Lubumbashi wakati huo huo Unaweza kusafiri kwa Lami kutoka Moscow mpaka Vladivostok.

Kama tukiendelea kuwasikiliza Western na their economical model basi bongo itaendelea baada ya miaka 5,000,000,000
 
Makomandoo wa Uingereza wawapa mbinu za kikomandoo,wanajeshi wa Ukraine!
......
Royal Marines train Ukrainians in the art of commando raiding.
[emoji636] [emoji1255]

Royal Marines have spent more than six months training nearly 1,000 Ukrainian counterparts in the art of commando raiding and complex amphibious operations.

Specialist instructors from across the UK Commando Force passed on invaluable expertise and knowledge in how to plan and carry out raids using small boats by day and night.

One unnamed Ukrainian Marine said: “The training I have received from the UK Royal Marines has been far more intense than I expected.
“I have learned so much and never expected to be doing the things I have done.

Source: the Royal Navy
View attachment 2714548
Uk kuna makomandoo au mashoga?
 
Waniger kumbe nao kiboko. Sasa Macron anasakwa Kwa udi na uvumba.
View attachment 2711060


Macron has been declared wanted in Niger. Checkmate.

[emoji1787]

#Source
@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community

Hata bongo tukitaka tunaweza ku declare biden wanted. Shida si ku declare, shida ni kumkamata.
 
Hicho ni kipengele kimoja tu kwa faida ya reli
vipi kuhusu jamii?
vipi kuhusu social economic impact itakayo leta maeneo itakapo pita?
Vipi kuhusu mazao ya chakula, copper, logistics kwenye kuyafikia masoko?
Vipi kuhusu usafirishaji wa watu, bidhaa na huduma ukiwa rahisi hujui kwamba utapunguza gharama ya bidhaa na huduma?

Leo hii wachina wamejenga reli ndefu zaidi ya kuunganisha mikoa kama Xinjiang na Tibeti
je waliangalia faida za kiuchumi tu?

kwa mtazamo huu wa West ndio maana Kongo Brazaville haina Connection ya barabara kutoka mji mkuu kwenda mji wa pili kwa ukubwa, huoni hiii nchi inazidi kuwa duni? Kongo Kinshasa vile vile, eti unaambiwa hakuna barabara za uhakika kutoka kinshasa mpaka Lubumbashi wakati huo huo Unaweza kusafiri kwa Lami kutoka Moscow mpaka Vladivostok.

Kama tukiendelea kuwasikiliza Western na their economical model basi bongo itaendelea baada ya miaka 5,000,000,000
Shida Kuna Ndugu zetu wa Africa wakisikia kitu amesema West basi nawao huamini hivyo
 
Makomandoo wa Uingereza wawapa mbinu za kikomandoo,wanajeshi wa Ukraine!
......
Royal Marines train Ukrainians in the art of commando raiding.
🇬🇧 🇺🇦

Royal Marines have spent more than six months training nearly 1,000 Ukrainian counterparts in the art of commando raiding and complex amphibious operations.

Specialist instructors from across the UK Commando Force passed on invaluable expertise and knowledge in how to plan and carry out raids using small boats by day and night.

One unnamed Ukrainian Marine said: “The training I have received from the UK Royal Marines has been far more intense than I expected.
“I have learned so much and never expected to be doing the things I have done.

Source: the Royal Navy
View attachment 2714548
Na baada ya makomando hao wa UK kuwapa mbinu makomando wa Ukraine hatimae wameikomboa Donbas na Crimea yote.
 

Russian students offered free education if they fight in Ukraine​

The Russian Prime Minister Mikhail Mishustin has brought forward a new piece of legislation that allows students to gain access to free education should they take part in the war in Ukraine.

"Russian Prime Minister Mikhail Mishustin has signed a decree approving the mechanism of transferring students who participated in a special military operation [in Ukraine] to a free form of education," Russian state news agency TASS reported.

No further detail was shared on the potential ages of the students, or in what form the free education would take.

Mr Mishustin has also signed a decree simplifying the receipt of insurance payments by relatives of Russian servicemen killed in Ukraine - with all payments now needing to be settled within 30 days of death.

This appears to be the latest in a series of moves by Vladimir Putin's regime to pass legislation to allow more Russian citizens to fight in Ukraine.

https://news.sky.com/story/ukraine-russia-war-latest-12541713?postid=6277154#liveblog-body
 
Kuacha mbali madudu yao. UKSF wana elite force a tier one SAS. Nchi nyingi duniani zime model vikosi vyao vya makomando after hii unit. Kwenye SF community hawa wako viewed kama waasis wa modern sf units.

Mambo yao ya kijamii hayanihusu
Sahihi kabisa, UK wapo vyema sana hata wale US seals, Delta ni model ya UK... japo kwa Sasa huenda wamezidiwa kwenye bajeti na teknolojia za kisasa.

T14 Armata
 
❗️Russia’s Precision Strike On Mercenary HQ In Ukraine

Russia’s defense officials said a missile strike had been carried out against a gathering point for foreign mercenaries employed in Ukraine at the Reikartz Hotel in Zaporozhye.

Subscribe to RT
 
More UK Interest Rates Likely As Shock Economic Data Stuns Bank Of England

Economists were left shocked as the British economy grew 0.2% in Q2 2023, sending the pound soaring against the dollar and putting the BoE on track to hike rates again.

"It gives the Bank of England a headache - they may well have been thinking about pausing interest rate increases soon, but this data will make that more difficult," a top fund manager said.

While Britain has so far dodged recession, unlike the eurozone, the figures confirmed its relatively poor performance since the onset of the pandemic.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom