MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Na baada ya makomando hao wa UK kuwapa mbinu makomando wa Ukraine hatimae wameikomboa Donbas na Crimea yote.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Na baada ya makomando hao wa UK kuwapa mbinu makomando wa Ukraine hatimae wameikomboa Donbas na Crimea yote.
Wanajua hilo, sema wanajitoa fahamu tuRussia sio Africa kwamba wana wanajeshi wachache.Kumbuka Recruitment ya wanajeshi laki 6 (Russia ilifunga mipaka vijana wasitoke nje ya nchi),pamoja na recruitment ya Wagner mercenaries kupita kwenye jela na kuandikisha wanajeshi mpaka huku Africa.Pia kuna reservests wengi wanapelekwa frontline!
Mpumbavu ni wewe unayetaka kumpangia kila mtu aamini unachotaka wewe!Nashangaa sana African anapokua anawapenda westerns.
Namuona ni mtu mpumbavu sana.
View attachment 2714582
So what is your suggestion kama unaona ni makosa hata kugenga SGR .West walikataa kwa sababu reli ya Tazara haikuwa sustainable economical, uliza kama dola miliion mia alizotumia mchina kujenga hio reli kama ziliweza kulipwa. Saddly, it all over again viongozi wetu wanarudia makosa yale yale kwa kujenga SGR which its not economic viable ilaa kutokana na political will inajengwaa.
Changamoto sana!So what is your suggestion kama unaona ni makosa hata kugenga SGR .
Kwa hiyo unaona ni vema Malori ya mizigo yaendelee kuongezeka , maana kwa sasa tu ukisafiri njia ya Dodoma Malori ni mengi kuliko gari ndogo.
Nahisi wewe ungekuwa Rais usingeruhusu mradi wa Mwendokasi/DART.
WEWE NI KIELELEZO HALISI CHA WAAFRIKA WENGI AMBAO AKILI NA FIKRA ZAO NI FINYU SANA
Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.Kuanguka kwa Ruble kunaashiria nini wanajamvi.... 1usd kwa 99ruble... mwaka jan la ilikua na wastan wa 1usd kwa 75ruble
Hayo ni mawazo yao, Russia mwenyewe anasemaje? Wakati fulani ni upumbavu kuwasikiliza Ukraine wakiisemea Russia! Walipoiwekea vikwazo Russia walifikiri asingefika leo, HAPA NI WAPI?Watu wanaharibu potential military target, super pawer anakazana kupiga maghala ya nafaka[emoji1787]View attachment 2709440
Hivi wewe kweli unajua what is going on in this world?1ruble equal to 3 mitre of toilet paper
Madelu anawaza tozo tu na ndio ushaur pekee ambao anaweza mpa bi MkubwaRubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.
Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.
Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.
Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).
Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.
Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.
Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.
Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.
Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).
Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.
Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
Msamehe tu maani ni undergraduate wa BA in Sociology ambaye kapotea darasa na kuingia kwenye discussion ya BSc in Petroleum Chemistry.Hivi wewe kweli unajua what is going on in this world?
Yeah ni sahihi, kuna kitu kwenye uchumi kinaitwa arbitrage, ambayo inahusisha currency tatu kwenye market mbili tofauti.Umedadavua vizuri sana mkuu... wacha tuendelee kuisoma movie...
Na apo unamaanisha nikinunu dola 1 kwa 2500tsh nikaenda uza kenya napata 3000tsh (150ksh) apo napiga li 50tsh kama faida.... kwenye mil 25tsh natoka na faida ya 5mil.... naomba tusaidiane kueleweshana apo kama vp watu tuingie mzigoni
siwezi fahamu kila kinachoendelea apa duniani kwa upana wake (Propaganda zimejaa sana) ....... na si mbaya ukinifahamisha......Hivi wewe kweli unajua what is going on in this world?
Bora umeniombea msamaha...... lkn na wewe unisaidie iyo rate n kweli au n habari tu za mitandaoniMsamehe tu maani ni undergraduate wa BA in Sociology ambaye kapotea darasa na kuingia kwenye discussion ya BSc in Petroleum Chemistry.
Bro umechambua kitaalamu sana. Wengi wanadhani uchumi wa urusi unaanguka kisa ruble kushuka thaman against dollar, wasijue kuwa sarafu karibu zote Duniani zimeshuka thamani against dollar.Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.
Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.
Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.
Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).
Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.
Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
Akikujibu nitag kiongozi.Bora umeniombea msamaha...... lkn na wewe unisaidie iyo rate n kweli au n habari tu za mitandaoni
Urusi ipi hioWanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.
Naamini mpaka sasa ndo maana hawajafanya uamzi wa kuigusa Poland ,hapo NATO na USA wataingia mazima na mrusi ameishatepeta ni kumalizwa kabisa,tupate mafuta maana tumeichoka hii vita.
Sijui hesabu gani umepiga kupata hio miaka 5E9. Ila nachujua Number don't lie acha izo porojo za kisiasa, mara oooh tunaonganisha mikoa, maraa ooh watu wanapata nafuu ya usafiri.Hicho ni kipengele kimoja tu kwa faida ya reli
vipi kuhusu jamii?
vipi kuhusu social economic impact itakayo leta maeneo itakapo pita?
Vipi kuhusu mazao ya chakula, copper, logistics kwenye kuyafikia masoko?
Vipi kuhusu usafirishaji wa watu, bidhaa na huduma ukiwa rahisi hujui kwamba utapunguza gharama ya bidhaa na huduma?
Leo hii wachina wamejenga reli ndefu zaidi ya kuunganisha mikoa kama Xinjiang na Tibeti
je waliangalia faida za kiuchumi tu?
kwa mtazamo huu wa West ndio maana Kongo Brazaville haina Connection ya barabara kutoka mji mkuu kwenda mji wa pili kwa ukubwa, huoni hiii nchi inazidi kuwa duni? Kongo Kinshasa vile vile, eti unaambiwa hakuna barabara za uhakika kutoka kinshasa mpaka Lubumbashi wakati huo huo Unaweza kusafiri kwa Lami kutoka Moscow mpaka Vladivostok.
Kama tukiendelea kuwasikiliza Western na their economical model basi bongo itaendelea baada ya miaka 5,000,000,000
Yaani wewe kusoma kote umeshindwa ambulia pointi yangu hata moja, kipofu wa kuelewa, nilichosema ni kwamba huo mradi hautakiwi kujegwa. Kwani reli ya kati haipo, ivi kwa mfano wa kawaida tu, kama gari ya Ist imekushinda kuihudumia, je utaweza Prado?So what is your suggestion kama unaona ni makosa hata kugenga SGR .