kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 538
- 938
Aliye anzisha shule za kata amelisababishia taifa hili makanga makubwa yatakayo dumu kwa miaka mingi sanaYaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan
Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)
Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine
Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba
Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app