Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Urusi sio 'Superpower' ?
 
Operation imefanikiwa ?
Ndiyo, demilitarization ni asilimia 100, kwa sababu Ukraine anatumia silaha za NATO badala ya kutumia za kwake.

Elite military figures wa Ukraine Karibu wote wamelazwa chini ndiyo maana kwa Sasa wanalazimishwa wazee na watoto wa Ukraine kwenda kuuwawa huko front line!

Denazification nayo ni kama asilimia 75, malengo yamefikiwa. Maana hili lilikuwa limejengwa Hata kwa raia wa kawaida ndiyo maana kwisha kwake kunachelewa!
 
Walifanywaje Afghanistan?hivyo ndo CIA ilivyokudanganya au.
 
Usijinganye aisee hii vita vitaisha siku NATO wakiamua kukaa meza moja na urusi.nato nzima hawana uwezo wa kuipiga urusi na wewe umeona hilo.wametoa wataalamu,utaalamu na silaha lakini wamefeli kuwatoa urusi Ukraine.
 
Nato wenyewe hawaja ji commit 100%
siku NATO watakapo peleka vikosi vyao direct ndio hapo uwezo utapimwa. Hii misaada ya kivita wanayotuma bado sana…
 
Nato wenyewe hawaja ji commit 100%
siku NATO watakapo peleka vikosi vyao direct ndio hapo uwezo utapimwa. Hii misaada ya kivita wanayotuma bado sana…
Hajajicomit wakati kila nchi inapeleka silaha,pesa na wanawatrain wanajeshi wa Ukraine?wanafanya kwa kiasi ili wasiimgie kwenye mgogoro wa moja kwa moja na warusi.
 
Hajajicomit wakati kila nchi inapeleka silaha,pesa na wanawatrain wanajeshi wa Ukraine?wanafanya kwa kiasi ili wasiimgie kwenye mgogoro wa moja kwa moja na warusi.
Kupeleka silaha, pesa na kutoa mafunzo ni sehemu ya msaada wa wamagharibi kwa Ukraine ila hawajapeleka majeshi huko sana sana ni baadhi ya watu binafsi mmoja mmoja wapo huko kusaidia.......

hivyo kusema NATO ipo vitani na Urusi wakati hakuna askari wao huko sio sawa.
 
Ndiyo, demilitarization ni asilimia 100, kwa sababu Ukraine anatumia silaha za NATO badala ya kutumia za kwake.
Hata Urusi anatumia silaha kutoka Iran, je na wao ni 'demilitarized' ?....

isitoshe Urusi imeshindwa kabisa kuzuia misaada ya silaha isiifikie Ukraine huku ikiwa na wakati mgumu kulinda maeneo waliyoyateka huko mashariki, Sasa hapo demilitarization imefanikiwa vipi?

Elite military figures wa Ukraine Karibu wote wamelazwa chini ndiyo maana kwa Sasa wanalazimishwa wazee na watoto wa Ukraine kwenda kuuwawa huko front line!
Hata Urusi nayo imepoteza elites wengi tu mpaka kugeukia msaada wa Wagner, hiyo 'forced recruitment' ipo kote hata raia wa Urusi waliikimbia nchi yao.

Denazification nayo ni kama asilimia 75, malengo yamefikiwa. Maana hili lilikuwa limejengwa Hata kwa raia wa kawaida ndiyo maana kwisha kwake kunachelewa!
Manazi wapo hata ndani ya Urusi, UK, Germany, Poland, Baltic states mpaka USA, hata yule msaidizi wa marehemu Prigozhin mmoja wa waanzilishi wa Wagner aliyeitwa 'Utin' yeye pia alikuwa Pro-nazi.

isitoshe Rais Zelensky wa Ukraine ni myahudi, hivyo denazification ni propaganda tu za Putin zisizo na ukweli.

T14 Armata
 
Pole sana ndugu yangu [emoji28][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Ukraine is maximizing the production of domestic weapons, - Zelensky

"Guns made in Ukraine. Shells made in Ukraine. Drones, missiles, armored vehicles. We are maximizing production volumes. Ukraine can do it. We have the funding. Our defense industry will produce more results," Zelensky said.

Earlier, the president said that Ukraine is striving to improve its defense industry to the point where it can produce Western-style weapons on its territory.

In addition, Zelensky said that Ukraine is now producing even weapons that it has never had. The total number of weapons currently produced in Ukraine is ten times higher than before the full-scale war.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu kaingia cha kike kma kule Afghanistan tu
 
Hawana huo ubavu Urussi ni kina kirefu, mbona Libya na Iraq walikwenda?? Waende Ukraine tuone ubabe wao
 
Mwaka huu Russia kafanya mazoezi ya kijeshi mengi sasa hivi wakazia Ukraine wamalize kazi.
 
Russian Military Echelon Arrives In Brest​

29.08.2023

The purpose of the transfer of Russian troops to the border of Belarus with Poland and Ukraine has been named.

A military train from Russia has arrived in Brest. It delivered the contingent of the Russian Federation that will take part in exercises under the aegis of the CSTO.

"A train with a military contingent of the Russian Federation arrived in Brest to participate in a joint exercise with the CSTO FDRC "Interaction-2023" on the territory of Belarus," the Defence Ministry reported.

The "Combat Brotherhood 2023" exercise, of which "Interaction" is a part, will be held in Belarus from 1 to 6 September.

CC:
Proved
 
Vyombo vimerudi na mzigo.​

​

Russia warships return from 13,000km Pacific patrol with China vessels​

Russian Pacific Fleet’s largest warships participated in the joint naval exercise that came close to the United States.

Russia's Pacific Fleet Warships Picha: AFP

27 Aug 2023

Vessels from the Russian Navy returned from more than three weeks of joint-patrolling the Pacific Ocean with Chinese warships – manoeuvres that came close to the US West Coast.

Warships of Russia’s Pacific Fleet, together with a detachment of Chinese navy ships, travelled more than 7,000 nautical miles (13,000km) through the Sea of Japan, the Sea of Okhotsk, the Bering Sea, and the Pacific Ocean, Interfax news agency reported on Sunday.

Source: Aljazeera news.

CC: Proved
 
Laughable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…