Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Hiki kisehem tu kinaonesha we ni mtu wa aina gani. Naamini Upumbafu sio tusi so nikikuita mpumbafu sijakutukana. Ni sifa au hali uliyo nayo kwa sasa. Hufaham jambo ila unajifanya kulijua kwa Mapana.Huko Ukraine misaada ya Marekani ni sawa na 3% ya bajeti yake ya Jeshi kwa Mwaka, misaada kiduchu
Imethibitika Putin ndio kamuua Prigozin?Labda ana hofu huenda Wagner wakalipiza kifo cha Prigozhin...
Wanaogopa Nini kupeleka Sasa?Nato wenyewe hawaja ji commit 100%
siku NATO watakapo peleka vikosi vyao direct ndio hapo uwezo utapimwa. Hii misaada ya kivita wanayotuma bado sana…
Wafaransa wamegoma kuondoka nchi ya watu 🤣🤣🤣🤣 ..... Ufaransa bila Africa ni kama Burundi tu....Why???
Kwa niniiii???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli bangi mbayaKwenye Convetional War hakuna nchi inaweza kuishinda Marekani..
Huko Ukraine misaada ya Marekani ni sawa na 3% ya bajeti yake ya Jeshi kwa Mwaka, misaada kiduchu na ya awamu umeifanya Vita ya Ukraine kuchukua karibu miaka 2, katika Hii vita Russia imebidi wavunje sehemu ya Jeshi lao linalotumika Africa na sehemu zingine duniani (Wagner) kwa kuwaua viongozi wake wakuu, Kwa sasa Russia ana option moja kuendelea na vita ya Ukraine, na kuachana na makoloni ya Africa.
Anayeweza kuamua hii vita iendelee au isiendelee ni Marekani pekee na sio mtu mwingine
Ni swali la kipumbavu. Sasa kama hatumii ndege ya nchi yake ndio nini?Jiulize swali..anaposafiri anatumia ndenge na bendera ya nchi yake????
4 Russian transport planes get damaged by drones and it's super embarrassing.
Ignores the fact Russia landed a helicopter on a Ukrainian transport plane.
Ah fuuuuck🤣🤣🤣Mamuruki wa Ukraine walivyopata kipigo kitakatifu kwenye handaki.
View attachment 2724322
Well-aimed arrival on foreign mercenaries entrenched in a trench.
Imethibitika Putin ndio kamuua Prigozin?
Gabon nako kimenuka, Usiku wa kuamkia leo Uongozi umepinduliwa. 🤣Wafaransa wamegoma kuondoka nchi ya watu 🤣🤣🤣🤣 ..... Ufaransa bila Africa ni kama Burundi tu....
ENajua ni Kwa nini baadhi ya watu wanamshabikia Putin. Usipokuwa katili huwezi kumpenda Putin.
Hakuna nchi ya Africa magharibi itabaki kwenye influence ya Russia baada ya kufa kwa Prighozin, Russia wanahitaji muda kwenye hiliGabon nako kimenuka, Usiku wa kuamkia leo Uongozi umepinduliwa. 🤣
Gabon moja ya nchi za ECOWAS zilizokua zikijiandaa kuivamia kijeshi Niger, Awam hii France kakamatwa pabaya. Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa hii sio mara ya kwanza. Kuna kipindi cha nyuma Jeshi lilitaka ipindua Serikali France akaingiza jeshi lake huko kuzima mapinduzi. Kwa sasa sijui atafanya nini "Fronts" zimekua nyingi na bahati mbaya hakuna alie upande wake.
Kama Gabon ikiingia ndani ya "Influence" ya Russia tutashuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye Geopolitics. Teh teh Cameroon na Nigeria wajiandae. Hasa Cameroon, Paul Biya ajiandae ambae kaifanya Nchi ka yake, Mwaka wa 41 huu as President na hanyooshewi kidole na Team "International Community" utafikiri ni taifa la ki'monarch hilo.
Kwa sasa kauli mbiu ishakua #No to Western Influence, #We need our Dignity restored. Afrika kumechangamka sana. Mgogoro wa Russia vs Ukraine udumu miaka buku 🤣🤣
Wanajifanya hawajaona.Hakuna Cha kuwasubiri uwanja wa vita,tunawafuata hukohuko[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
[emoji298]A drone strike at a military airfield in Pskov Oblast, Russia, destroyed four Il-76 aircraft on Aug. 30, Oblast Governor Mikhail Vedernikov and Russian state media claimed.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hatari sana hii....Gabon nako kimenuka, Usiku wa kuamkia leo Uongozi umepinduliwa. 🤣
Gabon moja ya nchi za ECOWAS zilizokua zikijiandaa kuivamia kijeshi Niger, Awam hii France kakamatwa pabaya. Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa hii sio mara ya kwanza. Kuna kipindi cha nyuma Jeshi lilitaka ipindua Serikali France akaingiza jeshi lake huko kuzima mapinduzi. Kwa sasa sijui atafanya nini "Fronts" zimekua nyingi na bahati mbaya hakuna alie upande wake.
Kama Gabon ikiingia ndani ya "Influence" ya Russia tutashuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye Geopolitics. Teh teh Cameroon na Nigeria wajiandae. Hasa Cameroon, Paul Biya ajiandae ambae kaifanya Nchi ka yake, Mwaka wa 41 huu as President na hanyooshewi kidole na Team "International Community" utafikiri ni taifa la ki'monarch hilo.
Kwa sasa kauli mbiu ishakua #No to Western Influence, #We need our Dignity restored. Afrika kumechangamka sana. Mgogoro wa Russia vs Ukraine udumu miaka buku 🤣🤣
Una upeo mdogo kwenye Geopolitics, mdogo sana. Lakini so mbaya sema jitahidi kutoweka kauli timilifu kwenye issue ambazo huzijui kiundani ili baadae usirejeshe maneno kinywani.Hakuna nchi ya Africa magharibi itabaki kwenye influence ya Russia baada ya kufa kwa Prighozin, Russia wanahitaji muda kwenye hili
Usiwe na Mambo mengi. Naomba link ya hiyo telegram channelJoin our telegram channel for more videos - link in comments