Sasa wamezika kitu gani Kama nasikia proof ya kifo chake wametumia mabaki ya udongo kwa ajili ya DNA testingRIP Kamanda, Putin hanaga rafiki wa kudumu...ulisahau kwamba he is a serial killer !! Ukicheza na yeye anakumaliza - Ulionywa ukagoma
RIP, tumejifunza kitu sisi tunaombakia.
View attachment 2733769
kaka wewe subiri evidence, tulisosoma cuba kila kitu kipo wazi... upepo ushabiga bado unauliza nyeti za kuku zipo wapi ndugu?Weka evidence kama putin ndo muuaji kama huna shut up.
kuna mrusi mmoja wa buza anasema jamaa siyo fala kuingia kwenye banda la kuku kijinga namna hiyo huku akijua hatari na maadui alionao.. bado anaamini jamaa ni mzima anaendelea na majukumu yake ya kijasusi.Sasa wamezika kitu gani Kama nasikia proof ya kifo chake wametumia mabaki ya udongo kwa ajili ya DNA testing
Wapo, kazi yao ni kuilinda katiba.Hehehhe,kama ninaona Zimbabwe wanakuwa motivated na hili .Zimbabwe kuna wanajeshi kweli?
Nilijua ni mie pekee yanguKwanini huu uzi unasumbua sana uki fungua mara sijui wakwambie “error occurred nknk” @mods tunaomba mfix hili tuendelee kuwapa Spana WANATO weusi.
Guantanamo bay unaijua, Libya na Irak Manisha yao yapoje kwa Sasa na Nani wa kulaumiwa.Lakini hawakuwa katili.
Mwaka Jana tu hapo Iran mamia ya watu waliuawa na kufungwa jela Lakini hatusemi viongozi wa Iran ni makatili.
Putin ni katili.
Najua ni Kwa nini baadhi ya watu wanamshabikia Putin. Usipokuwa katili huwezi kumpenda Putin.
Kwa nini Putin siku hizi hasafiri? kulikoni wakuu ?
Russian security forces have intercepted a Ukrainian commando team, seeking to conduct sabotage operations in Russia’s Bryansk Region. Two Ukrainian servicemen were killed in a firefight, and five were captured, including three who were injured, the report said.Masikini !
Hili siyo swali la kijinga tu Bali pia la kipumbavu kabisa...Wewe hujui kuwa Putin anawindwa mno na mabeberu wakiongozwa na USA na NATO?! Swali lako ni la kipumbavu kabisa...unataka Putin asafiri ili iweje?!?!Kwa nini Putin siku hizi hasafiri? kulikoni wakuu ?
Meanwhile [emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]Russian security forces have intercepted a Ukrainian commando team, seeking to conduct sabotage operations in Russia’s Bryansk Region. Two Ukrainian servicemen were killed in a firefight, and five were captured, including three who were injured, the report said.
Good! Sasa tupe specific location(s) ya mahali hizi 25 drones zimefanya uharibifu!Russia has been hit by 25 drone attacks this month alone, the U.K. Defense Ministry reported in its intelligence update on Aug. 31.
Mojawapo ni hii.., nyingine unaweza kujishugulisha!Good! Sasa tupe specific location(s) ya mahali hizi 25 drones zimefanya uharibifu!