TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Tupatie link ya hiyo Channel, tukawashughulikie huko huko? Mbona unakuwa ngumu kutupatia hizi Link? Hii si mara ya kwanza kuomba link za namna hii kisha unapotezeaJoin our telegram channel for more videos - link in comments
Hata nukikutumia hutoamin mkuuTupatie link ya hiyo Channel, tukawashughulikie huko huko? Mbona unakuwa ngumu kutupatia hizi Link? Hii si mara ya kwanza kuomba link za namna hii kisha unapotezea
Ha ha haaaa!! Wewe Tuma tu maana lengo letu(Na wewe ukiwemo nadhani) ni kuwapa habari za ukweli walimwengu kuhusu hii operation ya Russia kuondoa Nazism na military strength ya Ukraine.
Sawa hiyo hapo [emoji1787]Ha ha haaaa!! Wewe Tuma tu maana lengo letu(Na wewe ukiwemo nadhani) ni kuwapa habari za ukweli walimwengu kuhusu hii operation ya Russia kuondoa Nazism na military strength ya Ukraine.
Halafu timu Putin, Warusi wa mchongo wanamsifu na kumkubali Putin,wakitoka hapo wanakwenda kula tende na urojo bila kusahau gahawa na kashata huku wakicheza bao🤔
Naam nimepata link ulipochota hivi vibonzo:hiyo
marekani nchi ya mchko
Demilitarization imefanikiwa Pakubwa.hiv mpaka wanawalazimisha raia kuwapa mafunzo ili wakawatoe kafara ina maana hata askari wa rezevu wailishawamaliza na mpaka kuanza kutafuta watu kwingine kote ulimwengun kwahiyo askari wa yukreini wameisha kabisa
we unawehuka sasa hii naongelewa north wewe unaleta habari za south mkishindwa kutingisha regim mkubali tuu. You are no longer a super power to moniture any ane you ramain as a janjaweed leader.Na south Korea ilizaliwa na nani vilee?!?
[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
DHiki kipigo anachochezea urusi kwenye hii vita atasimulia Hadi kizazi Cha 12
Ukimuona hata Putin mwenyewe akiongelea hii vita kiukweli anatia huruma 😢
Warusi wanachakazwa mno 🥱
Ukraine digital minister! hawa waongo siwaamini hata kidogoHiki kipigo anachochezea urusi kwenye hii vita atasimulia Hadi kizazi Cha 12
Ukimuona hata Putin mwenyewe akiongelea hii vita kiukweli anatia huruma 😢
Warusi wanachakazwa mno 🥱
Ukraine wamekufa mara 4 ya haoTutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298]From February 24, 2022 to September 14, 2023, Ukraine’s Defense Forces eliminated 270,970 Russian invasion forces, including 620 in the past day alone.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app