Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Soma latest news kuhusu USA HIMARS launchersBaada ya HIMARS kumnyoa vya kutosha na yeye anataka awe na za kwake. Ampigie magoti US, anaweza mpa za misaada pia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hivi Zelensky akili zake zlko balabala kweli??? Unajua fika kwamba uwezekano wa kushinda jeshi la Urusi ni sawa sawa na hakuna lakini anag'ang'ania kuendelea kupigana vita amatoa raia wa Ukraine kama kafara wa kujaribia silaha za NATO.[emoji635] Ukrainian Soldiers in Panic Due to Massive Losses in Kharkiv Region
In the Kharkiv region, Ukrainian Armed Forces are experiencing significant casualties in intense battles near the Oskol River. As a result, Ukrainian military personnel have become disoriented and have begun to panic, according to Vitaliy Hanchov, the head of the regional administration.
[emoji404] "There are very intense battles taking place. Both artillery and aviation are in action. The enemy is suffering massive losses in this sector," Hanchov reported.
[Source: Statement by Vitaliy Hanchov]
Zelensiky yupo kwa ajili ya kumshikisha adabu super pawer wa mchongo!Soma latest news kuhusu USA HIMARS launchers
Hivi Zelensky akili zake zlko balabala kweli??? Unajua fika kwamba uwezekano wa kushinda jeshi la Urusi ni sawa sawa na hakuna lakini anag'ang'ania kuendelea kupigana vita amatoa raia wa Ukraine kama kafara wa kujaribia silaha za NATO.
Hivi hiyo exercise ya juzi juzi waliyo sema watatumia zaidi ya ndege 400 za vita iliishia wapi - kama walifikiri mazoezi hayo yatamtisha IVAN the Terrible sasa kiko wapi???🔵 NATO will hold the largest post-Cold War exercise in its history in 2024, said the head of the Alliance Military Committee, Admiral Rob Bauer, at a press conference on the sidelines of the annual conference of NATO chiefs of staff in Oslo.
According to Bauer, more than 40 thousand people will take part in the exercises in Germany, Poland and the Baltic countries.
🐻 40,000 people that’s 10% of Ukraine’s losses…
Wewe jamaa Kama watakuwa hawakulipi kwa ichi unachokifanya, Utakakuwa zu@zu la kimataifa.Jana kidogo walipata ahueni,ni mia tatu na hamsini tu waliolambishwa mchanga!View attachment 2750849
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app