Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata sisi wachambuz toka sokon karume mchikichin tunaamin hii opereshen ni mbio ndefu
 
Sidhani kama uamuzi wa kuendelea au kuacha vita upo mkononi mwake.

Ni wazi wanaompatia silaha ndio wenye uamuzi wa kusitisha vita.Kifupi Zelensky amekuwa mateka katika nchi yake.US akitaka kumaliza vita kesho anaweza hata EU wanaburuzwa baadhi ya nchi zimeanza kushtuka hasa baada ya uchumi wa nchi nyingi za EU kuanguka kwasababu ya vikwazo vya kijinga.

Nahisi uchaguzi ujao US unaweza kugubikwa na ajenda ya vita hii.Baadhi ya wagombea hasa Republic hawataki kumwaga fedha za walipa kodi kwa vita isiyokuwa na dalili za ushindi.Pia kuendelea kumwaga fedha Ukraine kunaisogeza Russia karibu zaidi na China.
 
Tunawafatilia kwa Kila hatua kwa macho makali kabisa.
Wakileta za kuleta tunawala vichwa wote kwa mpigo.
 
🔵🇺🇦 The head of the NATO military committee, Admiral Rob Bauer, admitted that Ukraine’s requests for weapons and ammunition exceed the alliance’s capabilities: they are “huge”.

🐻 $100bn+ in handouts and military equipment, but the Ukrainians are still begging relentlessly...

Zaidi ya GDP ya TZ
 
🎼🎻 🇷🇺 The Minister of Livestock of the Central African Republic, Hassan Buba, thanked the employees of the Wagner PMC for ensuring security during the referendum on July 30, 2023.

During the celebration of the adoption of the new Constitution on September 9, 2023, the minister presented a commemorative plate to representatives of Russian instructors. 🇷🇺 🇨🇫
 
Tabia ya Urusi ya kudanganya na kutoa ripoti ya uongo kuhusu vita yao na Ukraine,imesababisha washindwe kupata ushindi Kwenye vita hivyo-Kamanda wa Vikosi vya Urusi wa Zamani-Andrey Gurulev
....
 
Huo uongo wamewaambukiza wafuasi wao dunian kote, ikiwemo hata hapa jamiiforum..,kutwa wanapiga propaganda za uongo tu[emoji2]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ushindi gani wewe unazungumzia?Watu wamechukua asilimia karibu 30 ya Ukraine na kusababisha counteroffensive ya Ukraine kufeli.
 
Nyie Watu wachache mnaoisapoti NATO/Ukraine mnatakiwa kujua kwamba Marekani anaiona urusi na china kama kizingiti katika kutawala dunia.kwa mfano kwenye masuala ya agenda ya ushoga ya Marekani.urusi anapinga ushoga wakati Marekani anataka kila nchi kukubali ushoga.kupinga kwa urusi kunaipa nchi zingine ndogo nguvu ya kukataa hilo laana.vita vya Ukraine imeanzishwa na Marekani ili kuidhoofisha urusi na mpaka sasa hivi tumeona Marekani ameshindwa kwenye hilo.Na Mungu hatakubali urusi kushindwa kwa sababu anajua Marekani akishinda shetani ataiumiza dunia sana kwa kupitia Marekani.Marekani atasambaza agenda ya kishetani kwa urahisi zaidi.Russia will be victorious.
 
Unaandika huku ukijinibu mwenyewe..,maandiko matakatifu yanatwambia kabla ya ule mwisho wa dunia kufika ni lazima shetani akae mahali patakatifu akitaka aabudiwe..,na hao watakaokataa kumwabudu wataishi kwa shida sana maana hawatakuwa na uwezo wa kuuza Wala kununua pasipo chapa ya huyo shetani.., ushindi wa Russia kwenye hii vita utakuwa unaenda kinyume na maandiko, maana tuko katika siku za mwisho,na shetani Hana budi kutawala kwa muda kabla ya Ile kiama,ningekuona wa maana sana kama ungejikita kuangalia jinsi ya kujilinda na amri za shetani na kutotii Sheria zake , lakini sio kuzuia ufalme wake kwa wakati huu, kufanya hivyo ni sawa na kuzuia kimbunga na kuchelewesha ujio wa ulimwengu ujao hambao mola aliwaaidi wote wampendao na kuzifuata amri zake bila kuteteleka!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wengi ni wa buza humu ndo maana wanasapoti ukraine
 
Zelezenki la buza kwenye moja na mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…