Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais was Ufaransa analalamika balozi wake Niger kuwekwa matekwa, anadai chakula kimezuia Sasa hivi anakula ratio ya kijeshi. Amesema hayo akiongea na waandishi wa habari akiwa ivory coast. Balozi huyo no mtu asiyetakiwa na serikali iliyopo madarakani baada ya kufuta visa yakeIla kwa kiburi cha Ufaransa wamesema hawatambui amri hiyo, bado wanamtambua rais aliyeondolewa madarakani.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]


[emoji298][emoji298]The Ukrainian military eliminated another 530 Russian invaders over the past day, according to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naona France anatafta kwa nguvu sababu ya kumchakaza Niger [emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nyie wanazi wa buza
 
Kina:
passioner255
Venus Star
green rajab
kimsboy
😂😂😂😂😂
Warusi wa mchongo toka buza🤔
 
[emoji298]NATO Secretary General Jens Stoltenberg believes that Russia's war against Ukraine will last a long time. Allies and the world should be prepared for this. He noted that after the war, Ukraine should receive effective security guarantees to prevent Russia from attacking in the future. Stoltenberg added that Ukraine will undoubtedly end up in NATO.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nyie Watu wachache mnaoisapoti NATO/Ukraine mnatakiwa kujua kwamba Marekani anaiona urusi na china kama kizingiti katika kutawala dunia.
Ni kweli hizi nchi ni kizingiti cha USA na washirika kuitawala dunia kisiasa sababu ya utofauti wao kiitikadi na hizi ni nchi zenye nguvu kiuchumi. Hapa nakukubalia. Ila hata wao nia yao ni hiyo hiyo, utawala.
kwa mfano kwenye masuala ya agenda ya ushoga ya Marekani.urusi anapinga ushoga wakati Marekani anataka kila nchi kukubali ushoga.
China huenda kuna mashoga, Urusi huenda kuna mashoga, ni nani aliwashawishi mashoga waliopo huko? USA? Ushoga ni tabia ya binadamu. Yapo enzi na enzi. USA kosa lake ni kiherehere cha kutaka kuamulia nchi nyingine namna ya kudeal na hili suala ila sidhani kama ndo sababu ya Urusi kupigana na Ukraine.
vita vya Ukraine imeanzishwa na Marekani ili kuidhoofisha urusi na mpaka sasa hivi tumeona Marekani ameshindwa kwenye hilo.
Urusi imeivamia Ukraine. Hivi ni vita vya urusi kuthibitisha ukubwa wake kijeshi na USA na washirika zake wakimprove wrong. Binadamu tuna hii tabia ya kuonyeshana ni nani mbabe. Ni mfumo wetu wa maisha.
Na Mungu hatakubali urusi kushindwa kwa sababu anajua Marekani akishinda shetani ataiumiza dunia sana kwa kupitia Marekani.Marekani atasambaza agenda ya kishetani kwa urahisi zaidi.Russia will be victorious.
Hizi ni hisia za kiimani.

Mkuu, Urusi ni nchi kubwa kijeshi, hawajaanza leo kutunishiana misuli na marekani na washirika wake. Huu ni muendelezo tu. Mambo ya MUNGU hataki, shetani anataka ni ya kiimani. MUNGU asipotaka si angeleta gharika au tetemeko lifute hilo asilolitaka?
 
Hii habari Yahoo wamerudia,lisemwalo LiPo🤔
.....
 
Ushindi gani wewe unazungumzia?Watu wamechukua asilimia karibu 30 ya Ukraine na kusababisha counteroffensive ya Ukraine kufeli.
Sasa wewe unabishana na kamanda wa Urusi?Amakweli ukiwa ProRussian,mrusi wa mchongo,akili inakuwa haifanyi kazi 🤔
.....
 
u mmoja wao
 
We kweli huna akili kupata ushindi haimaanishi kwamba upinzani haupo
 
The Russian Aerospace Forces strike on the Ukrainian Dolgintsevo airfield destroyed two MiG-29 fighters and three Su-25 attack aircraft

The Ministry of Defense of the Russian Federation officially confirmed the information that on September 11, a strike was carried out on the Dolgintsevo airfield, located in the Krivoy Rog region. As a result of the attack, five aircraft of the Ukrainian Armed Forces were destroyed, including two MiG-29 fighters and three Su-25 attack aircraft.

The Dolgintsevo airfield is considered one of the key air bases in Ukraine, from which combat aircraft regularly took off to carry out combat missions. The destruction of five combat vehicles in one strike is a serious blow to the air component of the Ukrainian Armed Forces in this region.

Experts note that the loss of five combat aircraft at the same time could seriously weaken Ukraine’s air capabilities in the Krivoy Rog area and the surrounding area. This incident also highlights the high level of effectiveness of the Russian military.

According to official data from the Russian Ministry of Defense, to date, 472 aircraft, 249 helicopters and 6,810 drones of the Ukrainian Armed Forces have been destroyed.

🟥Avia Pro
 
Wanamgambo wa Ukraine wanapasuliwa viwiliwili bila huruma..
[emoji845][emoji635]Battles in the Seversk direction: the 123rd brigade destroys enemy infantry
The artillery of the 123rd brigade of the Southern Group of Forces covers the Ukrainian Armed Forces militants in their positions.
t.me/RVvoenkor
 
[emoji845][emoji1103]The President of Finland called on the West to maintain relations with Russia

[emoji3502]In an interview with The New York Times, Sauli Niinistö noted that he was not talking about “some kind of great friendship,” but about tolerance and mutual understanding.
[emoji3502]He also added that after the end of the conflict in Ukraine, trust will be needed in relations with the Russian Federation as a guarantee that “a new war is not waiting behind the door.”
[emoji187]"We are in a very delicate situation. Even little things can greatly change the situation, and, unfortunately, for the worse... The risk of using nuclear weapons is enormous," Niinistö said.
t.me/RVvoenkor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…