Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mda bado wa unabii huo ingawa unajongea, urusi hatashindwa kwasasaUnaandika huku ukijinibu mwenyewe..,maandiko matakatifu yanatwambia kabla ya ule mwisho wa dunia kufika ni lazima shetani akae mahali patakatifu akitaka aabudiwe..,na hao watakaokataa kumwabudu wataishi kwa shida sana maana hawatakuwa na uwezo wa kuuza Wala kununua pasipo chapa ya huyo shetani.., ushindi wa Russia kwenye hii vita utakuwa unaenda kinyume na maandiko, maana tuko katika siku za mwisho,na shetani Hana budi kutawala kwa muda kabla ya Ile kiama,ningekuona wa maana sana kama ungejikita kuangalia jinsi ya kujilinda na amri za shetani na kutotii Sheria zake , lakini sio kuzuia ufalme wake kwa wakati huu, kufanya hivyo ni sawa na kuzuia kimbunga na kuchelewesha ujio wa ulimwengu ujao hambao mola aliwaaidi wote wampendao na kuzifuata amri zake bila kuteteleka!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa anajivinia nuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1044] Now there are "vultures circling over Belarus, ready to make an alliance even with the devil," says Lukashenko
The President is sure that the neighbouring (Western) countries would like to erase "the facts of political shame and moral decline of their predecessors."
[emoji1044] Let's live in a friendly, neighbourly way - Lukashenko
"Belarusians do not need anything foreign. Remember, I appeal to the peoples of neighbouring states - in case of aggression against Belarus, we will not draw red, yellow, black or blue lines! It is there - the state border! And you know that we have something to answer with," stressed the head of state.
@ukraine_watchView attachment 2752629
Nasikia kumetokea mapinduzi pia huko!C O N G O
Na hayo manne yaliyopenya yalileta uharibifu kwa kiwango gan???Ukraine wadondosha makombora aina ya Cruise 12 kati ya 16,yaliyorushwa na Urusi kwa usiku mmoja [emoji848]
....
Ukraine's Air Defence forces shoot down 12 out of 16 Russian targets overnight
The Russians struck Ukraine on the night of 16-17 September with air-launched cruise missiles and strike UAVs, with 12 of the 16 air targets being shot down.www.pravda.com.ua
Labda tuseme 4/16 =1/4 ya target,Na hayo manne yaliyopenya yalileta uharibifu kwa kiwango gan???
Maelezo yako yamejikita kinadharia zaid inaonesha huna taarifa ya kiwango cha madhara yaliyotokana na hayo manne yaliyopenyaLabda tuseme 4/16 =1/4 ya target,
Lakini mara nyingi makombora yasiyodunguliwa ni yale ambayo hayana madhara,mfano yanayoanguka kwenye Uwanja uliowazi/open field,maeneo ambayo hakuna makazi ya watu AU baharini.Mifumo ya Ulinzi (radars)kwa kawaida huelekezwa maeneo muhimu na yenye makazi ya watu.