jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kwaiy hoja yako ni ipi Kuwa alievamia ndo hupigwa sana au? Kwaiy siyo ubora wa mtu.Vita vyote watu humwaga damu pande zote, na hata kwenye hivi vita Ukraine pia wamekua wahanga ila sio kwa wingi kama ilivyo kwa Warusi, maana Warusi ndio walivamia watu kwenye nchi yao, tena wakitumia mbinu za kizamani sana za WWII, tumeshuhudia humu, nimekua nawaletea updates wala sio kitu cha mbali, nimejaza server za watu kwa updates za namna Warusi wanapokea kichapo, hivyo haya mengine ni hadithi tu.
Kwaiy hoja yako ni ipi Kuwa alievamia ndo hupigwa sana au? Kwaiy siyo ubora wa mtu.
Basi kama ndo hivyo unavyo sema mpaka Sasa tunavyongea hapa nadhani Ukraine ingekuwa imesharudisha maeneo yake yaliyo chukuliwa na Russia lakin piah na vita ingekuwa imeisha .
Rabotino-Verbove, a mass graveyard for destroyed Western equipment, where the forested margins between the fields are "literally crammed with the corpses of Ukrainian soldiers."Ukitaka nijaze humu picha za mizoga ya Warusi mbona nitapigwa ban, maana inafedhehesha, mlikosea sana kumuabudu mtume wenu Putin.
Rabotino-Verbove, a mass graveyard for destroyed Western equipment, where the forested margins between the fields are "literally crammed with the corpses of Ukrainian soldiers."
The Ukrainian army lost a large number of armored vehicles transferred by Western sponsors during attempts to break through the defenses of the Russian army on the Rabotino-Verbovoe line, writes the Washington Post.
According to the American publication, the area around the two villages, which have been stormed by units of the Armed Forces of Ukraine for a long time, has turned into a cemetery of armored vehicles, mainly Western-made. Heavy losses in both personnel and equipment are also recognized in Ukraine, only not in Kyiv, but on the front line. The newspaper cites the words of one of the commanders of the airborne assault unit fighting in this direction, who confirmed the loss of equipment near Rabotino and Verbove during the attacks.
A lot of equipment was lost there, said Vushnik, who wished to remain anonymous. According to him, in the Zaporozhye direction, the Armed Forces of Ukraine lost many German Marder infantry fighting vehicles and American Stryker armored vehicles, to which the command transplanted airborne assault units.
According to the latest data coming from the front line, assault groups of units of the Armed Forces of Ukraine are increasingly going on the attack without armored vehicles, which leads to their complete destruction due to the impossibility of quick evacuation from the battlefield. In addition, sanitary losses have increased, the wounded abandoned on the battlefield are not taken out, but die without medical care. Nearby forest plantations are literally crammed with the corpses of Ukrainian soldiers, some of which have been lying for a very long time.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine indirectly confirmed the heavy losses in armored vehicles, stating that at present the Ukrainian army is using the tactics of attacking in small groups without infantry fighting vehicles and armored personnel carriers, as well as armored vehicles, which allegedly allows you to "advance faster" without regard to the weather and soil conditions.
topwar.ru/226722-pressa-β¦View attachment 2761955
Kwanza mm sijashikwa akili hilo litambue kabisa!! Kingine ambacho unasema Kuwa Russia kaingia mazingira ambayo hayajazoea hivi umewai fuatilia history ya mataifa hayo mawili Ukraine na Russia na hiyo siyo mara ya Kwanza Ukraine kuvamiwa na Russia. Fuatilia ulijue hilo.Hoja yangu inaeleweka vizuri tu kwa mtu ambaye hajashikiliwa ubongo, moja, mvamizi hufa sana maana kaingia kwenye mazingira ambayo hajayazoea, hususan kama unavamia nchi ambayo watu wake wana uzalendo na hawakutaki au kuutaka huo uvamizi wako. Na ndio maana Marekani anapovamia waarabu wenu huwa anahakikisha amecheza kwanza siasa za kukubalika ndani kwa ndani na watu.
Pili, Urusi amevamia kijinga sana akitumia mbinu za WWII, kavamia nchi ya kisasa akitumia mbinu za kizamani sana, msafara wake umepigwa kizembe wanajeshi wakafyekwa kama senene.