LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yeuuwwwwwwwww!

Putin anakera Sana. Ni mbabe wa hovyo na mikwara mavi. Huenda ubongo wake umeathiriwa na Covid. Ataharibu uchumi wa dunia na kufanya watu wateseke. Yani anakera Sana.
Unataka kumfananisha na Meko?
 
Akome kuongozana na marafiki wanafiki huyo ukraine

Putin yupo sahihi na anaitendea haki nchi yake
 
urusi ni miongoni mwa nchi zenye wayahudi wengi na ndio siri ya wao kuwa mahodari katika ubunifu wa kutengeneza zana bora za kivita hivyo hoja ya taifa la MUNGU haina mashiko hata urusi ni miongoni mwa nchi zenye wa Israel wengi sana
Asili ya wayahudi haijulikani kutokana na hamna mwenyewe uhakika Wayahudi hasa walikuwa ni kwenye asili gani,sasa wewe imejuaje kwamba Wayahudi wengi walitokea Urusi-huku hali inaonesha ukanda wa Urusi wapo whites people (wazungu) na upande ilipo Israel wapo watu kwenye jamii ya waarabu na kush.
 
ajasema wametokea urusi amesema wengi wapo urusi
 
Nishaanza kuona harufu ya warusi kurudi ndani ya masanduku.
Nimeona daraja limevunjwa tafsiri yake ni kuwa wa nje nje wa ndani ndani.hao waliopo ndani wote watarudi maiti.
Nchi nzima ya Ukraine imezungukwa na Rusia... Kuna video inasambaa jinsi wanajeshi wa Ukraine (ambao Putin anasema ni waasi ni si wanajeshi) walivyouwawa na wanajeshi wa Rusia ndani ya ardhi ya Ukraine... Then Bado unasema wanajeshi wa Russia watarudi kwenye masanduku...??
 
Yeuuwwwwwwwww!

Putin anakera Sana. Ni mbabe wa hovyo na mikwara mavi. Huenda ubongo wake umeathiriwa na Covid. Ataharibu uchumi wa dunia na kufanya watu wateseke sana. Yani anakera Sana.

Da'Vinci hydroxo Darmian Ncha Kali
Yani wewe dogo bangi zinakusumbua. Umeanzisha uzi alafu unajijibu na ID zako nyingine nyingi
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Duh....Nadhani hujui uhusiano Kati ya Russia na Jews...nakushsuri usome Tena Mambo ya ndani kuhusu Jews...hivi unajua kuwa Roman Abramovich wa Chelsea ana asili ya Uyshudi?! Na inawezekana pia hujui kuwa Rais Zelensky wa Ukraine ana asili ya Uyahudi ...huko Russia wayahudi ni wengi Sana na wanna nafasi nyeti...na pia huko Ukraine...
 

 
So unatak tubebe propaganda za mrussi?cheki vijan wa putin wanavyo uwa huko Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…