lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwa hiyo Ukraine ni Jimbo la 51 la USA kiasi kwamba masenata wa USA ndio wanaoamua hatma ya vita baina ya Ukraine na Urusi?.Urusi anapigana na Ukraine pekee.
Isitoshe hata Urusi anapokea misaada toka Iran (shaheed drone, Risasi kutoka South Africa, military chips kutoka China n.k), kama vile Ukraine anavyopokea misaada kutoka US na nchi za Magharib
Ha ha ha haa.Umenasa kwenye mtego at last
Mchawi lughaPutin has decided to run for president again in 2024
Ukitoa Drone ambazo toka zamani Urusi alikuwa ananunua, nitajie silaha nyingine unayoijua wewe kutoka China, Iran au Korea ambayo Urusi anatumia uwanja wa vita.Urusi anapigana na Ukraine pekee.
Isitoshe hata Urusi anapokea misaada toka Iran (shaheed drone, Risasi kutoka South Africa, military chips kutoka China n.k), kama vile Ukraine anavyopokea misaada kutoka US na nchi za Magharibi.
Akikujibu nitagUkitoa Drone ambazo toka zamani Urusi alikuwa ananunua, nitajie silaha nyingine unayoijua wewe kutoka China, Iran au Korea ambayo Urusi anatumia uwanja wa vita.
Nasubiri jibu
Swal gumuUkitoa Drone ambazo toka zamani Urusi alikuwa ananunua, nitajie silaha nyingine unayoijua wewe kutoka China, Iran au Korea ambayo Urusi anatumia uwanja wa vita.
Nasubiri jibu
Commander amekufa kizembe sana [emoji23]===Assistant to Ukraine’s top general killed in grenade blast
A senior aide and reported close friend of Ukraine’s top general, Valery Zaluzhny, has been killed by a grenade at his own birthday partywww.rt.com
Senior aide for Kiev’s top general killed in grenade blast
The official was killed during a party celebrating his birthday when one of the presents exploded, Ukraine’s commander-in-chief has revealed
Eti alikua anakata keki huku machawa wanampigia vigere gere alululuuuuui kikatua kitu kizito pwaaaaaah keki kule icing sugar chaliiii uma hukoooo miguu juuCommander amekufa kizembe sana [emoji23]
Hajafa kizembeCommander amekufa kizembe sana [emoji23]
Wahuni wamempa zawadi ya bomu😀😀Commander amekufa kizembe sana [emoji23]
Wao walifikiri kuwa wanaweza kuwafanya ugaidi Urusi kwa kuua watu wasio na hatia, Sasa kibao kimerudi kwao.===Assistant to Ukraine’s top general killed in grenade blast
A senior aide and reported close friend of Ukraine’s top general, Valery Zaluzhny, has been killed by a grenade at his own birthday partywww.rt.com
Senior aide for Kiev’s top general killed in grenade blast
The official was killed during a party celebrating his birthday when one of the presents exploded, Ukraine’s commander-in-chief has revealed
Kazi yetu ni kuzidi kuwachinja tu..,hii ni Jana, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱Wazee wa Counter offensive wako wapi siku hizi? [emoji23][emoji23][emoji23].
Russia sio Zimbabwe....
Hilo halipingwi mkuu...informer wako vzrHajafa kizembe
Wape kredit zao wakusanya taarifa ambao waligundua uwepo wa tukio hilo