lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Huyu muigizaji muda sio mrefu Kuna watu watamla kichwa.Poor Zelensky ametelekezwa na wahuni. Hana uchaguzi wowote ili kuficha aibu yake.
Lengo ni lilelile: kupigana hadi tone la damu ya Myukreni wa mwisho.
Da! ukisikia ubabe ndo huu.Kumekucha😀😀View attachment 2809695
Mr comedianThere was no counteroffensive!
It was a psychological operation to fool the Russians to think that there was one!
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Unaamini Russia anaweza kukubaliana na huo upumbavu?Wanaanza kukubaliana na ukweli. Russia sio Zimbabwe
View attachment 2810876Ex-Nato chief proposes Ukraine joins without Russian-occupied territories
Former secretary general says partial membership would warn Russia it cannot stop Ukraine joining the alliancewww.theguardian.com
Dah!Ilaa waruuusii wameshindikana kwa kweli! Ona huyu mrusii alivyobeba gari baada ya kukosa speare
View attachment 2810891
Elimu ni kansa Mbaya kuliko ukimwiThibitisha matendo ambayo CIA hawakufanya halafu wakasema wamefanya wao????
Sasa unataka uthibitisho upi ili ukubali???
Ndo kusema CIA wanajisingizia?????
Kweli nimeamini tz elimu ni Kansa mbaya kuliko ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona Kimya Ujue Kipigo Nikikubwa Kwa Ukrein Media Za West Zimejizima Datta na Kuhamisha MagoliEeenh!! Usikute hadi wanajeshi wa urusi na ukraine nao wamekaa chini wanaangalia Hamas na Myahudi huko
wanazidi