Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

How?Nazis has been chased from former Ukraine territories and militarily Ukraine is nothing without NATO.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nazi is still active in Russia, US, Germany,UK,Italia etc.... which Nazis are you referring to ?...
 

MOTOCHINI
 
Dah!...noma sana...


T14 Armata
 
Upo Jimbo gani?
 
Kwamba Russia alikua anatumia chip kutoka kwny microwave sio?
 
Mkuu, hao Wanazi wa Ukraine wangekubali masharti nafuu ya Urusi, wakasaini mkataba wa amani, wakaacha kuwaua raia kwenye majimbo yaliyokombolewa, nani angewagusa?

Bahati mbaya sana NATO imewapumbaza watumie njia ngumu isiyowezekana ili kutafuta ufumbuzi wa tatizo walilolichusa wao wenyewe.

Your real problem could be selective amnesia. Wake up!
 
Hizo habari za manazi wa Ukraine kuua watu ni upuuzi tu.

Weka ushahidi hapa
 
Bwana Zelensky amekiri kwa kinywa chake kwamba ile counteroffensive imefeli na haijaleta matokeo yoyote ya maana zaidi ya kuuliwa kwa wingi kwa askari.

Kweli nimeamini kila kitu kipe muda tu na ukweli wake utaufahamu.


View attachment 2831040
Sasa anataka counteroffensive ya pili?
Je anasubiri Nini kuomba kukutana na Muungwana Putin ili kuyamaliza kiutu uzima?
 
Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…