Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Ya kweli haya au ni video games?Kwasasa Dunia Imeamka sana
hebu fikiria Israel &Marekani wanahenyeshwa na Wavaa Kobasi wasio na Kifaru wala Silaha Yeyote
hawana Ad wala Nini Sasa Angalia Mziki wa China kwa sasa
View attachment 2830152
MChina kaamua Kutuma Ujumbe
Yaani NATO Wajipange
View attachment 2830154
Hadi chaujuaji leo kakubali 😀,,, kweli shughuli imeambatana na mvua watu wanakula wima wima,,, tuliwaambia kitambo tu urusi sio Malawi mkawa mnaleta kujua na uchambuzi mwingi wa silaha wakati hata gobore hamlijui,,Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Ila we jamaa nikianza kupiga hesabu tena hizi post zako za vifo jumla inakuja idadi ya warusi wote sasa wamekufa sijui russia mda huu ipo empty. Maana sipati ata jibuHii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱🥱 View attachment 2831269
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi ni jeshi lisilokuwa organized kwa nchi serious. Hiyo Ukraine kabla ya vita ilikuwa inaizidiwa hata na jeshi la Misri. Sasa imagine Urusi inapigana na adui dhaifu namna hiyo.Hadi chaujuaji leo kakubali 😀,,, kweli shughuli imeambatana na mvua watu wanakula wima wima,,, tuliwaambia kitambo tu urusi sio Malawi mkawa mnaleta kujua na uchambuzi mwingi wa silaha wakati hata gobore hamlijui,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi ni jeshi lisilokuwa organized kwa nchi serious. Hiyo Ukraine kabla ya vita ilikuwa inaizidiwa hata na jeshi la Misri. Sasa imagine Urusi inapigana na adui dhaifu namna hiyo.
Kitendo cha kuilinganisha Ukraine dhidi ya Urusi ni kuionyesha Urusi kama dhoofu. Hatuwezi kuwa tunazungumzia mpira alafu ukashangilia kwa nguvu jinsi Barcelona ilivyoifunga Swansea. Hapo unaonyesha Barcelona ni timu ndogo.
Wazee wa spana mnataka Tena mwana ale nduki?. Swansea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo Swansea ukimchukua Messi, Lonardo,mbappe uwapeleke pale bado itabaki tu kuwa Swansea?.
Silaha alizopewa Ukraine hata uchukue nchi kubwa zote za Nato na bado awafikishi idadi iyo.
Kama unabisha niambia nikuwekee data
Urusi ni jeshi lisilokuwa organized kwa nchi serious. Hiyo Ukraine kabla ya vita ilikuwa inaizidiwa hata na jeshi la Misri. Sasa imagine Urusi inapigana na adui dhaifu namna hiyo.
Kitendo cha kuilinganisha Ukraine dhidi ya Urusi ni kuionyesha Urusi kama dhoofu. Hatuwezi kuwa tunazungumzia mpira alafu ukashangilia kwa nguvu jinsi Barcelona ilivyoifunga Swansea. Hapo unaonyesha Barcelona ni timu ndogo.
Hapo U.S.A mwenyewe hatoboiKwanza unatakiwa uwaeshimu sana Warusi kwa sababu tulikuwa kwenye uwongo wa muda mrefu sana.
Ukraine+Nato+Marekani+washirika wengine+Vikwazo vs Urusi
Bado mwanaume kaweza kutoboa.nitajie wewe nchi tofauti ambayo unaona inaweza kuingia kwenye vita kama hii na bado ikatoboa, kama ilivyofanya Urusi.
Nipo nasubiri jibu
Ngoja nikupe like kwa sababu mmeanza kutubu.Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Nasoma Hii Post yako Kisha Najichekea Tu mwenyeweNa hapo kwenye attrition Urusi ndiye mnufaika mkubwa mno, maana ana man power ya kutosha na artillery zisizo na idadi.....hivyo mwishowe Ukraine atashindwa.
Nadhani pia Urusi walikuwa na muda mrefu sana wa kutengeneza defense lines imara kuzuia counter offensive,
Bado tena Ukraine hana airpower nzuri ya kutoa support kwa offensive yake.
Kiufupi Ukraine sioni kama atatoboa kwenye hii counter offensive na wafadhili wake ndio hao wamegeukia huko Gaza na uchaguzi wa Marekani huenda ukaharibu kabisa mambo.
Hakuna Cha Vido Game Ndio UhalisiaYa kweli haya au ni video games?