Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna mahali Urusi walikua na performance mbaya tangu vita hii ianze ambayo Urusi wenyewe wanaiita operation.
Kile wewe unakiita performance mbaya ni hiki hapa.
Kumbuka Urusi ndio walioanzisha vita au mashambukizi kwenda kwa Ukraine.
Kabla hata askari wa kwanza wa Urusi hajarusha hata risasi moja, Ukraine ilikua Ina jeshi imara kabisa,ambalo lilirithi silaha nyingi kutoka USSR,sio TU silaha Bali pia mbinu za kivita.
Pamoja na hayo pia Ukraine ilikua na viwanda vya silaha.
Ukraine pia ilifanikiwa kupata mafunzo ya Hali ya juu sana kutoka NATO tokea mwaka 2014,sio TU mafunzo kwa ajili ya kuja kupigana na nchi mfano kama Greece hapana,Bali mafunzo muhimu kabisa ya kuja kupigana na nchi kama Urusi.
Ukraine ilipewa mafunzo na nchi Bora kabisa kama USA UK, German,Canada,France n.k.hebu fikiria ni mafunzo Bora kiasi Gani.
Pia fahamu kua Ukraine ilijengewa miundombinu Bora kabisa ya kijeshi kutoka NATO kwa minajili ya kuja kukabiliana na adui wa aina ya Urusi.

Sasa basi Urusi aljua fika uwezo wa jeshi la ukraine ,ambalo linadaiwa lilikua ni kubwa kuliko nchi yoyote pale ulaya nasema kubwa kwa maana ya idadi ya watu.

Urusi fika kabisa alijua kua Ukraine imejengwa imara kabisa kijeshi Tena kwa viwango vya NATO.

Achilia mbali kujengwa Bali pia Ukraine ilibahatika kupata ushauri makini kabisa kutoka kwa washauri wa kivita na kiitelijensia kutoka kwa makamanda bora na vifaa Bora kabisa kama satellite kutoka USA UK Canada German France Poland n.k

Lakini Urusi aliamua kuivamia Ukraine kwa Nia ya kuivunja nguvu Ukraine kijeshi.(demilitalization). Bila kuogopa wala kujali uwezo huo wa Ukraine niliouelezea hapo juu.

Sasa kile wewe unachokiita performance mbovu aliyoonesha Urusi sio performance mbovu Bali ni kuivunja nguvu kijeshi nchi kama Ukraine sio jambo dogo wala sio lelemama.
Hapo mwanzo jeshi la ukraine lilikua bado jipya kabisa na imara kabisa halijaguswa na likiwa limekamilika.
Kwa Hali hiyo ni lazima jeshi Urusi lilipata uponzani mkali sana.Halikuweza Kuua askari wa Ukraine bila wao kufa,isingewezekana kulipua vifaru vya Ukraine bila vya Urusi kulipuliwa,vivyo hivyo kwa zana nyingine.kwa hiyo mwanzo ilikua ni piga nikupige kwa saa,siku,wiki,mwezi na hatimae mwaka hatimae kidogokidogo jeshi la ukraine likaanza kupoteza nguvu zake na jeshi la Urusi likaanza kupata mafanikio.

Katika Hali kama hiyo Urusi alipata ugumu sana mwanzo sio kwa sababu Urusi alikuabdhaifu,no,Bali kwa sababu Ukraine ilikua bado Iko imara kabisa.
Urusi hapa anatakiwa apewe maua yake alianza kulivunjavunja jeshi la ukraine hatua kwa hatua.
Hali aliyopitia Urusi hakuna nchi isingeweza kuepuka kupitia kama ikiingia vitani na nchi kariba ya Ukraine.mafano,USA ilipoteza askari na vifaa Vietnam, Iraq, Afghanistan, somalia n.k
Kwa kifupi Urusi ime perform vizuri toka mwanzo hasi Leo,Hali aliyopitia ni suala la hatua kwa hatua.
Kumbuka west ndio waliokua wanaasisst kwa kumpa Ukraine apige wapi na Kuna Nini Cha kupiga.mfano Moscova.


Kuna mdau kasema huko juu kua Urusi haiwezi hata kupigana na Marekani wala china. aisee Kuan watu ni wabishi hatati.
Unajua hakuna kipimo kizuri kama matokeo.matokeo ya mtihani ndio yanatufanya tujue mtoto ana akili za darasani ama Hana.

Nasema matokeo kwa sababu Gani?
Je Kuna msaada ambao Marekani alikua hajautoa kwa ukraine ama kamaliza?
Sasa kama hajamaliza anasubiri Nini? Anapenda waukraine wafe kama nzige?
Ama anashirikiana na Urusi kuwahujumu Ukraine?

Kwa kifupi Marekani katoa misaada ya silaha Kwa Ukraine kwa kadri ya uwezo wake na haijasaidia kitu na waukraine wanaelekea kushindwa.sasa hapa kilichompeleka Marekani kusaidia ni Nini kama msaada wake hautoshi?
Kwa kifupi Hana uwezo wa kumshinda urusi kijeshi.

Matokeo mengine.
Mdau katuambia Urusi hawezi kupigana na Marekani na hata china,sasa nachoshangaa ni Marekani ipi hiyo inayoweza kumpiga Urusi?
Je ni hii hii iliyoacha silaha Afghanistan baada ya kushindwa na kikundi Cha wanamgambo Cha Talaban?ambao hawakusaidiwa na nchi yoyote duniani?
Ama kikundi Cha waasi Cha somalia?
Ama Marekani hii iliyoshindwa na Vietnam?

Pia mdau kasema Urusi Haina sijui manpower au population ni ndogo.hivi si tulikubaliana kua vita vya Sasa ni vita vya technolojia havihitaji sana idadi ya watu?

Ukweli ni kwamba performance ya Urusi katika vita hii Iko katika ubora huohuo hivyohivyo toka mwanzo Hadi Leo.
Kuivua nchi uwezo wake wa kijeshi ni jambo geni hapa duniani na sio jambo jepesi,hii ni vita vya kufa na kupona Kwa nchi inayotaka kuvuliwa Tena Kwa nchi inayoungwa mkona kwa misaada yote ya Hali na Mali na mataifa ya West na NATO.
Urusi ni kubwa zaidi ya tulivyokua tukiaminishwa inastahili heshima yake.


NATO nzima na west walikua bize kupambana na urusi walipeleka Kila aina ya silaha, intelligence fedha na vikwazo lakini wapi.

Sio wachambuzi wa kimagharibi waloiidharau Urusi,Bali waliofeli ni majasusi wa west na NATO uwezo wao ulifikia mwisho hawakuweza kujua uwezo wa Urusi kwa Kila kitu,kiuchumi,kijeshi na kisiasa za ndani na nje.
Hapa pia imeonesha kua,Urusi kijasusi Iko juu ya west.haya sio maneno yangu,Bali ni ushahidi wa matokeo ya tunayoyaona Leo.
T14 Armata akiisoma hii hadi nukta ya mwisho, mni-tag wadau.

Bila kusahau mercenaries kibao kutoka kila nchi ^bora^ duniani.

👇👇👇
 

Attachments

  • 20231203_080130.jpg
    20231203_080130.jpg
    49.4 KB · Views: 24
  • 20231203_080204.jpg
    20231203_080204.jpg
    62 KB · Views: 18
Kuna mahojiano nimeyasikiliza ya mke wa zelensky,

Anasema asingelipenda kumuona mumewe anagombania tena uraisi kwa kipindi kijacho
Amekwisha teketeza Taifa lake na Sijuhi litahitwa Jina gani?
Maana limemegwa.
Wote hawa WALIKUWA vibaraka wa Urusi kwa ajili ya kazi kubwa 2 muhimu!
1, Kujua technology ya silaha za Magharibi hususani Germany, Uk na USA.
2, Kudhoofisha Ujerumani kiuchumi na kumega ardhi yenye rutuba ya Ukraine na sehemu nyeti ya viwanda vya chemically na maandaki ya kujikinga na sumu ya nuklia weapons.

Ndio sababu FSB hawajamsaka na kumkamata. Yupo salama.
 
Naona pro Russia wameanza michecheto Yao waliyokuwa nayo mwanzoni mwa hii vita.,nawakumbusha tu hakuna aliyetegemea hii vita ingemaliza hata wiki mbili,Mimi mwenyewe nikiwemo, nawashangaa mnapoanza kuleta ngonjera zilezile,hizi comments zenu itafika wakati nitaanza kuzifukua kama nilivyokuwa nawafukulia zile comments zenu mlizozitoa mwanzoni mwa uvamizi,nikifanya Hivyo naomba nisiitwe mkorofi!

Mmekuwa kama nyumbu hambao hawapendi kujifunza!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Europe unprepared for war with Russia and could be dismantled like the Holy Roman Empire – The Times​

Europe is not ready for war with an aggressive Russia and risks being “washed away” in a conflict, like how Napoleon dismantled the Holy Roman Empire, warns Germany’s pre-eminent military historian Sönke Neitzel, The Times reported on Nov. 30.

Several German generals also suggested during a high-level defense conference in Berlin that NATO might be unable to win the “first battle” in a defensive war on its eastern flank because it would struggle to quickly deploy enough troops and equipment to the front line, the article states.
 
M
Mrusi hana hizo submarines?
Anazo na anazitumia dhidi ya Ukraine ambayo haina hata Navy, na bado mnashangilia Urusi kuteseka na weak military.
, unachofanya ni kuonesha mahaba yako Kwa Marekani, ila Kwa sasa Mrusi ameonesha Yuko vizuri.
Urusi ni wa kawaida, anapigana na asiyejiweza na bado anasuasua.
Marekani angeonesha uwezo wa kulinda anga la ukreni ningekusapot.
Marekani hayuko vitani na Urusi, hivyo hawezi kuweka no fly zone Ukraine. Usijitie ufahamu, kama mnaitaka sana US vitani kaivamie, US haijawahi vamia na mbwa yeyote ila inatoaga kichapo kikali sasa imagine ivamiwe na jeshi halijui air dominance wala combined arms.
unajivunia madege yenye uwezo wakuipiga Libya siria au ilaq nchi zenye mfumo duni wa ulinzi.
Tulishataja performance ya ndege za Urusi dhidi ya za Marekani. Hakuna ndegevita ya Urusi iliwahi kuwa na performance kuliko ya Marekani. Kama ipo itaje.
Hizo ndege hata Kwa Irani haziendi zitadunguliwa tu. Hepbu nipe mfano ambapo Marekani alishinda vita. Tofauti na kutumika nyuklia kile japani
Marekani ashinde vita ipi kwani kuna mwendawazimu anaweza ivamia? Hivi unadhani Marekani ni kama Urusi ambayo babantilie anajisikia anabeba wapiganaji wake wanaenda mji mkuu kutishia serikali na viongozi wa jeshi?

Hiyo Urusi pale Finland iliteseka, Poland ikalazimika iungane na Ujerumani bila hivyo ingeteseka, Japan iliipiga Urusi mpaka Marekani ikaja kuwapatanisha. WW1 Urusi ilipigwa na Ujerumani ambayo ilipigwa na Uingereza.
 
Maelezo ni marefu but there is no point, anyway wapeleke izo submarine na aircraft carrier kama azijachomwa moto. Kule sio middle east mzee
Kwanini Urusi isipeleke yenyewe hizo submarines zake dhidi ya Marekani. Si mnalialia hapa kwamba Marekani inapigana na Urusi, kwamba Urusi ni bwege yeye anapigwa anajiliza badala akampige huyo anayempiga.
 
Bwana Zele Kisha Changanyikiwa Jamaa anamuogopa Kamanda wake mkuu VALERY ZALUZHNY
yaani unaambiwa Uchaguzi Hauta itishwa au kutangazwa mpaka bwana Zaluzhny athibitishe Kutoshiriki kwake yaani awe kama Dhamana Kama Hatagombea au kuhusika Vyovyoye vile Ndio Uchaguzi Utafanyika na Mpaka sasa Bado wanamsikilizia Kama Hatatangaza Kutoshiriki basi mapema Afukuzwe kazi kwa Skendo kubwa Yakutengeneza

Ndani ya Ukrein Wao kwa wao kinaumana



Vladimir Zelensky wants to hold elections in Ukraine, but they will not be announced until guarantees are received of the non-participation of the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny, the Strana publication reports, citing a source in Ukrainian political circles.

According to the source, Zelensky wanted to hold elections. “But one problem has arisen - Zaluzhny. Until it is resolved, elections will not be announced,” the source told the publication. According to him, first Zelensky’s office wants to achieve guarantees that Zaluzhny will not nominate his candidacy in possible elections.

“If such guarantees are not given, then (Zelensky’s office) will try to dismiss the commander in chief. And not just like that, but with maximum discredit,” the source emphasized. However, he pointed out that these are just plans for now, and their implementation may be influenced by the position of Western countries.
 
Kabla ya offensive ya Ukraine kuanza, Western military pundits walitabiri kutakuwa na 'break through' kubwa sana kwa Ukraine hasa ukizingatia

performance mbaya ya jeshi la Urusi hapo awali.

Silaha za kimagharibi hasa vifaru na magari ya kivita kama Bradley zilizofikia 200+ yaliyopelekwa Ukraine (japo bado ni chache sana)

Idadi kubwa ya askari wa Ukraine waliopewa mafunzo na majeshi ya magharibi....

Ila inaonekana hawa wachambuzi wa kimagharibi waliidharau mno Urusi kupindukia ila ni kama vile Warusi walijifunza makosa ya awali na kujipanga vizuri tena.
Ukraine haina Navy kabisa kabisa, almost haina fighter jets na haina silaha nyingi sana za muhimu vitani.
Marekani hajaamua kuwa serious kivile kama alivyokuwa kwenye WW2 alivyotoa war materiel kwa USSR dhidi ya Nazi Germany. Msaada wa silaha chache hauwezi kukufanya useme Ukraine imekuwa na nguvu, mafunzo bila silaha ndio nini sasa hao NATO wakifanya mafunzo huwa hawanunui silaha za kutosha?

Ukraine hailingani wala haikaribii kulingana na NATO. Tazama hata drills zao zinavyokuwa structured na vitu gani vinahusishwa. Kupata mafunzo hata Kenya hapo wana trainers wa Marekani na Uingereza wanashinda nao permanently based kambi Nanyuki ila Kenya haiwezi kuwa kama wao.

NATO ikufundishe uwe kama wao wakati huna ndege zao, huna vifaru vyao, huna Navy, huna artillery zao hata standard mm yako ni 122mm na chache 152mm wakati yao ni 155mm. Hata rifles zako ni cartridges tofauti na zao.
 
Anazo na anazitumia dhidi ya Ukraine ambayo haina hata Navy, na bado mnashangilia Urusi kuteseka na weak military.

Urusi ni wa kawaida, anapigana na asiyejiweza na bado anasuasua.

Marekani hayuko vitani na Urusi, hivyo hawezi kuweka no fly zone Ukraine. Usijitie ufahamu, kama mnaitaka sana US vitani kaivamie, US haijawahi vamia na mbwa yeyote ila inatoaga kichapo kikali sasa imagine ivamiwe na jeshi halijui air dominance wala combined arms.

Tulishataja performance ya ndege za Urusi dhidi ya za Marekani. Hakuna ndegevita ya Urusi iliwahi kuwa na performance kuliko ya Marekani. Kama ipo itaje.

Marekani ashinde vita ipi kwani kuna mwendawazimu anaweza ivamia? Hivi unadhani Marekani ni kama Urusi ambayo babantilie anajisikia anabeba wapiganaji wake wanaenda mji mkuu kutishia serikali na viongozi wa jeshi?

Hiyo Urusi pale Finland iliteseka, Poland ikalazimika iungane na Ujerumani bila hivyo ingeteseka, Japan iliipiga Urusi mpaka Marekani ikaja kuwapatanisha. WW1 Urusi ilipigwa na Ujerumani ambayo ilipigwa na Uingereza.

Sasa kama ivyo ndo vinasababisha kushinda vita ilikuwaje kule Vietnam na Afghanistan wakakimbia?.

Kule Syria walipeleka hayo mameri yao yakiwa full kuwapiga Islamic state(IS) ila mwisho wa siku wakachemka.pasipo msaada wa Urusi basi IS wangekuwa sehemu kubwa ya dunia.

Najua una ipenda sana USA ila ukweli ndo uwo silaha zao zimeonyesha udhaifu mkubwa uwanja wa vita
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


[emoji298][emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated another 930 Russian invaders in Ukraine on December 2, 2023.,[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]A new military aid package from Germany includes:
[emoji3502] 8x8 HX81 truck tractor trains and semi-trailers for them;
[emoji3502] 3 vehicles (trucks, minibuses, all-terrain vehicles);
[emoji3502] 2 border protection vehicles;
[emoji3502] 5 drone detection systems;
[emoji3502] 1 mobile antenna mast system;
[emoji3502] 3,840 rounds of 155 ammunition;
[emoji3502] 25 laser range finders;
[emoji3502] 15 HLR 338 precision rifles and 60,000 rounds of ammunition for them.,[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom