Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tulipokuwa tunawaambia mlikuwa Viburi.
Russia sio Zimbabwe.
Kuna rise and falls sawa, ila Russia atabaki kuwa Superpower milele.
Meli moja, majeneral kadhaa ni nothing kwa Russia.
Hata ikitokea Putin amekufa saiv bado Russia atabaki kuwa Superpower.
Watatetereka ila watarudi, its who they are !!.
Hiyo Spirit ipo kwenye damu yao !!!.
 
Hata Victor Orban aliwatahadharisha mapema kabisa akawaambia always jeshi flani linapokuwa kwenye defense anaefanya offense ndo anapoteza watu na vifaa sana labda kama anae offense awe na watu wengi na vifaa sawa au zaidi ya anae defense kitu ambacho hakikuwa hivo kwa Ukraine. Russia tayari alikuwa kwenye defense ndo maana Ukraine kaambulia kukomboa vijiji viwili Bakhmut na kimoja Zaporzhia. Navyo viko mbali sana ile Surovikin defense line
 
Ya kwamba silaha zenye thamani zaidi ya $200 bilion, msaada wa kuweka vikwazo vya kuusambaratisha uchumi wa Urusi, kutoa msaada ya picha za satalaiti ya mienendo ya wanajeshi wa Urusi huo ni msaada mdogo hivi ww jamaa una akili kweli?
 
Marekani mwenye hivyo vyote ulivyo vitaja mbona ilipigwa kipigo kibaya sana na Vietnam iliyo kuwa masikini kuliko hata Tz?
Au Israel mwenye hivyo vyote mbona ni mwezi wa pili yupo gaza anajinyea nyea dhidi ya wana dhidi ya wanamgambo wenye silaha za kienyeji?
 
Unahisi kwanini hawataki kumpa Ukraine siraha kali na za kisasa za offense
 
Urusi haikuonesha performance mbaya bali kilicho tokea ni kuonesha ya kuwa vita sio move za akina Rambo, vita sio kitu rahisi kama mnavyo fikiri ukitaka kulijua hilo angalia kinacho endelea gaza sasa hivi kati ya jeshi lililo kuwa linasifiwa duniani kote dhidi ya wanamgambo wanao tumia silaha za kutengeneza kienyeji.
 
Aya hii ni mkusanyiko wa point tupu,Kila neno ni point TU.
 
Hapa ndo hua nashindwa kuelewa. Kwahiyo lengo la nato lilikuwa lipi kum support Ukraine wakati wanajua mwisho wa siku hawezi kushinda? Hesabu hapa ilikuwa ipi? Yaani bondia wako aingie kwenye ring ila umvalishe kofia ngumu asiumie kichwa huku umemfunga mikono asimshambulie adui? Bado kuna kitu hakieleweki. Kwangu naona bora wangemsaidia awage total war ikibidi na wao waingie mazima wamkarishe kabisa Urusi au ni bora wangeacha kabisa wakakubaliana na masharti ya Urusi kuliko hiki kituko walichokifanya kinacheelekea kuisha kwa Ukraine kubomoka na kuvunjika vunjika vipande
 
Sasa democracy inayohubiriwa na western iko wapi, [emoji23]??
 
Wale mnaosema Ukraine kachoka soma maelezo haya;

⚡⚡U.S. Defense Secretary Lloyd Austin criticized those endorsing "an American retreat from responsibility" at the Reagan National Defense Forum, emphasizing the necessity for consistent U.S. leadership to contribute to a world that remains as safe, free, and prosperous as possible.

Austin delivered a lengthy defense of U.S. support to Ukraine in its war against Russia and Israel in its war against Hamas on Dec. 2.

"In both Israel and Ukraine, democracies are fighting ruthless foes who are out to annihilate them," Austin said. "And we will not let Hamas or Putin win. And we will not let our enemies divide or weaken us. So as we surge support into Israel, we remain focused on Ukraine. And we remain fully able to project power, to uphold our commitments, and to direct resources to multiple theaters."

Austin said that in the 21 months "into Putin's unsuccessful conquest, the Russian military has significantly weakened, thanks in large part to Ukraine's courageous troops." The achievements, he said, are also result from bipartisan U.S. leadership and the coalition of approximately 50 countries formed.

Since the full-scale Russian invasion in February 2022 the U.S. has delivered about $44 billion worth of security aid to Ukraine. As the U.S. Congress has recently failed to approve any new financial support for the wars in Ukraine and Israel and has managed to pass only a short-term budget bill, Austin emphasized that "we still urgently need bipartisan support in Congress to pass the supplemental to rush security assistance to our partners in Ukraine, Israel, and elsewhere."⚡⚡

📸: President's Office
 
Unajua maana ya kudhoofisha Taifa Kijeshi na Taifa hilo likiwa linasaidiwa na wababe wa kivita?
Je Kuna maali Urusi alitamka MUDA kuhitimisha SMO.
JE UNAJUA NGUVU ALIYOKUWA NAYO UKRAINE NA MAANDALIZI ALIYOKUWA NAYO KUISAMBARATISHA URUSI?
 
Maisha yanaenda kwa kasi sana.

Leo hii mpiga punyeto anakiri kwamba Ukraine + NATO haiwezi kuishinda Russia kwenye hii SMO.

Lakini ni mtu huyu huyu miezi 3 tu hapo nyuma alikuwa anasema kwamba Russia hawezi shinda hii SMO.

Punyeto ni noma aiseee
 
Ulitegemea mwanajeshi Austin aongee tofauti? Watunga sera na watoa hela ndo wafanya maamuzi bro. Kama kui support Ukraine haiko ndani ya maslahi ya watunga sera na watoa hela na ambao ndo waajiri wa Austin hata aongee vp hamna litakaloendelea Ukraine
 
Huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…