Siyo kweliBuku ila Rwanda na burundi 400 ni brigade
Tz ni buku mpaka 10K ni brigade
Tz tuna chini ya brigade 10 nchi nzima
Brigade maarufu Tz ni FARU wenye jukumu la kulinda kigoma tabora Rukwa na mikoa jirani
So kwa Tz ukisikia brigade imechakazwa jua ni zaidi ya askari wa mikoa 4 wamefyekwa
Nami pia zimenichosha.Samahani ndugu, hizo kumbukumbu zinatosha, tuendelee na habari nyingine mpya. Huoni kama unasumbua na kukera. Ushauri tu!
Mwamba me mpaka nimeku block kwa muda mpaka umalize kwanza ku refer mambo ya 2022 na 2021.June 20 2022
Vijimambo kama hivi pia vilikuwepo.
Uswahilini Kuna vituko,ebwana. Eeeh
In faida kwa wanachama wake na washirika wengine sio dunia.Kwani NATO Ina faida Gani kwa Dunia?
Nahisi zaidi ya elfu 4Hivi brigade moja Ina wanajeshi wangapi?
Kumbe na ww una akili za kijinga Urusi ana msaada gani kwa hamas kwenye mapambano yanayo endelea mpaka sasa?Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala.
Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS na kutoa amri waachie mateka ili Israel isitishe mapigo.
Sasa sijui Waarabu watamlilia nani maana Urusi ndio ilikua kimbilio lao na ndio hivyo imewatema.
Suluhu la huu ugomvi ni kutemana na Wayahudi, hamtaweza kuwafuta kwenye uso wa dunia, msichokijua ni kuwa hao Wayahudi wapo kwenye ngazi za juu huko Urusi, Marekani, Canada na mataifa mengine makubwa, mtakufa sana kila mkijaribu kuwafuta.
Acheni maagizo ya dini ya kutaka mfute Wayahudi, hayo yaliagizwa na mtu ambaye hakua na elimu ya kisasa ya utandawazi, kuna mengi yamebadilika.
===================================
Russian Deputy Foreign Minister Mikhail Bogdanov held phone talks with Hamas representatives, and demanded the immediate release of hostages, Russian media reported on Monday.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ππππππππππ·πΊπ€π·πΊπͺView attachment 2838894Marinka is liberated!
(only small pockets remain under AFU control)
β οΈ The now destroyed city of Marinka, after nearly 20 months, the city of Marinka was captured by the Armed Forces of the Russian Federation, and only small pockets of resistance can be found near the western outskirts of the city.
π» This will put pressure on the Ugledar Tactical Group and may expose Ugledar further however the villages of Novomilkhaivka, Konstantionvkoya, and Pobeda must be captured in order to turn this into a serious threat. Our forces likely will continue to push towards Heorhiivka.
π» I do not think the fighting will stop, instead, fighting will likely pick up pace as it will turn into non-urbanised fighting with very little defences behind the city until the village of Heorhiivka is reached. - via Slavyangrad
Ha ha haa.nilikua na project maalum.nimeshaimaliza.Mwamba me mpaka nimeku block kwa muda mpaka umalize kwanza ku refer mambo ya 2022 na 2021.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wana maswali ya kukera sana.Dah terminology za akina Kibatala.
Nyakati zile za kesi ya akina Mbowe.
Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala.
Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS na kutoa amri waachie mateka ili Israel isitishe mapigo.
Sasa sijui Waarabu watamlilia nani maana Urusi ndio ilikua kimbilio lao na ndio hivyo imewatema.
Suluhu la huu ugomvi ni kutemana na Wayahudi, hamtaweza kuwafuta kwenye uso wa dunia, msichokijua ni kuwa hao Wayahudi wapo kwenye ngazi za juu huko Urusi, Marekani, Canada na mataifa mengine makubwa, mtakufa sana kila mkijaribu kuwafuta.
Acheni maagizo ya dini ya kutaka mfute Wayahudi, hayo yaliagizwa na mtu ambaye hakua na elimu ya kisasa ya utandawazi, kuna mengi yamebadilika.
===================================
Russian Deputy Foreign Minister Mikhail Bogdanov held phone talks with Hamas representatives, and demanded the immediate release of hostages, Russian media reported on Monday.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi brigade moja Ina wanajeshi wangapi?
Kwani Libya,Syria,Kuwait, Kosovo,Bosnia and Herzegovina na Sasa Ukraine walikua ni wanachama NATO?In faida kwa wanachama wake na washirika wengine sio dunia.