Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah! Uchoki tu mpaka leo?

Tukisema wewe hujitambui usikasilike.

Kwa mjibu wa post zako kwenye huu uzi tunaweza pata total ya zaidi ya milioni mbili ya warusi walio uawa na Ukraine force.

Inakuwaje unaamini kiasi kidogo hivyo kuliko uhalisia wako?

Taarifa yenyewe ya facebook lakini unakomaa tu.
 
Posted by Ukies


🏆🇺🇸💣In 2023, the United States increased arms exports by 16%, setting a record for annual deliveries - $238 billion

Everything is logical. Actually, all wars are started by the United States largely for the sake of increasing the export of its weapons. The establishment of the record was facilitated by the war in our country, a new round of the Palestinian-Israeli conflict, the armament of Taiwan, and the impressive militarization of Poland.

At the same time, the State Department reported that the sale and transfer of weapons is considered by the States as“important instruments of US foreign policy with potential long-term consequences for regional and global security.”

Level 80 hypocrisy. Over the past year, both regional and global security have only worsened. The American Embassy can ask any Ukrainian whether he has become safer in 2023? The answer will be unequivocal, but when did the States become interested in the problems of the “Indians”? The main thing is that the profits of the US military-industrial complex are growing 🧩
 
Hata wangekuwa wanachinjwa 2000 kila siku tangu kuanza vita, hiyo idadi ya warusi million 2 unayosema ingekuwa haijafika!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah kwa takwimu hizi Russia hana jeshi tena!
Naam mkuu, Russia kwa Sasa anawategemea vijana anaowapata kwenye mobilization., mpaka Sasa kwa hesabu ya haraka urusi ameshamobilize askari zaidi ya million 1..,na mbaya zaidi wanaendelea kuwalambisha mchanga,hii ni Jana tu ,ni takriban mianane waligaragazwa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakuomba uwe mkweli tu.
Ili tumalize ubishi na nikuelewe na hii iwe ni kwa mjibu wa vyanzo vyako wala sitobishi.

Hivi mpaka sasa kati ya Russia na Ukraine ni nani ameshapata hasara kubwa kuliko mwingine in all dimensions?
 
Money money 🤔

Your browser is not able to display this video.

🇺🇸🇪🇺🇺🇦🇷🇺🚨‼️
“What you spend is only money, we spend our lives. I think that if you don’t want to waste the lives of your people, you need to support Ukraine”

— Prosecutor General of Ukraine Kostin says Ukraine is a mercenary country.
 
Hawana aibu....!!! Sikutegemea Wazungu nao wanakuwa brain washed namna hii!!!
 
Jana Usiku Uncle Sam kafanya mashambulizi ya Anga Iraqi, huku Ground mda huo huo ISIS nao wamefanya mashambulizi against the same target iliyoshambuliwa na US kwa anga. So it's US angani na ISIS on the ground against the same target.

Wakati 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 anaingia Syria kuokoa Jahazi kwa Assad kuna kauli Putin aliizungumza, "Do you know who created ISIS???"... Oh well.

Huh hii nayo tufanye ni Coincidence as usual kua ISIS, a well known Terrorist organization always fight side by side with Uncle Sam on the same target miaka nenda rudi.

Osama against USSSR, Ukro-Nazi against Russia Fed, ISIS against Syria and some region in Iraqi. Na kote United Shit yu nyuma ya kila kundi.
 
Americant ndio gaidi na ugaidi
 
Kipanya kaamua kuwa mkweli. Aliebaki Urusi ni Lavrov na Medvedev tena inasemakana hata Medvedev ni majeruhi anapatiwa matibabu North Korea baada ya kulipukiwa na suicide drone akiwa frontline
 
wanamchora tuu kwa mbalii ajikanyage wapae nae asiwaleyee ujinga
Yaani jamaa zele fala sana,anachokifanya ni kuwafurahisha mabwana zake wa Washington wakati raia wa Ukraine wanateseka hata na kumshinda Russia hawezi,CDF wa Ukraine kaliona hilo,yeye anang'ang'ania vita.
Muda sio mrefu watamla kichwa we subiri TU.kwa Sasa ni kama Hana sapoti kubwa ya ndani.
 
Halafu alivyo fala hata kumfuta kazi CDF wake anawauliza Wamarekani kwanza.
 
Kipanya kaamua kuwa mkweli. Aliebaki Urusi ni Lavrov na Medvedev tena inasemakana hata Medvedev ni majeruhi anapatiwa matibabu North Korea baada ya kulipukiwa na suicide drone akiwa frontline
Hahahahah! Jamaa ana assume mpaka completely impossible.
Russia baba lao. Wanateseka sana opponent wa Russia.
 
muda ni mwalimu mzuri sana ndio shida ya kumpa nnchi msanii kila mda anajua anaigiza
 
Nisaidieni hili Tafadhari!
Wanajeshi 384,000 wa Ukraine wamekufa, bado Zelensiky hajaridhika kawaandaa wengine 500,000 kwa counter offensive nyingine.
Sasa Sijuhi huyu Zelensiky anataka nini? Simwelewi kabisa tena Waziri Mkuu mstaafu Mwana Mama kamuonya ila asikii . Hawa Wazungu Wana akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…