NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hivi tushangile mauaji haya ya Purtin eti kwa ushahidi kuwa America naye waliwahi kuivamia Iraq, nisawa kuwa na sisi watanzania aje Gaidi kama Purtin atuvamie then tukilia kuwa Taifa letu limevamiwa basi mataifa mengine waje washangiie kuwa iliwahi tokea na sehemu nyingine duniani
America waliwajibika kuvamia nchi za kiarabu kwa kujitetea baada ya magaidi kuishambulia marekekani na magaidi wakiwa wanahifadhiwa na hizo nchi
Purtin ni Gaidi muuaji na kibaya anataja hadharani kuwa atatumia nuclear, hivi hapa sasa binadamu anaemuunga mtu kama huyu anae ua watu mpaka anatishia Kuua watu na nuclear ni binadamu wa ajabu mwenye akili kama Purtin na hizi akili sio za mmarekani
Kila mtu humu amlaani huyu muuaji jangili Purtin
Wanataka tarifa zao za kinafki, Nawaonyesha jinsi tarifa zao zilivyo.Mzee endelea na taarifa ulizokuwa unazitoa. Wasikuyumbishe.
Kaka unazidi kuleta mambo yasiyo na maana. Hakuna Tsar Bomb. Miaka 60 Wasovyeti walifanya jaribio. Andrei Sakharov alitengeneza kifaa kimoja (ambacho miaka 30 baadaye watu wengine waliitza Tsar bomb, si jina lake kweli) wakailipua kama jaribio. Hakuna kifaa kingine cha aina hii, tena hakuna sababu ya kutengeneza kingine. Silaha za nyuklia ziko za kutosha kila upande. Sasa unaleta namba kadhaa bila kusema (biila kujua??) kitu hiki hakipo tena na hakuna anayekihitaji au kukitafuta.Nakala ya pili!!! Mzee unataka Urusi wakuwekee nakala ya pili, ya tatu nk...
Tulia ujifunze mengi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Na bado wako hai hao makamanda??
Umenena vema. Mods walifuta uzi wangu Ningeweka kule. Ngoja nijaribu.NYUNDO YA MOTO me nazani bora ungeazisha uzi ila heading iandike kivingine ili usiunganishwe huku kuepusha lugha zisizofaa...
Huu wenyewe ushakua mrefu mpaka uvivu kurejelea
Wewe ndiye una ujuaji na mpuuzi mkubwa.Kama wewe hebu jaribu kukosoa wapi nimekosea na uangalie uhalisia ulivyo.Tatizo lako unabwabwaja kwenye mambo ambayo huyajui!!Unaye sema haya yote ukute haujui hata bunduki inashikwaje ila waTZ tuna ujuaji wa kipuuzi hivi unafikiri vita ni rahisi eti?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mzee upo na inferiority complex. Hayo maneno unayotumia kwenye comments zako yanaonesha hivyo (Utoto).Kaka unazidi kuleta mambo yasiyo na maana. Hakuna Tsar Bomb. Miaka 60 Wasovyeti walifanya jaribio. Andrei Sakharov alitengeneza kifaa kimoja (ambacho miaka 30 baadaye watu wengine waliitza Tsar bomb, si jina lake kweli) wakailipua kama jaribio. Hakuna kifaa kingine cha aina hii, tena hakuna sababu ya kutengeneza kingine. Silaha za nyuklia ziko za kutosha kila upande. Sasa unaleta namba kadhaa bila kusema (biila kujua??) kitu hiki hakipo tena na hakuna anayekihitaji au kukitafuta.
Post za aina hii naita kitoto . . .
Yah ila ukifanya hivo usiache kututag...Umenena vema. Mods walifuta uzi wangu Ningeweka kule. Ngoja nijaribu.
I see![emoji1054][emoji635][emoji1255] A video of a Brazilian mercenary in Ukraine was filmed in a car heading for Poland: “I don’t know what to say, special forces from all over the world, from France, from all over Europe, from South Korea, Chile, America, Canada. Guys, the whole world is there, there are special forces from all over the world. And then very simply, all I know is that they are all dead. They are all destroyed. You just can't understand one thing, how the plane shoots missiles at you. You can't understand. It's all over, it's all over. The whole part is destroyed."
View attachment 2151835
Rubles? Safi.A plan for responding to anti-Russian sanctions has been prepared, it includes 100 initiatives, the amount of funding is estimated at 1 trillion rubles, Mishustin said.View attachment 2151824