kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
They are operating from inside Russian territory!That's good news..
Are these noble militias operating from inside Russian territory or Ukraine?
Ha ha haa,President Putin anatumia lugha ngumu sana ya ki intelligence ambayo sisi ordinary persons ni ngumu kumuelewa ana maanisha nini..
Russia’s president has offered his sternest warning yet against the deployment of regular NATO ground troops in Ukraine, saying Moscow would treat them as invaders, and that Washington knows it.
From what l know,WW3 ilianza 2014 mkuuKuna watu hawaelewi, Ukraine ishapigwa, kushindwa vita kunajulikana mapema
Hitler na majeshi yake walijua kabisa miaka 2 kabla kuwa tayari washashindwa
Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanauliwa kila siku, issue sio tena silaha, issue ni man power, hakuna watu wa kufanya tena offensive Ukraine
Hawa "Collective west" hawawezi kubali hii aibu, so wapo tayari kuchoma dunia nzima kibiriti kwa kuanzisha WW3
Mda huo huo, viongozi wa Africa sijui kama wamejiandaa vipi na hii issue in case dunia inaingia vitani
Nyakati kama hizi, hakuna Laws wala Orders, tusishangae kuona wazungu tena wanakuja
WW3 itaanza kabla ya uchaguzi wa US!Vita ya 3 haiepukiki kwa mazingira tuliyomo.
US na washirika kila siku wanasema hawatakubali Putin ashinde vita ya Ukraine, hiyo si kauli ya kuashiria kupatikana hali ya amani.
Naomba sana Trump ashinde urais (jambo gumu sana) tuepukane na mzozo huu.
BBC 🤣🤣🤣
Sawa mkuu,ila wajinga wengi hawajui hisoria ya "dark ages"Historia iko wazi kama nuru ya adhuhuri.
Hakuna tofali kwenye jengo la kisiasa linaloweza kuanguka au hata kumeguka, bila kuhusika mkono wa Mvatikano.
Vatikani inaweza kuchochea vita vya Ukreni kwa upande mmoja, wakati huohuo ikahamasisha juhudi za amani kwa upande mwingine.
Inaweza kuwa na marafiki wa Magharibi na Mashariki kwa wakati mmoja, ambao huwagonganisha wachapane.
Vatikani ndiyo dola pekee duniani inayoweza kufanya mbina (antics) za kucheka na kununa kwa wakati uleule mmoja.
Vatikani inaamini kwamba yenyewe ndiyo utawala maalum wa dini, siasa, uchumi na masuala ya kijamii ambao umevikwa mamlaka na Mungu ili kutenda kwa niaba ya mbingu -- ikiwa na maana kwamba yenyewe inategemea kwamba watu, jamii, nchi na serikali zote zipate kwanza shauri na idhini kwake kuhusu mambo yao.
Vatikani inaamini kwamba kuna mungu-mtu duniani ambaye ndiye papa mwenyewe, anastahili kuabudiwa na kufuatwa anachosema.
Marekani kwa sasa ni taifa la Kikatoliki kwa asilimia kubwa, tofauti na ilivyokuwa 1776 (Uprotestanti).
Kwa nini Marekani na Russia hawajawahi kuwa marafiki? Jibu liko hapo.
Ukatoliki uliokuwepo katika zama za giza, ndio huuhuu uliopo leo -- haujabadilika hata jino moja.
Taifa lolote linaweza kutenda vyovyote (hata kuendesha mauaji ya kimbari kama Rwanda & Burudi au mauaji ya Wayahudi chini ya Hitler), ilimradi maslahi ya Vatikani yamewekwa kipaumbele.
Huamini? Soma historia, ambayo iko wazi kama jua la adhuhuri msimu wa kiangazi.
Hapa amegusia Freemasonry"For centuries, Western elites grew accustomed to filling their bellies with human flesh and their pockets with money" — Putin.
"NO AMOUNT OF FOREIGN WEAPON OR TROOPS WILL CHANGE THE SITUATION IN UKRAINE"-PUTIN, NATO ndo Basi Tena!🤣🤣🤣No Chance' War-Weary Neocons Will Put NATO Boots on the Ground in Ukraine Amid Putin's Warning.
Russia’s president has offered his sternest warning yet against the deployment of regular NATO ground troops in Ukraine, saying Moscow would treat them as invaders, and that Washington knows it. Sputnik reached out to respected Russian and US military and foreign affairs experts to get a better sense of the implications of Putin’s remarks.
Putin’s interview with Rossiya.
President Putin has given another no-holds barred interview, this time to Dmitry Kiselev, the chief of Sputnik .
“The United States have announced that they are not going to send troops [to Ukraine, ed.]. We know what American troops on Russian territory would be – they would be invaders. We will treat them the same way even if they appeared on the territory of Ukraine. They understand this,” Putin said.
Putin added that no amount of foreign weapons or even troops on the ground would change the situation on the battlefield, with the Western-backed regime in Kiev already crawling with foreign “advisers” and “mercenaries” and still suffering horrific losses at the hands of Russia’s Armed Forces
Duh! Russia anapigana na dunia.Unconfirmed
View attachment 2934473
5 KENYANS... Mmmh, somebody tag a MK254Unconfirmed
View attachment 2934473
Basi kumbe WW3 ilishaanza kitambo sana.Unconfirmed
View attachment 2934473
Hakika aisee.Duh! Russia anapigana na dunia.
Putin ni mtawala ambaye Mungu anamtumia ili kuzuia wimbi la uovu lisishamiri duniani kwa muda, chini ya ufadhili wa Marekani na Vatikani bosi wake."For centuries, Western elites grew accustomed to filling their bellies with human flesh and their pockets with money" — Putin.
Nimetoka kusema sasa hivi kuwa WW3 ilianza 2014Basi kumbe WW3 ilishaanza kitambo sana.
Ufalme wa mwisho ni Mvatikano mwenyewe. Rudia kusoma tena historia.Maandiko yako wazi, hiyo falme ya mwisho inayotajwa kuwa na maguvu ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi na kuamua nani auze au anunue ndiye huyo US ambaye kila kukicha tunasikia akiyawekea vikwazo mataifa.
Maswali kama haya yananipa uwalakini kuhusu kiwango cha uelewa wako.Vatican atapata wapi hiyo nguvu?
Unaona tena! Rudia kusoma kuhusu mfumo wa utendaji wa Ukatoliki. Kasome kitabu cha Mkatoliki mwenzako Jesuit Malachi Martin: Keys to This Blood.Halafu ukatoliki ungekuwa na influence US kama unavyodanganya, labda kati ya marais 46, walau wakatoliki wangekuwemo hata 10.
Ukweli gani unaofundishwa na Ukatoliki?Shetani kaanzisha vidhehebu vyake kuupinga ukweli, na wengi bila kuutafuta ukweli mmejichomeka humo.